Kipindi uhuru kachaguliwa tena kuwa Rais wao Magufuli hakuhuthuria uapisho, ilikua national debate Kenya why JPM didn't attendMagufuli amefanya Rais wa Tanzania aogopeke na aheshimiwe sn, ona Wakenya wanavyomtetemekea Samia bado wanahisia za kimagu magu viumbe wengine atari yn mtu kafa lkn bado anatawala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanza unajua maana ya MATAGA? Pili je wajua MATAGA ni ccm yenyewe. Msitake kufanya Samia kuwa sio sehemu ya Magu. Alishaweka ilo wazi.Mataga mtapata Sana tabu ,zamu yetu kula bata na yenu kuugulia.
Hilo gari hadi 2030,,ccm kura 100% ..Mama kanyaga twende
Pesa hamna zaidi ni wachuuzi. Mtaiteka vipi Tanzania? Rostam kwenu alitaka kuwekeza $500million nchini Kenya..Nuzu ya uwekezaji wa makampuni yenu 500 nchini Tanzania. Tanzania mwatuogopa kwa nini? Wekeni uwanja huru.What a speech 😍😍hizo vikwazo mkiondoa,,tnateka Tz yote😂😂
https://www.facebook.com/
Na hauruhusiwi kununua Divo mpka uwe umesha wai kununua izo mbili za juuWatu wana Hela wakuu, mtu ana uwezo wa kununua hiyo gari na kuichoma. [emoji23][emoji23][emoji23].
View attachment 1774462
View attachment 1774463
Hii 👇 hataki kujibu 😂😂😂. Na mwenzake bwana Mapesa 😂😂😂We fala kweli yn Azam anauzia wazungu huko ulaya na wamekubali standards eti we mnuka mavi wa mathare unasema hazina standard unajisikia lkn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro,the family has an estimated worth zaidi ya billions of US dollars and you really think itazidiwa na kampuni za kenya ambazo hata hazifahamiki?Profits ya Azam ni ngapi?.,can it stand with Kenya's top 5 even kwa profits?😂😂😂 kilaza., usinijibu hili najua., endelea kujitekenya na kucheka dogo.😂😂 Azam ni TV😂😂😂.,
Nimecheka pale makampuni zaidi ya 500 kutoka Kenya kuunvest only $1.7bn yn ukifanya average ya kila moja imeinvest kiasi gani ndio utajua hizo kampuni 500 ni km za washona viatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bro,the family has an estimated worth zaidi ya billions of US dollars and you really think itazidiwa na kampuni za kenya ambazo hata hazifahamiki?
Tukirudi Nyuma tena ndio ntaamini wtz Hatuna viongozi,hii ni kwziya Hayati JPM
Yani Kenya watakuja kutumia Rasilimali ZETU kutajirisha nchi yao alafu sisi serikal yetu inafuraia Ajira za mishahara ya laki laki yani kwenye Rasilimali ZETU tunapata asilimia 1% ya 100 alafu 99% zinaenda Kenya kwa kutupoza wanasema tukauze maind [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ziara ya Samia ni kuwafaidisha zaidi Kenya kuliko Tz.
Magufuli alishawawekea vikwazo na maisha yetu yakawa kawaida tu. Na tulishawasahau.
Nchi nzima ya Ke wamewekeza $1.7bn? Hiyo ni revenue ya Azam kwa mwaka.
Kojoa ulale kwanzaYani Kenya watakuja kutumia Rasilimali ZETU kutajirisha nchi yao alafu sisi serikal yetu inafuraia Ajira za mishahara ya laki laki yani kwenye Rasilimali ZETU tunapata asilimia 1% ya 100 alafu 99% zinaenda Kenya kwa kutupoza wanasema tukauze maind [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungetoa some points mkuu ni vipi itawafaidisha Wakenya.Ziara ya Samia ni kuwafaidisha zaidi Kenya kuliko Tz.
Magufuli alishawawekea vikwazo na maisha yetu yakawa kawaida tu. Na tulishawasahau.
Nchi nzima ya Ke wamewekeza $1.7bn? Hiyo ni revenue ya Azam kwa mwaka.
Wapuuzi hawa.Wakenya bana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1774705View attachment 1774706View attachment 1774707