Bati la mia tano hilo ndio lije lipigiliwe katika nyumba ya $70k, hivi tena unajiskia[emoji23][emoji23]Hiyo ni ilala,bati tu hizo zinawatisha,hapo bei ya nyumba inaanzia usd elfu 70,msilinganishe kabisa na ule uchafu wenu
[emoji91][emoji91][emoji91]
Huyo ni paka mzee tu usishtuke kwake kunywa maziwa
Ilala hiyo wewe dada,bati tu zinakutisha na hizo nyumba sasa hivi zinaishia wenye pesa zao wananunua hayo maeneo sababu ya biasharaBati la mia tano hilo ndio lije lipigiliwe katika nyumba ya $70k, hivi tena unajiskia[emoji23][emoji23]
Yani unafikiria utamdanganya nani kizembe hvo, emu jifikirie wewe na uache mienendo ya ki mataga mataga
Huyo kigogo ana interest zake na kenya,alimsakama sana magu,mama sasa hivi kaanza kumsakama tena lkn kama utanotice ziara ya mama kunyaland kigogo kajifanya kuipotezea kimtindo,jana anaponda mama kukutana na wazee!Alafu ukimaliza kunyambanyamba jua tuu Tz tunadunda...mafiii ww...akili kisoda....vile takataka imevimbiwa JpmView attachment 1777266View attachment 1777267
Mbona umeanza kujiumauna jomba, lkn nadhani ukweli umekuingi..manake ulitaka kudanganya peupe, eti nyumba ya $70k bati la mia tano[emoji23][emoji23]Ilala hiyo wewe dada,bati tu zinakutisha na hizo nyumba sasa hivi zinaishia wenye pesa zao wananunua hayo maeneo sababu ya biashara
S70k hapo nilipunguza tu,ilala nyumba zinauzwa zaidi ya pesa hiyo,na wanaonunua hapo wananunua kiwanja kwani wanavunja hizo nyumba na kujenga ghorofa,na kuhusu muonekano wa roof usikutishe,hapo ni mitaa ya kueleweka dadaMbona umeanza kujiumauna jomba, lkn nadhani ukweli umekuingi..manake ulitaka kudanganya peupe, eti nyumba ya $70k bati la mia tano[emoji23][emoji23]
Mataga bana[emoji23][emoji23]S70k hapo nilipunguza tu,ilala nyumba zinauzwa zaidi ya pesa hiyo,na wanaonunua hapo wananunua kiwanja kwani wanavunja hizo nyumba na kujenga ghorofa,na kuhusu muonekano wa roof usikutishe,hapo ni mitaa ya kueleweka dada
Ndiyo. Nyingine mbili ni A220.Itakuja tu soon...alafu hii ndio kati ya zile tatu walizomalizia kulipia Au
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
... and Sino-colonialism [emoji23][emoji23][emoji23]Only one in east africa, 27km of pure awsomenessView attachment 1776483View attachment 1776485
Umekunywa maji?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najua hufafika Nairobi ila kukujulisha tu ni kwamba apartments ziko kila mahali Nairobi just the same way nyinyi pia mko na dream houses kila mahali Dar. Kando na mitaa za kifahari kama Karen, Muthaiga, Runda et al, apartments are everywhere you look, especially in Eastlands
Akili za kimungiki ni sawa na wanyama ndio maana inachukua muda kuelewa kituMbona umeanza kujiumauna jomba, lkn nadhani ukweli umekuingi..manake ulitaka kudanganya peupe, eti nyumba ya $70k bati la mia tano
Mataga bana[emoji23][emoji23]
Yani hapo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa, yani mpuuzi anataka kusema hizo nyumba ni za $70k[emoji23][emoji23]
Kwaheri mjomba, endelea pekeakoView attachment 1777307
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kulingana na Mapesa eti Anytime cancelation??? Imagine Jana KQ ndio inakua anytime Cancelation while ATCL ipo on time[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
View attachment 1777070
View attachment 1777071
View attachment 1777072
Leo hii Tanzania na sisi tunasafirisha raia wa mbali kwa ndege zetu daahhh aisee inatia matumaini sn, mafanikio haya ilipaswa aliyeanzisha japo aone lkn ndio mapenzi ya Mungu.Mwanzo mgumu but si haba,kitu on the to ghuangzhou
View attachment 1777036
View attachment 1777037
View attachment 1777038
Suck something fala ya maguTakataka na fala ni nyanya yako what a waste og sperm[emoji706][emoji706][emoji706]....swallow a bitter pills[emoji381]
Washamba sana. Am going to setup business in Dar under Mamas security and start making money out of their miserable ignorance.Nashangaa leo wametoa wapi nguvu za kushabikia dormitories. Hypocrites kabisa!
Chunya TanzaniaMombasa-nairobi highway and sgr in one shot, Something Amazing🔥🔥🔥kuna nchi sgr yajengwa ikibomolewa.😂😂 muwaombee. 😂😂😂
View attachment 1777324
Huwa nawaza sana nikitazama bendera ya KenyaWashamba sana. Am going to setup business in Dar under Mamas security and start making money out of their miserable ignorance.
Kule wanashobokea sana wakenya nenda utengeze dooh.Washamba sana. Am going to setup business in Dar under Mamas security and start making money out of their miserable ignorance.