pia naanza kuamini katibu mkuu kiongozi lazima awe na chemistry flan hiv na Rais aliepo madarakani
kikwete na balozi seif
magufuli na balozi kijazi then baadae bashiru(kuziba pengo)
samia na huyu mpya (nadhan atakuwa ana uelewa nae vizur)
Yako mawili moja 35 na lingine i think more than 33Sio mbaya tunafukuza mwizi kimyakimya
China kwenye upande wa infrastructure ipo mbele mno.USA[emoji16][emoji16]View attachment 1741180
Kwahiyo mwendokasi inaenda wapi.Hamna vituo vya daladala mzee nmepita jana watu wanashushiwa ndani ya barbara na kingine izo lane za katkat za mwwndokaz zitakua za kuchora kama za kenya yani kwenye huu mradi aisee tumebugii of course mradi hujaisha labda kuwe na marekebisho
Hii barabara ni express, sidhani kama ni wazo zuri kuweka vituo vya daladala kwenye barabara kubwa hivi, kinachotakiwa ziwepo interchange kama 2 au 3 zinatosha, hata footbridge hazihitajiki unless ingekuwa katikati ya mji.Hamna vituo vya daladala mzee nmepita jana watu wanashushiwa ndani ya barbara na kingine izo lane za katkat za mwwndokaz zitakua za kuchora kama za kenya yani kwenye huu mradi aisee tumebugii of course mradi hujaisha labda kuwe na marekebisho
Kwahiyo mwendokasi inaenda wapi.
Hata mimi nashangaaKwahiyo mwendokasi inaenda wapi.
OK sio lazima kuweka vituo Sasa unataka abiria washukie wapi au wavukaje barabara pana kama ile ebu tumia logic kidogo ,barabara ile ni pana sanaHii barabara ni express, sidhani kama ni wazo zuri kuweka vituo vya daladala kwenye barabara kubwa hivi, kinachotakiwa ziwepo interchange kama 2 au 3 zinatosha, hata footbridge hazihitajiki unless ingekuwa katikati ya mji.
Bus lane ni kwa mabasi yanayokwenda na kutoka mikoani na si kwa ajili ya mwendokasi.
OK basi ni bus lanes ila ishu ya vituo na footbridges ni lazima aiseeHata mimi nashangaa
Ndio maana nimeongelea exit, ni kama bomba la maji kubwa hata kama limepita nyumbani kwako huwezi ungiwa maji.OK sio lazima kuweka vituo Sasa unataka abiria washukie wapi au wavukaje barabara pana kama ile ebu tumia logic kidogo ,barabara ile ni pana sana
Eti footbridge haihitajiki kwenye hii highway? Kwani hakuna watu wanaoishi kando kando mwa barabara hii pana? Halafu barabara hii pana bila footbridge watu wengi watagongwa na gari. Footbridge ni lazima iwe. Hii sio barabara kadogo ka mtaani, hili ni jitu la barabara hata huwezi kuvuka bila footbridge. Unajua nyinyi hamjawahi kuwa na barabara pana kama hii ndio maana unaona kama footbridge sio lazima.Hii barabara ni express, sidhani kama ni wazo zuri kuweka vituo vya daladala kwenye barabara kubwa hivi, kinachotakiwa ziwepo interchange kama 2 au 3 zinatosha, hata footbridge hazihitajiki unless ingekuwa katikati ya mji.
Bus lane ni kwa mabasi yanayokwenda na kutoka mikoani na si kwa ajili ya mwendokasi.
Huyo jamaa anafikiri watu watavukaje barabara ya 8 lanes bila footbridge? Kwani mnataka kuuwa watu?OK sio lazima kuweka vituo Sasa unataka abiria washukie wapi au wavukaje barabara pana kama ile ebu tumia logic kidogo ,barabara ile ni pana sana
Hatutegemei wafadhiliyah...maybe sababu inatakiwa ifike chalinze 100+km
na usisahau wafadhili waligoma ku finance huu mradi!!
Nmeuliza swali simple tuu abiria wa kwenye madaladala watakua wanashushiwa wapi na je watu watakua wanavukaje kuenda upande wa pili? Kwa sababu so far vituo hamna na footbridge ni moja tuu mbezi mwishoNdio maana nimeongelea exit, ni kama bomba la maji kubwa hata kama limepita nyumbani kwako huwezi ungiwa maji.
Tembea uone.
Tulisema kati ya UK na Tanzania, Kenya inaitegemea Tanzania zaidi kuliko UK, Kenya haina ubavu wa kuitenga TanzaniaBwana kachchamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natumai umefurahi kwa kitendo cha Kenya kuwachagua nyie majirani mnaopenda vita vya kibiashara.Tulisema kati ya UK na Tanzania, Kenya inaitegemea Tanzania zaidi kuliko UK, Kenya haina ubavu wa kuitenga Tanzania
Cc.@Tony254
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Meaning?don't delute yourself buddyunashindana na nani?
KweHuyo jamaa anafikiri watu watavukaje barabara ya 8 lanes bila footbridge? Kwani mnataka kuuwa watu?
Kwenye hii highway tumepigwa kuna vitu muhimu havijakaa sawa ila ni kwasababu mkandarasi anajifunzaa , footbridge ni lazima naona haikuwa Kwenye plan ya mkandarasi sijui ila mradi badoo hujakamilikaHuyo jamaa anafikiri watu watavukaje barabara ya 8 lanes bila footbridge? Kwani mnataka kuuwa watu?
Tanzania ni tegemeo la Kenya, bila Tanzania uchumi wa Kenya unasambaratikaNatumai umefurahi kwa kitendo cha Kenya kuwachagua nyie majirani mnaopenda vita vya kibiashara.