President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,624
- 94,225
Umaskini wa kutupwa Kenya.Wacha nikija na nyanga ndio watajua, michezo yetu sia utoto, hata "Cardi B" na "Actor Robert Knepper"(prison break) who played Theodore “T-Bag” wanajua hivyo ndio maana wakayasifu kwenye Twitter! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Old is gold, they're still in use na ka wataka kujikumbusha old times, unapanda tu baiskeli, anafaidi mwenyewe, na maisha inasonga. Sio kila mtu ana hela ya boda au taxi!Kisumu TAXI
View attachment 1758196
Sijakataa, ziko na zitakuwepo. Umaskini upo na bado huyo jamaa wa baiskeli hata labda kakushinda kimaisha, wengi wao, manyumba wamejenga, watoto wamesomesha hadi vyuo vikuu na hata mashamba wanayo, Bibi zao wanalima, hawalali njaa, wewe je. Umetegemea "salary"??? 😂 😂 😂 😂
😀🤣🤣Ponda sana, na bado hutamfika! 🤣
Alafu hapo Kisumu sivyo kulivyo sahi, hiyo picha imekula chumvi, kaangalie KISUMU ya sasa ilivyokaangwa ikakaangika, acha kabisa! 🤣 🤣 🤣Kisumu TAXI
View attachment 1758196
Kisumu kama kisumu 🤣 🤣 🤣Alafu hapo Kisumu sivyo kulivyo sahi, hiyo picha imekula chumvi, kaangalie KISUMU ya sasa ilivyokaangwa ikakaangika, acha kabisa! 🤣 🤣 🤣
Uchafu gani, wewe huna akili. Hivi Amber Rutty, ni wa mkoa gani, dadeki!!! Mnaliwa tu, na bado nina thread ya news hapa naogopa kuitupia nisije nikapigwa Kick, inasema jamaa flani huko Bongo alidakwa na polisi wa msako usiku, walipompeleka station, wakamla hiyo sehemu, askari watatu, jamaa mmoja, yaani hadi askari mchezo ni huo, duh! GOMORRAH HIYO NAIONA!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
Afadhali useme kibera, Ati Kisumu, labda ya kwenyu lakini sio ya odinga! 🤣Kisumu kama kisumu 🤣 🤣 🤣
View attachment 1758201
Yahesabu hayo,hiyo ni asubuhi tu,hiyo ni ubungo terminal
Mavi hayo Mzee. Baada ya kwenda choose hajatawaza. Picha haidanganyi MzeeUchafu gani, wewe huna akili. Hivi Amber Rutty, ni wa mkoa gani, dadeki!!! Mnaliwa tu, na bado nina thread ya news hapa naogopa kuitupia nisije nikapigwa Kick, inasema jamaa flani huko Bongo alidakwa na polisi wa msako usiku, walipompeleka station, wakamla hiyo sehemu, askari watatu, jamaa mmoja, yaani hadi askari mchezo ni huo, duh! GOMORRAH HIYO NAIONA!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
Nionyeshe wewe mwenye mijimacho extra, sioni mimi!Mavi hayo Mzee. Baada ya kwenda choose hajatawaza. Picha haidanganyi Mzee
🤣 🤣 🤣View attachment 1758202
Unaijua Nyalenda Slums. 🤣 🤣 🤣Afadhali useme kibera, Ati Kisumu, labda ya kwenyu lakini sio ya odinga! 🤣
Unajua maana ya slum suburbs? Hata nyumba za tofali ambazo hazijajengwa kwa mpangilio bado ni suburb ujue! 🤣Unaijua Nyalenda Slums. 🤣 🤣 🤣
View attachment 1758203
Check mzigo huo unatoka🤣🤣🤣Nionyeshe wewe mwenye mijimacho extra, sioni mimi!
Mzee ukikamwatwa na mimi lazima utoe uharo kama AkotheeUnajua maana ya slum suburbs? Hata nyumba za tofali ambazo hazijajengwa kwa mpangilio bado ni suburb ujue! 🤣
Slum suburbs, sio mabanda hukoMzee ukikamwatwa na mimi lazima utoe uharo kama Akothee
View attachment 1758206
Suala la uzuri wa mabasi halihitaji mjadala zaidi. Labda kama hauna kazi ya kufanya. Unataka tufananishe hizo Master na akina Zong Tong au Higer? Kuhusu hizo intercounty buses ndiyo hizo huku tunatumia zaidi Japanese mini-buses.Usisahau huku mzee baba tuko na intercounties shuttles wala hatutegemei mabasi pekeake..
Tena unaposema eti mabasi yenu mazuri inakua unakosea, basi sio uzuri pekeake mpka engine nayo intakiwa iwe ya maana, chases pia vile vile
Wacha nikuwache kwa hili, akili naona zisharuka huko, na bado awamu ya sita, ishakua taabu!Check mzigo huo unatoka🤣🤣🤣View attachment 1758205
Mzee Slums ni mabanda ya Nguruwe.Slum suburbs, sio mabanda huko
Swala la uzuri usijaribu mkuu, international praises tunapewa kila kukicha, vyombo tuna pimp kama vipi hata Amerika, hawana ka hizi zetu.Suala la uzuri wa mabasi halihitaji mjadala zaidi. Labda kama hauna kazi ya kufanya. Unataka tufananishe hizo Master na akina Zong Tong au Higer? Kuhusu hizo intercounty buses ndiyo hizo huku tunatumia zaidi Japanese mini-buses.