izo ni tabia za kikenya typically [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio mimi nasema uipe nchi ya Kenya heshima kwa kuwatangulia kwenye mradi huu. Jifunze kusoma vizuri.
Hii nn ushuzi au? Tatizo mnapenda kulalamika lalamika pasipokuwa na ushahidi.Kwaiyo kama ni highway ndio watu wasivuke barabara bila footbridge ni utopolo tuu
Dunia sasa hivi inaondokana na kubeba makaratasi tunaelekea kwenye digital money. Wewe mwenzetu bado unababaika na rate.Thamani ya pesa inabakia kuwa sawa ila bunda linapunguka ukibadilisha from Tsh to Ksh. Hamna mambo ya kubebana na mabunda huku. Na ukiona mtu amebebana na mabunda ya noti huku ujue huyo amebeba pesa ya thamani kubwa.
Sisi ndio nchi ya kwanza na nchi pekee Africa mashariki na kati kuwa na barabara ya 8 lanes. Barabara yenyewe inaitwa Thika road na ilikamilika mwaka wa 2010. Kuna sehemu za Thika road ambazo zina leni kumi. So uwe na heshima unapozungumza na nchi ambayo imewatangulia kwenye mambo haya.
We jamaa highway ya almost 20km iwe na footbridge moja tuu kweli iyo inakuja akilin mzee na kingine madala yatakua yanashusha abiria wapi kwa sababu hamna vituo iyo inakuja akilin mzeeHii nn ushuzi au? Tatizo mnapenda kulalamika lalamika pasipokuwa na ushahidi.View attachment 1741083
Naona ww hata hujui kuwa tasinia ya habari pia ni biashara ....endelea kupiga mayowe tu kama hamnazomsishangae kule hadi magazeti wanaelezwa watakachochapisha
View attachment 1740991View attachment 1740992View attachment 1740993View attachment 1740994
Sasa kwani road imekamilika? Yani unataka highway iwe na footbridge kila baada ya mita kadhaa au co? Hivi unataka kunambia wao hawajui kwamba sehemu za kushusha na kupakia abiria zinahitajika? Yn niamini wewe umeona halafu wao hawajaona au sio?We jamaa highway ya almost 20km iwe na footbridge moja tuu kweli iyo inakuja akilin mzee na kingine madala yatakua yanashusha abiria wapi kwa sababu hamna vituo iyo inakuja akilin mzee
Yenu ni six line , ni vipand vidog sna vyenye nne usituchonge apaSisi ndio nchi ya kwanza na nchi pekee Africa mashariki na kati kuwa na barabara ya 8 lanes. Barabara yenyewe inaitwa Thika road na ilikamilika mwaka wa 2010. Kuna sehemu za Thika road ambazo zina leni kumi. So uwe na heshima unapozungumza na nchi ambayo imewatangulia kwenye mambo haya.
Acha kuongea km mlevi kuna sehem wamepanua kabisa njee ya izo njia nne..bila shaka vitakuwa vituo..We jamaa highway ya almost 20km iwe na footbridge moja tuu kweli iyo inakuja akilin mzee na kingine madala yatakua yanashusha abiria wapi kwa sababu hamna vituo iyo inakuja akilin mzee
Ndiyo maana nikamwambia afanye tour akajionee mwenyewe, hii road inajengwa na kampuni ya kizalendo Estim, wamejitahidi sana japo wamechelewa lkn wamejitahidi sana kuzingatia quality.Acha kuongea km mlevi kuna sehem wamepanua kabisa njee ya izo njia nne..bila shaka vitakuwa vituo..
Not to deflate your ego, there is a massive road called Western bypass in Nairobi.hii hatutalipia kuitumia.
Nyie wakunya,haya ni matokeo ya kodi za wa'tanzania eti!!View attachment 1740822View attachment 1740823View attachment 1740824View attachment 1740825View attachment 1740826
Thika road ni 8 lane na kuna sehemu ambapo ni 10 lane. Kalilie chooni kama ukipenda. Ukweli hautabadilika.Yenu ni six line , ni vipand vidog sna vyenye nne usituchonge apa
Hamna vituo vya daladala mzee nmepita jana watu wanashushiwa ndani ya barbara na kingine izo lane za katkat za mwwndokaz zitakua za kuchora kama za kenya yani kwenye huu mradi aisee tumebugii of course mradi hujaisha labda kuwe na marekebishoSasa kwani road imekamilika? Yani unataka highway iwe na footbridge kila baada ya mita kadhaa au co? Hivi unataka kunambia wao hawajui kwamba sehemu za kushusha na kupakia abiria zinahitajika? Yn niamini wewe umeona halafu wao hawajaona au sio?
Pia ngj nikushauri fanya cku uende kufanya tour ya kuicheki hyo road mana naona unaongea kana kwamba hujawahi kuiona, nenda uone kama hakuna sehemu za kushusha na kupakia abiria.
Hahaha.Hamna vituo vya daladala mzee nmepita jana watu wanashushiwa ndani ya barbara na kingine izo lane za katkat za mwwndokaz zitakua za kuchora kama za kenya yani kwenye huu mradi aisee tumebugii of course mradi hujaisha labda kuwe na marekebisho
Mzee baba nmepita juz huu upande wa kushoto kuelekea town ushachorwa kidogo kuanzia maeneo ya mbez mwisho kwa mbele kidogo na kile kipande chote kilichochorwa hamna dalili ya kituo labda wajenge kama vituo kama kwenye vituo vya daladala kwenye barbara ya morogoro road kuanzia kimara mwisho mpaka kivukoni ambambo vituo vipo fused na barabara haviko dedicatedAcha kuongea km mlevi kuna sehem wamepanua kabisa njee ya izo njia nne..bila shaka vitakuwa vituo..
Mzee unabipu atakupigia mchina kwenye miundombinu muaache tuuUSA[emoji16][emoji16]View attachment 1741180
Marekani ndio anaongoza katika sector ya Anga kwa sababu yeye ndiye anayeunda ndege. Boeing ni Kampuni ya marekani na wanunuzi wengi wamekuwa ni wamarekani. China haina uwezo wa kuunda ndege ya abiria. China wanaweza tu kuunda ndege za kivita. Lakini commercial airliner bado Uchina wako nyuma ila wanajaribu kuunda ndege ya abiria inayoitwa Comac c919 ila bado inafanyiwa testing. Ila Wachina wakishaelewa kuunda ndege za abiria vizuri basi wataziunda nyingi kwa mpigo. Ila kampuni za kichina hazina ujuzi wa kuunda engine za ndege ya abiria.
unashindana na nani?Not to deflate your ego, there is a massive road called Western bypass in Nairobi.