Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hii ndio kazi amefanya pekee elimu bure tulipata 2002, ndege hasara tupu, interchange nchi nzima mbili , sgr yajengwa ikibomolewa, afya bora yeye kafa kenya, airport terminal passengers zero. Niendelee ama niwache upumue kwanza
Vile unaongelea kalio wala akuna shida...ebu funga tuu mana harufu mbayaaa
 
Naskia walinunua ndege cash na ni zaidi ya miaka tano bila kupata profit ata ya kununua kitunguu ama tomato..hio biashara waifunge tu..waendeleze SGR yao..
We fala wa ushago hiyo loss ni $26m (2019/2020) kutokana na Covid. Pesa hii hainunui hata Dash Q400 wakati Kenya Airways imepata loss ya $333m hii ni mara 12 ya loss yetu. Ni pesa ya kununulia Dreamliner.
 
Hehe skuizi tunashindana kwa hasara,
 
This thread should be closed until you Tanzanians get yourselves out of the LDC category. Kenya cannot be competing with a LDC 😂😂

images (8).jpeg
images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom