danja de genzo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 544
- 812
Ni kweli hapo umenena vyema wote tunatambua hali za nchi zetu atuko perfect kwa kila jambo bado tuko kizani kwa walaji wa nchi zetu kila sehemu inanuka kivyake ila wote tunatarijia nchi zetu ziondoke kwenye ujinga na umesikini wa chini zaidiUnajua Yosef Festo na Coco reborn ni hypocrites. Wanajifanya eti Tanzania ni mbovu kabisa na kwamba Kenya imeishinda Tanzania kwa kila kitu. Kwa bahati nzuri ni kwamba mimi ni Mkenya na nimezaliwa Kenya na kuishi hapa Kenya so hawawezi kunidanganya. Ni kweli kuna baadhi ya mambo ambayo Kenya ipo mbele ya Tanzania lakini pia kuna mambo ambayo Tanzania imeishinda Kenya. Mimi sina huo umal*ya wa kuja huku kujipiga kifua eti Kenya imeishinda Tanzania kwa kitu ilhali ukweli ni kwamba Kenya ina mambo mengi mabaya tu. Kenya ina madudu mengi tu ukiyachimba utayapata tu. Wakenya hawa wanaojipiga kifua huku pengine wengi wao ni wahangaikaji tu wa mitaani bila kazi wala masomo. Mimi ni Mkenya nayajua ila huwa nanyamazia tu. Nyinyi Wabongo mnadhani mnaijua Kenya lakini hamuijui vizuri. Mnajua tu asilimia tano ya kinachofanyika huku. Huku JF sote tunakuja kujifunza from each other. Kuna mambo ambayo Kenya tunaweza kujifunza kutoka kwenu na pia kuna mambo ambayo nyie mnaweza kujifunza kutoka kwetu. So kama kuna Wakenya wajinga wanaumwa basi waendelee kuumwa ila mimi sinyamazi na hakuna watakachonifanya. Na hii tabia ya ujinga ya wao kudai kwamba Kenya ni superpower ilhali Kenya ina watu wengi masikini ambao hawana mashamba, hawana chakula ya kutosha, hawana kazi, hawana masomo, hawana tumaini kwa maisha ikome. Waache ujinga. Kenya bado ni third world country. Bado ni nchi inayopambana na umasikini kama nchi zingine. Ujinga ndio huwa sitaki. Walie machozi wakitaka. Nchi ambayo haiwezi kuishi bila madeni? Tuwe serious wakati mwingine. Kenya ni nchi yangu lakini ujinga ndio huwa sitaki. Ukweli uheshimiwe. Mimi naheshimu ukweli kushinda uraia. Wanichukie tu haina shida. They can f*ck themselves. I don't care.
Mkenya mwenzangu anahisi vibaya kwamba nimesifia Tanzania kana kwamba Kenya ni mbinguni. Huku watu wengi wanaumia sana bwana. Apeleke ujinga wake huko. Yeye mwenyewe pia pengine ni masikini wa kutupwa na anakuja huku kujipiga kifua.Ni kweli hapo umenena vyema wote tunatambua hali za nchi zetu atuko perfect kwa kila jambo bado tuko kizani kwa walaji wa nchi zetu kila sehemu inanuka kivyake ila wote tunatarijia nchi zetu ziondoke kwenye ujinga na umesikini wa chini zaidi
Mbn kawaida tuuHapana hii bro Tony254 katoa boko.. Take a look hii ni BRT system ya cape Town pekee . N remember wao wanazo BRT system in more than one City,so their system is the best in Africa,alaf labda sisi ndio tunafuatia, hao wa West Africa ni uchafu hawatuwezi
Baeleze [emoji23][emoji23][emoji23]Unajua Yosef Festo na Coco reborn ni hypocrites. Wanajifanya eti Tanzania ni mbovu kabisa na kwamba Kenya imeishinda Tanzania kwa kila kitu. Kwa bahati nzuri ni kwamba mimi ni Mkenya na nimezaliwa Kenya na kuishi hapa Kenya so hawawezi kunidanganya. Ni kweli kuna baadhi ya mambo ambayo Kenya ipo mbele ya Tanzania lakini pia kuna mambo ambayo Tanzania imeishinda Kenya. Mimi sina huo umal*ya wa kuja huku kujipiga kifua eti Kenya imeishinda Tanzania kwa kitu ilhali ukweli ni kwamba Kenya ina mambo mengi mabaya tu. Kenya ina madudu mengi tu ukiyachimba utayapata tu. Wakenya hawa wanaojipiga kifua huku pengine wengi wao ni wahangaikaji tu wa mitaani bila kazi wala masomo. Mimi ni Mkenya nayajua ila huwa nanyamazia tu. Nyinyi Wabongo mnadhani mnaijua Kenya lakini hamuijui vizuri. Mnajua tu asilimia tano ya kinachofanyika huku. Huku JF sote tunakuja kujifunza from each other. Kuna mambo ambayo Kenya tunaweza kujifunza kutoka kwenu na pia kuna mambo ambayo nyie mnaweza kujifunza kutoka kwetu. So kama kuna Wakenya wajinga wanaumwa basi waendelee kuumwa ila mimi sinyamazi na hakuna watakachonifanya. Na hii tabia ya ujinga ya wao kudai kwamba Kenya ni superpower ilhali Kenya ina watu wengi masikini ambao hawana mashamba, hawana chakula ya kutosha, hawana kazi, hawana masomo, hawana tumaini kwa maisha ikome. Waache ujinga. Kenya bado ni third world country. Bado ni nchi inayopambana na umasikini kama nchi zingine. Ujinga ndio huwa sitaki. Walie machozi wakitaka. Nchi ambayo haiwezi kuishi bila madeni? Tuwe serious wakati mwingine. Kenya ni nchi yangu lakini ujinga ndio huwa sitaki. Ukweli uheshimiwe. Mimi naheshimu ukweli kushinda uraia. Wanichukie tu haina shida. They can f*ck themselves. I don't care.
Eti biggest and most developed brt, uliskia wapi???? Have you done simple research on other countries before making conclusions. Tatizo unapenda kujipendekeza
In SA fourth tier city like Pretoria has a roburst well running brt system more efficient than udart by thousand miles.
Teargas komora096 Yosef Festo huyu jamaa vipi???
View attachment 1738443
Watz wa humu Jamii forums especially in this thread wanajua vzr kwamba wewe huwa unaongea ukweli japo ni mkenya lkn kuna tabia fulani tunaita za kikenya wewe hizo huna na huo ndio ukweli.Unajua Yosef Festo na Coco reborn ni hypocrites. Wanajifanya eti Tanzania ni mbovu kabisa na kwamba Kenya imeishinda Tanzania kwa kila kitu. Kwa bahati nzuri ni kwamba mimi ni Mkenya na nimezaliwa Kenya na kuishi hapa Kenya so hawawezi kunidanganya. Ni kweli kuna baadhi ya mambo ambayo Kenya ipo mbele ya Tanzania lakini pia kuna mambo ambayo Tanzania imeishinda Kenya. Mimi sina huo umal*ya wa kuja huku kujipiga kifua eti Kenya imeishinda Tanzania kwa kitu ilhali ukweli ni kwamba Kenya ina mambo mengi mabaya tu. Kenya ina madudu mengi tu ukiyachimba utayapata tu. Wakenya hawa wanaojipiga kifua huku pengine wengi wao ni wahangaikaji tu wa mitaani bila kazi wala masomo. Mimi ni Mkenya nayajua ila huwa nanyamazia tu. Nyinyi Wabongo mnadhani mnaijua Kenya lakini hamuijui vizuri. Mnajua tu asilimia tano ya kinachofanyika huku. Huku JF sote tunakuja kujifunza from each other. Kuna mambo ambayo Kenya tunaweza kujifunza kutoka kwenu na pia kuna mambo ambayo nyie mnaweza kujifunza kutoka kwetu. So kama kuna Wakenya wajinga wanaumwa basi waendelee kuumwa ila mimi sinyamazi na hakuna watakachonifanya. Na hii tabia ya ujinga ya wao kudai kwamba Kenya ni superpower ilhali Kenya ina watu wengi masikini ambao hawana mashamba, hawana chakula ya kutosha, hawana kazi, hawana masomo, hawana tumaini kwa maisha ikome. Waache ujinga. Kenya bado ni third world country. Bado ni nchi inayopambana na umasikini kama nchi zingine. Ujinga ndio huwa sitaki. Walie machozi wakitaka. Nchi ambayo haiwezi kuishi bila madeni? Tuwe serious wakati mwingine. Kenya ni nchi yangu lakini ujinga ndio huwa sitaki. Ukweli uheshimiwe. Mimi naheshimu ukweli kushinda uraia. Wanichukie tu haina shida. They can f*ck themselves. I don't care.
Kwan hakuna???BRT in Pretoria????
Son of assistant chief awe na maisha magumu??? 😂😂😂 sidhaniWewe chokoraa nahisi una maisha magumu sn wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehehehe hebu screenshot mahali ulipo now tuone, alafu kwanza naomba upige picha simu unayotumia kwnz, mana kwa jinsi ulivyo kama kweli ungekuwa unajiweza wewe ungesumbua sn humu.Son of assistant chief awe na maisha magumu??? [emoji23][emoji23][emoji23] sidhani
nyie hii nchi imekuwa tia tia maji tu hahaa, rais ajae ana kazi kweli
i’m telling you guys, nchi imeishiwa... to this extent.. the country is very broke
Au RAJAMUT.The PURT Madam Suluhu
nyie hii nchi imekuwa tia tia maji tu hahaa, rais ajae ana kazi kweli
i’m telling you guys, nchi imeishiwa... to this extent.. the country is very broke