Battle: Dar es Salaam vs Nairobi




MY TAKE
Only $500 mln and things will be ohk! I don't believe him after 8 years of bailout 🙆‍♂️ ☝️ 👍🤣

CC: Tony254
 

huna lolote kilaza wewe,hukuwa hapa na mbuzi wenzako mnaponda watu kwa kutopenda kutumia kiingereza!!!!now umeelewa kwamba ni ushamba,baada ya kugundua wabongo wote tunajua kiingereza ila hatukitumii wakati wa kubishana na wakenya,badala yake tunajibu kwa kiswahili tu kukuonyesha tumeelewa ila hatutaki upuuzi kwenye lugha yetu lulu.

hatimaye sasa umeanza kupevuka kiakili baada ya kushinda humu muda mwingi,unaweza pata na bwana wa kibongo sasa.ila tatizo lenu mmekomaa kama kaka zenu[emoji16][emoji16][emoji16].
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba huyo..
Bado yupo kitaani anadundaView attachment 1735356
Kwahiyo huyo unayemuonesha naye ni mwanahabari? So cku hz habari ni kudhalilishana, matusi na kuombeana mabaya according to Kenyatta and bb[emoji1639] [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi we jamaa ni kilaza wa kutoka wapi ambae hujui kuendana na wakati, watu wapo msibani we unaleta masuala GDP. Umekua sasa mzee huitaji kuambiwa hivi vitu.
Kama uko na msiba unafanya nini kwa mada ya Nairobi VS Daresalaam? Si utulie uomboleze kwa amani ukiwa tayari urudi uje ujibu comment ulizokua tagged! Kilaza ni nyanyako ambae hakukufundisha ku manage time yako, sio lazima ujibu kila comment na sio lazima usome kila reply punde tu inapo postiwa. Mimi sikupangii mda wako na we usinipangie mda wangu, tuheshimiane tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…