Wapi utuonyeshe ya kwamba walitumia pesa za tax payers kulipa ndegeWewe fala kweli wenye ndege zao lazima walipwe ndio hio loss tunayozungumzia hapa munatumia pesa za tax payers kulipa ndege zao huku hali ya kampuni inahemea makalio[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamekaa ulaya wanakula kuku kwa mrija kupitia kodi za walala hoiView attachment 1732956View attachment 1732957
Km nyie mlivyokurupuka kununua mindege mkaiweka parking..Doh does this remind us of KQ with her project Mawingu under Naikuni which sought to expand all over Africa through acquiring state of the art aircraft through loans? I see Equity Bank going the same path as KQ!
CC: Tony254
The east african ndio KQ, hzo taarifa walizinukuu kutoka wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] mutarudisha vipi wakat kuna mikono ya wakubwa ndio wanapokula hapo wakicheza mchezo na wenye ndege
Kenya Airways spending $142m annually on leasing aircraft, report shows
Servicing loans takes up to 11pc of operating costs, against a global average of 5pc.www.theeastafrican.co.ke
View attachment 1732954View attachment 1732955
Hzi pia umetoa the east africanYani ni simple and clear 20 leased 17 loan through foreign banks and 3 fully paid
Haitaki hata ramli [emoji1][emoji1][emoji1]
sasa swali linakuja vipi zile 17 aircrafts ambazo ni loan mutalipa wakat shirika linahemea kwenyw makalio View attachment 1732952View attachment 1732953
Hizi taarifa hazina tofauti na zile zile tu alipowadanganya ya kwamba kaongea na jiwe yupo fiti, huku na yule mwngine kaja kusema binadamu kukaguliwa sio tatizo..homa, mafua mafua sio mbaya...Kwa Hapa Nikidhani inaweza ikawa uongo 4 billion people ni wengi sana ni kama kombe la dunia, hapa tume exaggerate sana
Tony254 kwn interchange inapojengwa huaga kazi yake ni kuondoa msongamano sasa sijui kamaanisha wa omba omba huyu jomba lako..manake kasema yeye alafu tena katika magari anataka data huku wakati kakiri mwnyweWw unataka tujenge interchange kwenye sehemu haina mahitaji kwa sasa ??? Nyinyi munajenga overpass kwasababu muna bandari na munataka kuondoa msongamano , sasa sijui wapi unakwama tony??
Hahaha. Huyo ichoboy01 amechanganyikiwa. Yeye mwenyewe amesema kwamba Mombasa ina msongamano wa magari kwa sababu ya port kisha baadaye anabadili mawazo na kuitisha evidence ya msongamano.Tony254 kwn interchange inapojengwa huaga kazi yake ni kuondoa msongamano sasa sijui kamaanisha wa omba omba huyu jomba lako..manake kasema yeye alafu tena katika magari anataka data huku wakati kakiri mwnywe
Wachina uzuri wao ni kuwa huwa wanafanya kazi haraka na kumaliza on time.
Kuna sehemu hapo nyuma ya berth (katika picha ya kwanza) ambayo bado haijakamilika. Nadhani ni container terminal ya berth 5 kama sijakosea.
Kununua benki sio kama kununua ndege. Those are two different businesses with two different risk factors. Naikuni hakuwa mwerevu sana. Biashara ya ndege haitaki ukurupukaji maana ina risk factors nyingi. Kununua benki mpya sio risky sana bora benki yenyewe ina good customer base.Doh does this remind us of KQ with her project Mawingu under Naikuni which sought to expand all over Africa through acquiring state of the art aircraft through loans? I see Equity Bank going the same path as KQ!
CC: Tony254
Have u considered the fact that taking loan to expand puts that bank in precarious situation, any competition in the market the bank has entered can cause a serious challenge to a business that uses loan to expand!Kununua benki sio kama kununua ndege. Those are two different businesses with two different risk factors. Naikuni hakuwa mwerevu sana. Biashara ya ndege haitaki ukurupukaji maana ina risk factors nyingi. Kununua benki mpya sio risky sana bora benki yenyewe ina good customer base.
Halafu naona watu wanashangaa kuona benki ikiomba loan. Hii ni kawaida sana katika sector hii benki kuomba loan from another bank. Kwanza benki za Afrika zinafurahia low interest rates za loan kutoka European or American banks. Benki ya Kenya ikiomba loan at 5% p.a from European banks halafu inalipisha Wakenya interest ya 20% p.a hivi wewe huoni kwamba watapata profit? Halafu hizi benki zimeandika kazi actuaries waliosomea acturial science, wanaotoa advice jinsi ya kuminimise risks za investments. Hawakurupuki hawa watu.
CRDB Bank has accelerated its focus on regional growth and is currently looking at expanding its operations into deep Eastern Africa, targeting the Democratic Republic of Congo in 2021, among other potential markets, especially countries with strong trade ties with Tanzania.
Mm sikuachi bro π€£π€£π ulifkiri munatumia mawe kulipaWapi utuonyeshe ya kwamba walitumia pesa za tax payers kulipa ndege
Hatuna mpunzani kwenye domestic over 80% soko lote la ndani air tanzania imelishika wewe utatuambia nnπππKm nyie mlivyokurupuka kununua mindege mkaiweka parking..
Ile siku mtapata faida mnitag
Nimekwambia port sijakwambia kuna msongamano wa magari wewe umekuaje tony ???Hahaha. Huyo ichoboy01 amechanganyikiwa. Yeye mwenyewe amesema kwamba Mombasa ina msongamano wa magari kwa sababu ya port kisha baadaye anabadili mawazo na kuitisha evidence ya msongamano.
Msongamano kutoka na kuingia port au hujui maana yake ??? Hujiulizi kwann wanajeng maeneo ya port kwann sio maeneo mengineTony254 kwn interchange inapojengwa huaga kazi yake ni kuondoa msongamano sasa sijui kamaanisha wa omba omba huyu jomba lako..manake kasema yeye alafu tena katika magari anataka data huku wakati kakiri mwnywe
π€£π€£π€£π€£π€£ alaf unauliza loss inatoka wapi ππππππ mchezo umekwishaThe east african ndio KQ, hzo taarifa walizinukuu kutoka wapi