Aya ni nini hukulikubali kuhusu yeye?.... nakusikiliza. Kwasabu wewe ninacho ona unasema tu sikukubalinae vitu flani.. aya ni vipi hvyo?You STFU! There is no “we” in this. “We shOulDn’T beLiEvE aNyBoDy” and you go on to defend your biased beliefs! What an idiot!
From the beginning I said that I always supported magufuli’s efforts, however, there were things that he did that I never supported. I have the freedom to express my views even if they do not align with yours! So save your breath and keep your shallow thoughts to yourself!
Unasema kuwa ununuzi wa ndege shirika jipya tutegemee losses right? Magufuli aliwahi kusema ATCL inatengeneza losses? As a matter of fact, he once tweeted that ATCL made billions in profits! There was never honesty and transparency!
Also, I never started the topic about Mbezi Louis bus terminal. It was brought up by someone I was arguing with and since I do not like to participate in arguments that involve topics I’m not familiar with, I decided to tell him to ask someone else.
muulize Lamu pipeline inaanza lini?Hata ukikamilika 2050! Bitter truth is that,we snatched it from you,over.
Yaani wewe unipige kofi halafu unichagulie kwa kurudisha. Napiga panapouma tulia. Vumilia japo waumiaHata kama unavyosema ni ukweli kwamba tumezuia mahindi yenu kuingia Kenya bado hainiingi kichwani vipi nyinyi mumeamua kuzuia kila kitu kuingia TZ. Yaani angalau sisi tulizuia mahindi pekee. So wewe unaona kama mko proportional kweli au mnaleta utoto na ubabe?
Hmm ndo unavyo jiaminisha hvyo. Kwaio unahisi waliopo saivi ndo watakua watakatifu sio?.. wakina mchemba hao?😂😂😂 oomy... okay lets hope for the best.Tunahitaji strong institutions kwa sasa ambazo zitafanya kazi kwa weledi...hatutaki tena haya yajirudie...Samia hajataka kubeba lawama zisizomuhusu kwenye safari yake
Saa hii naona wabunge wamepata nguvu ya kupinga na kuongea bila kuogopa. Angalau sasa kuna uhuru wa kuongea.ase sigh..
Tunakoelekea utasikia "magari ya msafara wa raisi yalikuwa yakitembea wastani wa km 80 kwa saa wakati uwezo wake ni 180 km kwa saa😝😝Simple but still wanaifanya iwe ni a big deal.. ndo ujue there's something going on
Automatically ni bwana wa wakenya, Kenya mnavyowathamini wazungu hadi inakera.Bwana wa queen Elizabeth anayeitwa Prince Philip naye kavuta waya. RIP
Nchi inaendeshwa na mikopo wewe unategemea nini, beberu ndio mungu wao wa pili,Automatically ni bwana wa wakenya, Kenya mnavyowathamini wazungu hadi inakera.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Saa hii Kenya inapigana na UK. Hao sio marafiki zetu.Automatically ni bwana wa wakenya, Kenya mnavyowathamini wazungu hadi inakera.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Lol.. Something is not right.Automatically ni bwana wa wakenya, Kenya mnavyowathamini wazungu hadi inakera.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Saa hii naona wabunge wamepata nguvu ya kupinga na kuongea bila kuogopa. Angalau sasa kuna uhuru wa kuongea.
Tatizo la media zinapotosha ukisikiliza alichoongea ni tofauti na kilichoandikwa Hugo jamaa ni nguli wa minerals the whole of EA! A reason i had to look for the clip! Jamaa kasisitiza diversification of energy sources a thing I whole support him! As a matter of fact kasisitiza more investments in power generation!Saa hii naona wabunge wamepata nguvu ya kupinga na kuongea bila kuogopa. Angalau sasa kuna uhuru wa kuongea.
Licha wako slow lakini standard zao na quality ni european standards 😊😊 hilo ulijueLot 3 msiwape Waturuki. Hao watu ni malazy hata kuwashinda. Wanachelewesha miradi sana.
Huo mradi ulikua jna phase one and two ulikua bado haujakamilika hata sio phase hawajaukamilisha 100% so naona CAG kafanya haraka kuongea labda nayeye anatafta kikiHilo daraja la main highway liko wapi? Muache ujinga wakati mwingine muelewe kilichoelezwa na CAG, TANROADS hawana mradi wa kujenga hiyo underpass kuepusha foleni inayosemwa na amesisitiza uanzishwe! kama mradi wa underpass upo leta evidence! Na usilete pedestrian overpass!
Wakat 95% wabunge wote ni CCm walikua na uoga gani acha ujinga we nae 😅😅😅Saa hii naona wabunge wamepata nguvu ya kupinga na kuongea bila kuogopa. Angalau sasa kuna uhuru wa kuongea.