Kwenye freeway (expressway) waenda kwa miguu na wapanda baisikeli huwa hawakatizi, wanatumia kidaraja cha kuvukia. Hata magari huwa hayakatizi, kama dereva anataka kutoka kwenye barabara kuu, ana exit kwanza na wale wanaoingia hutumia sehemu maalumu za kuingilia.Nmeu
Nmeuliza swali simple tuu abiria wa kwenye madaladala watakua wanashushiwa wapi na je watu watakua wanavukaje kuenda upande wa pili? Kwa sababu so far vituo hamna na footbridge ni moja tuu mbezi mwisho
I think in total like 16
Unaweza kutuwekea picha to support ur claim.
Ahsante, ndio nilichokuwa namuelewesha, kwa sababu ndio barabara ya kwanza nchini nafikiri huko mbeleni tutaelewana, kwa sasa ngoja nikae kimyaKwenye freeway (expressway) waenda kwa miguu na wapanda baisikeli huwa hawakatizi, wanatumia kidaraja cha kuvukia. Hata magari huwa hayakatizi, kama dereva anataka kutoka kwenye barabara kuu, ana exit kwanza na wale wanaoingia hutumia sehemu maalumu za kuingilia.
Let me ask, Dar has an expressway?Nairobi doesn't have until the new Nairobi expressway is completeKwenye freeway (expressway) waenda kwa miguu na wapanda baisikeli huwa hawakatizi, wanatumia kidaraja cha kuvukia. Hata magari huwa hayakatizi, kama dereva anataka kutoka kwenye barabara kuu, ana exit kwanza na wale wanaoingia hutumia sehemu maalumu za kuingilia.
Dar haina expressway. Na hawana mpango wa kujenga expressway.Let me ask, Dar has an expressway?Nairobi doesn't have until the new Nairobi expressway is complete
Ooh... Its cool. You never know. They might in the future.Dar haina expressway. Na hawana mpango wa kujenga expressway.
Hapana bhana 😂😂 Hii ni vita tu ya kibiashara na tukisema tuje na sera ya (protectionism police) itatuathiri sisi sana pamoja na wao pia,ukizingatia sisi tunategemea soko kwao pia . Mchongo ni kwamba sisi tuzalishe bidhaa bora na za bei nafuu kwa wingi, basi tutakua tumewashinda kwa mbali sana, Mana tutapata soko la ndani na pia tutaweza kuteka soko lao, kumbuka (France vs Britain) sugar competition, tukipata humo hawa hawatuwezi kabisaSamia mbona asizuie bidhaa za Kenya kuingia Tanzania?
Wee jamaa unakua kama mtu mlafi anaelalamika chakula hakitoshi kikiwa jikoni ilhali mpishi ndie anaeijua sufuria. Subiri barabara iishe, na isitoshe kuna overpass ambazo pia watembea kwa miguu watazitumia na zingine hazijaanza kutengenezwa. Kingine siku hizi footbridge wanapewaga dili wanajeshi na kama itakua hivyo itabidi wasubiri green light.Kwe
Kwenye hii highway tumepigwa kuna vitu muhimu havijakaa sawa ila ni kwasababu mkandarasi anajifunzaa , footbridge ni lazima naona haikuwa Kwenye plan ya mkandarasi sijui ila mradi badoo hujakamilika
very sensitive article, nataman watanzania waisome hii alafu tuijadili hii article inatosha kufungua uzi kabisaTanzania's Late President Magufuli: "Science Denier" or Threat to Empire?
While his COVID-19 policies have dominated media coverage regarding his disappearance and suspicious death, Tanzania’s John Magufuli was hated by the Western elites for much more than his rebuke of lockdowns and mask mandates.unlimitedhangout.com
There is something you are missing.First of I agree with you that busuiness in any capitalism should be Laizzes faire. Secondly understand Kenya economy from a broad perspective, it has never been in competition with any country as long as its status quo is maintainedHapana bhana 😂😂 Hii ni vita tu ya kibiashara na tukisema tuje na sera ya (protectionism police) itatuathiri sisi sana pamoja na wao pia,ukizingatia sisi tunategemea soko kwao pia . Mchongo ni kwamba sisi tuzalishe bidhaa bora na za bei nafuu kwa wingi, basi tutakua tumewashinda kwa mbali sana, Mana tutapata soko la ndani na pia tutaweza kuteka soko lao, kumbuka (France vs Britain) sugar competition, tukipata humo hawa hawatuwezi kabisa
Arusha declaration huwa ni nini? Nini ilikuwa declared huko?Arusha City is amazing. Arusha declaration monument & Arusha clock tower.. kisumu kwa Arusha ni uchafu tu Cc Tony254
View attachment 1741543View attachment 1741544View attachment 1741545
Kwasasa mpo kwenye competition kubwa sana na bongo na mkishangaa kidogo tu mtaanza ku import karibu kila kitu kutoka tz, nikukumbushe kidogo, miaka mitano nyuma tu, bidhaa zenu zilikua zimetawala tz but nowadays karibu bidhaa zote tunazotumia ni za bongo na ninyi pia ndio hizo mnazotumia,zinakuja kwenu kwa fujoThere is something you are missing.First of I agree with you that busuiness in any capitalism should be Laizzes faire. Secondly understand Kenya economy from a broad perspective, it has never been in competition with any country as long as its status quo is maintained
Arusha declaration (azimio la Arusha) huu ni mikutano uliofanyika uko jijini Arusha 1967 ili kujadili sera ya ujamaa na kujitegemea,chini ya mwenyekiti wa kikao Mwl Julius Kambarage NyerereArusha declaration huwa ni nini? Nini ilikuwa declared huko?
Iyo sio expressway mzee na footbridges ni lazima Iyo njia kuna wakazi wengi sanaKwenye freeway (expressway) waenda kwa miguu na wapanda baisikeli huwa hawakatizi, wanatumia kidaraja cha kuvukia. Hata magari huwa hayakatizi, kama dereva anataka kutoka kwenye barabara kuu, ana exit kwanza na wale wanaoingia hutumia sehemu maalumu za kuingilia.
Dar haina expressway. Na hawana mpango wa kujenga expressway.
Hiyo ya Dar - Chalinze ilikuwa imepangwa kuwa expressway ila kuna mabadiliko yalifanyika ikiwa ni pamoja na kuiongezea lanes sasa sijui kama bado itakuwa expressway.Let me ask, Dar has an expressway?Nairobi doesn't have until the new Nairobi expressway is complete
Ni azimio lililohusisha mambo makuu mawili;Arusha declaration huwa ni nini? Nini ilikuwa declared huko?
Unaongelea maana ya expressway au kuna barabara unayoiongelea?Iyo sio expressway mzee na footbridges ni lazima Iyo njia kuna wakazi wengi sana
OK sawa vipi kuhusu vituo vya daladalaWee jamaa unakua kama mtu mlafi anaelalamika chakula hakitoshi kikiwa jikoni ilhali mpishi ndie anaeijua sufuria. Subiri barabara iishe, na isitoshe kuna overpass ambazo pia watembea kwa miguu watazitumia na zingine hazijaanza kutengenezwa. Kingine siku hizi footbridge wanapewaga dili wanajeshi na kama itakua hivyo itabidi wasubiri green light.
Kama alivyokuambia The best 007 , siamini kama wewe unaweza kuliona kosa n then tanroads na wadau wote wawe hawakuliona hilo kwenye design na mpaka sasa
Nilivyoona habari eti sudani imelipa mabilioni ya shilingi kwenda marekani kufuatia ushiriki wa ugaidi nilishangaa kweli.halafu uingereza nayo misaada ya ahadi huko syria mpaka leo haijakamilika navwanasingizia covid -19 kikwazo.Ingia mtandaoni jiridhishishe (kuona ni kuamini) achana na data za Google. Kwa ground uko US hakuna kitu baba, mtu kuitwa tajiri ni matokeo ya anachokifanya na sio maneno, Mimi nasema. China ni world super power currently kwasababu ya matokeo ya wanavyovifanya