COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Everton wachezaji 11... Kasarani kuna over 5000 athletes ..alafu kwani Everton watacheza na nani?Ndio uwaja huo ulitaka everton waje kucheza
😀😀😀😀😀😀😀😀
sent from iPhone 7
Everton wachezaji 11... Kasarani kuna over 5000 athletes ..alafu kwani Everton watacheza na nani?Ndio uwaja huo ulitaka everton waje kucheza
😀😀😀😀😀😀😀😀
Unatuletea ligi ya kuku😀😀😀😀😀Everton wachezaji 11... Kasarani kuna over 5000 athletes ..alafu kwani Everton watacheza na nani?
sent from iPhone 7
Twende kaziEverton wachezaji 11... Kasarani kuna over 5000 athletes ..alafu kwani Everton watacheza na nani?
sent from iPhone 7
Hizi story zako jisomeTwende kazi
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete ni mkombozi Afrika Mashariki
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imekua mkombozi kwa wagonjwa wa moyo Afrika Mashariki kufuatia kupungua kwa gharama za matibabu ukilinganisha na ilivyokua hapo awali.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mbunge wa jimbo la Dokolo nchini Uganda Bi.Cecilia Barbara alipotembelea taasisi hiyo ili kuona na kujifunza jinsi Serikali ya Tanzania inavyotoa huduma za Afya kwa wananchi wake .
Bi.Cecilia amesema taasisi hii ni msaada mkubwa kwa Afrika Mashariki kwasababu itasaidia kupunguza idadi ya wagonjwa wa moyo wanaopelekwa nchini India au Afrika Kusini kwa matibabu kama ilivyo awali baadala yake watatibiwa Tanzania au nchini kwao.
MATUKIO @ MICHUZI BLOG: Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete ni mkombozi Afrika Mashariki
Haha ligi ya kuku inawatchiwa na over 150 countries na itagenerate 3b shillings to our economy..Unatuletea ligi ya kuku😀😀😀😀😀
Leta link of 3b naisubiri😀😀😀Haha ligi ya kuku inawatchiwa na over 150 countries na itagenerate 3b shillings to our economy..
sent from iPhone 7
Utuweke underpass sasaDar es salaam The leading city in East AfricaView attachment 540710 View attachment 540711View attachment 540713 View attachment 540717View attachment 540718
Lazima nikuwai...alafu wewe pia ulete link ya pesa Everton itawapeaLeta link of 3b naisubiri😀😀😀
Weka mahindi tuoneUtuweke underpass sasa![]()
sent from iPhone 7
Kutosoma upuzi ndo wivu???Umeanza kuwa na wivu wa nyegere siyo!?
Dar es salaam underpassUtuweke underpass sasa![]()
sent from iPhone 7
Mimi natumia sheng saa zingine kama hunyiti jimure broItawapea ndio kiswahili gani hicho? Wewe mtoto au huna meno!?
HahahhahhhahahhahahahhahahahahahahhahahahahaahhahahahahahahahahahhahahahahahaahhahahhahahahahahahahhHahahahahhahahahhahahahhahahahahahahhahahhahHhahhHahahahHHHhHHHHhHH
Cheap but poor qualityHiyo taarifa ya afya kwa matatizo ya moyo kwa wana EAC. Bei ipo chini, hakuna haja kupeleka wagonjwa india au SA. Waleteni bongo bei ni cheap. TZ mkombozi wa east africa.