Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,763
Hana hivi unajua benefits za marais Tanzania hata suala la kupewa nyumba ni JPM alilipitisha! Hebu pitia packages za retirement Urais Kenya halafu urudi!Bro elewa point yangu....huyu ana uwezo wa kujinunulia gari...and yes JPM alikua anagawa pesa but kwa watu wa hali ya chini sio hawa waliokula keki ya inchi miaka nenda miaka rudi..
Benefits za Nyumba if am not mistaken ni sheria ya 1999 sema si Mkapa wala JK aliewahi kutekeleza, JPM alivyoingia akalitekeleza kwa kuwajengea wastaafu hao nyumba km sheria inavyoelekeza maana sheria inataka hivyo, i cant blame him kwa kutekeleza sheria..Hana hivi unajua benefits za marais Tanzania hata suala la kupewa nyumba ni JPM alilipitisha! Hebu pitia packages za retirement Urais Kenya halafu urudi!
Mzee unatuchosha. Ujuaji mwingi mbele kiza.Benefits za Nyumba if am not mistaken ni sheria ya 1999 sema si Mkapa wala JK aliewahi kutekeleza, JPM alivyoingia akalitekeleza kwa kuwajengea wastaafu hao nyumba km sheria inavyoelekeza maana sheria inataka hivyo, i cant blame him kwa kutekeleza sheria..
But zawadi ya birthday haipo kwenye sheria yoyote na ndio maana huyu mzee kila mwaka anaadhimisha birthday yake bt hajawahi kupewa gari km zawadi kutoka serikalini until today.
Dont make it personal mzee...km nakuchosha unaweza kupiga kimya tu mkuu sio lazima kunijibu...how much is that tausi worth? Je alinunuliwa au alitolewa kwenye mabanda ya ikulu?Mzee unatuchosha. Ujuaji mwingi mbele kiza.
Kumpatia mtu zawadi mpaka sheria iandike!? Vipi raisi alipotoa zawadi ya Tausi kwa uhuru imeandikwa wapi!?
Aah wapi, we mwenyewe wajua dodoma vumbi tupu.😁View attachment 1777980View attachment 1777981View attachment 1777982View attachment 1777983
Upcoming EA most beautiful city 🔥🔥🔥
DODOMA
Whole Dodoma is under construction, it's just the matter of time.. tusubir muda uongee take a look 👇Aah wapi, we mwenyewe wajua dodoma vumbi tupu.😁
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]View attachment 1777955
Namsubiri sana madha afanye yake nije kutengeza dooh uko bongo, nataka kufungua duka. Naskia mnapenda kushobokea sana wakenya.
[emoji1787][emoji1787] endelea kujidanganya,,,,Tanzania level yenu burundi, ubungo kumbe ni msaada, mshukuruni mjapani sana.
Zee la kujidanganya,,,,,sijui nani aliyekulisha matango pori[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania level yenu burundi, ubungo kumbe ni msaada, mshukuruni mjapani sana.
Wewe kanakuuma kagari kamoja tu.Dont make it personal mzee...km nakuchosha unaweza kupiga kimya tu mkuu sio lazima kunijibu...how much is that tausi worth? Je alinunuliwa au alitolewa kwenye mabanda ya ikulu?
I real appreciate all the effort you guys have been putting to raise our motherland flag high but we need to learn to agree to disagree without disrepecting each other...
Watu walioshiwa hoja always wanakimbilia kwenye personal attacks...its not worth it.Wewe kanakuuma kagari kamoja tu.
Kwani Tausi mmoja anauzwa how much!?
Yani zawadi ya kagari aina ya saloon kanakuuma!!? Utaweza kuhonga mwanamke kweli wewe!?
Inamaana Mama Suluhu hana uwezo wa kununua gari!? Hebu acha utoto basi.
Poa broCheck watsap bro
🤣 🤣🤣 ndio umeishia hapo!? Nimekuuliza mama Samia hana uwezo wa kununua gari kwa pesa yake ya mshahara!?Watu walioshiwa hoja always wanakimbilia kwenye personal attacks...its not worth it.
Ok broPoa bro
Inawezekana anao bt hilo gari hajanunua kwa pesa yake and thus why kwa mdomo wake mwenyewe kasema kwa niaba ya serikali leo tunampatia benzi la chini ambalo litampa raha kwenye safari zake sasa km ww unaona hio ni kauli ya kulinunua binafsi au benzi alilopatiwa ni ka saloon tu then its okay...Tunatofautia uelewa and i respect that.[emoji1787] [emoji1787][emoji1787] ndio umeishia hapo!? Nimekuuliza mama Samia hana uwezo wa kununua gari kwa pesa yake ya mshahara!?
Kama hzi unatakaKariakoo kwa wahindi na warabu (majority), top estate in dar😁😁
View attachment 1777573
Wakenya wa kawaida low middle class.View attachment 1777586View attachment 1777593
Kudadeq!
Kwani serikali ikimnunulia Mzee wa ruksa benzi mpya kunashida!?Inawezekana anao bt hilo gari hajanunua kwa pesa yake and thus why kwa mdomo wake mwenyewe kasema kwa niaba ya serikali leo tunampatia benzi la chini ambalo litampa raha kwenye safari zake sasa km ww unaona hio ni kauli ya kulinunua binafsi au benzi alilopatiwa ni ka saloon tu then its okay...Tunatofautia uelewa and i respect that.