Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nmeskia kuna kampuni mpya inakuja na mabasi yake 300 na huyu udart anapigwa chini

mkuu unajua gharama ya mabas 300? kampuni gan iwekeze hela kwa biashara hii? si bora afanye kusafirisha abiria mikoan?

anyway, hii biashara ya udart ikoje? serikali inafaidika vip mana miundombinu inajenga serikali
 
Udart kafeli Sanaa mabasi machache sana ndio maana kuna hatihati kuongezewa mkataba
 
mkuu unajua gharama ya mabas 300? kampuni gan iwekeze hela kwa biashara hii? si bora afanye kusafirisha abiria mikoan?

anyway, hii biashara ya udart ikoje? serikali inafaidika vip mana miundombinu inajenga serikali
SerikalI inakusanya ushuru tuu kwa kila tiketi
 
Hichi kitu kinaniumizaga sana yani kati ya jirani ambaye hatuna mawasiliano naye ni msumbiji aisee
 
Matibabu bora yapi wakati wakenya wafa kwa kuharisha tu...
 
Ila china wana roho mbaya sana, wao wanatrains za kisasa model nyingi but wakaamua wawape kenya model ya zamani. Wangewapa hata model ya 40 years ago but wamewapa ya 60+ years ago. Hili swala nimeliona kama kumjengea nyani banda la miti
 
😁😁😁 na hio train waliopewa na mchina unaambiwa cost of maintenance ni moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…