Hata china usifkiri anaweza expose siri zake za kijeshi lakini ni taifa lenye silaha nzito pia ndio maana huoni marekani akimgusa mchina kwa lolote 😀😀😀😀Hapa tunazungumza US vs China
Na wenzako je watakua wamefurahi??🤣🤣Nimefurahi kumuona.
Kumi tena 🤣🤣🤣🤣🤣kerosene ya kenya inazidi petrol ya Tanzania [emoji23][emoji41]View attachment 1726728
So kenya ana ka indian ocean nusu???
Hahaha.Haya mafala nilijua tu lazima yafungwe ndo mana wala ckujisumbua kufatilia mechi, Wakenya wala msishangilie kuyafunga hayo *******, sisi mpira hatujui ila tuna ligi bora cz pesa ya ku invest kwenye soka tunayo, tunaweza kununua mchezaji yyte hapa East and Central Africa na ndiyo maana ndoto za wachezaji ukanda huu ni kucheza Tanzania ila sisi km sisi mpira hatujui hilo halina ubishi.
Juu yy ni east african president,lazima azungumziwe!Hata media ndogo ndogo za Kenya pia zinamzungumzia Magufuli
Acha uongo wewe Watu twitter tunatumia fresh pasipo vpnKuna vita inaendelea pale twitter Kati ya wakenya na watanzania lakini naskia nyie huko bongo TISS imewazimia mtandao wa twitter. Sasa eti mnatumia VPN.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Don't ever mess with Kenyans on twitter [emoji1787][emoji1787]
Then wanavunga kuwa hawaitaji mahindi ya tz si wasemw tu kuwa hawana elaWako busy na magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sure IchoboyHata china usifkiri anaweza expose siri zake za kijeshi lakini ni taifa lenye silaha nzito pia ndio maana huoni marekani akimgusa mchina kwa lolote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tanzania ni nchi yenye sheria. Rule of Law.Yaani mumeanza kukamata watu wanaoeneza uvumi kuhusu Magufuli?
View attachment 1726730
Report ya February Ukiangalia Kuanzia dk ya sita, imesolve hili swali tulilokuwa tunajiuliza kwamba line nyingine haina waya wa umeme.