Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukubali nn ss kwamba mna SGR bora kuliko Tz au tukubali kwamba mna millionaire wengi kuliko Tz be specific [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umepanic au 🤣🤣🤣🤣
Tuko na site preparation ya phase 5 wewe unazungumza nn mzee 👇👇👇👇
 
Hii ni phase 5 na tayar 15% washalipwa by local funds 🤣🤣🤣👇👇👇 341km

 
ndivyo nilivyoelewa.. kwahio hata mim nipo[emoji23]
Hii hapa ya kidunia, we unafikiria knightfrank hutumia data za kimagumashi..
Wale wki rank wanaenda kidunia mzee baba, tena hyo ni as per 2018..
Watanzania hampo bana katika hyo list likija swala la kidunia[emoji23][emoji23]
 
Yameisha, manake sitaki ubishi na wewe kwa leo..lkn kila nikikumbuka huaga nachema sana..2019 80% 2021 91%[emoji23][emoji23]
 
Yameisha, manake sitaki ubishi na wewe kwa leo..lkn kila nikikumbuka huaga nachema sana..2019 80% 2021 91%[emoji23][emoji23]
Umepanic mwezi wa nane utashuhudia treni ya kwanza aina ya bullet africa yenye viwangi vya kimataifa🤣🤣👇👇 karibuni sana
 
Ona hili zuka, matajiri wakati wa magu si ndio wakati wameingiwa na woga zaidi hata wengine kukimbia nchi kisa wanaogopa kuwekeza
 
Wee fanya hivi, ukipata kasafari pita hapa JKIA kwanza, ndio uzame kwa wakali kule. La sivyo ubaki kwenyu! 🤣
Usipanic tulia mzee shirika lina ndege tatu chakavu miaka 40 alaf munauliza loss ya 333m usd 😅😅😅😅 hio hela inaweza nunua dream liner mpya na cessna caravan 30 na change ikabaki
 
Tujifunze kua 🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…