Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Apa kurasini interchange pale Mfugale flyoverView attachment 1766231View attachment 1766232View attachment 1766233View attachment 1766234
 
Commuter rail made in Tanzania!??? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
ukuu wa Mungu na science pekee ndo inajibu why the water don’t drop here
It’s IMPOSSIBLE for the water on earth to spill into space because of gravity.



Kwa jinsi hii picha ilivyokaa unaweza kusema kuwa upande wa “chini” wa picha Ndio maji yatajikusanya na hivyo kumwagika into space. Yaani hivi:


Lakini ukiwa duniani, “chini” inamaanisha toward the earth. Yaani Kwenye ground, ambapo nguvu ya gravity (mvutano) inayazuia maji “kumwagika” nje ya dunia. Na pia ndio mvutano huo huo unatuzuia tusielee hewani. Kadri unavyokuwa mbali na uso wa Dunia na ndivyo mvutano unapungua. Ndio Maana astronauts wakiwa space huwa wanaelea because gravity ni sifuri.



Kwa hiyo maji yanafata mvutano unaaonyeshwa na direction ya hiyo mishale.
 
Hakuna battle hapa, ni blind patriotism on display from the south. Inferiority complex at its best.
😂😂😂 Ila we jamaa ni hovyo sana, upo unafanya nini sasa humu ndani kama hakuna battle.? mmejisifu sana ila maneno mengi kuliko kinachoonekana, nimeona tena eti unajiingiza kwenye battle la kutengeneza boats 😂😂 ikiwa tz inatengeneza meli na inamiliki boats na meli nyingi kuliko nchi yeyote ukanda huu 😂😂, hii ni hatari sana . Mimi nitaanza na wewe kwenye boats ili utaje ambayo ni made in kenya, no 1no 2no3no 4no 5no 6bonus heb nitajie katika hizi boats ambayo ni kenyan made hata moja tu
 
Yo The best 007 Simon ichoboy01 hapa tunakazi moja tu leo kumpiga mtu kuhusu boats na meli mpaka aelewe kwamba sisi sio league yao, mimi nitaanza na meli za ziwa victoria, wengine pigeni za ziwa tanganyika na ziwa nyasa, wakileta fyoko nyie pigeni pia za Bahari ya hindi,tuna kazi moja tu ni kumpiga tu, nia tunayo, nguvu tunayo, haya twende kazi, akielewa tunahamia kwenye barabara ili wafunge midomo
 
umeongea vyema ila uachane na pumba,,,,snenda kwa fact vitu ambavyo nairobi vipo na dar vinakosekana hapo ndipo kwenye kipimo usiropoke...

nairobi ni old school city enzi hizo ndiyo mlibamba kwa sasa hamna kitu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kaa chonjo
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Wewe, hebu nipe hiyo/hizo kampuni z/inayotengeneza 'MELI' huko bongo? 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…