Hawa jamaa wako slow ila kazi yao nimeikubali.
Ukitupiwa kombora ya kinuklia vita inaisha upende usipende. Tazama fire-ball ya nuclear bomb na mushroom cloud yake inavyofananapicha siyo vita
DSM FEBRUARY 2021 Progress Video; Dar - Moro [emoji91]
Nuclear fallout after the bomb explodes is even more devastating. The radiation can reach and affect areas that are miles away from the blast radius, truly the worst thing ever invented!Ukitupiwa kombora ya kinuklia vita inaisha upende usipende. Tazama fire-ball ya nuclear bomb na mushroom cloud yake inavyofanana
View attachment 1726684View attachment 1726685View attachment 1726686View attachment 1726687
Uliza Wajapani wa Hiroshima na Nagasaki watakueleza.
Per capita (yaani ukizingatia mtu mmoja mmoja) Mmarekani mmoja anatumia umeme mwingi kushinda Mchina mmoja ila kwa ujumla Wachina wanatumia umeme mwingi kishinda Wamarekani.Pop ya China vs USA nani anaumeme mwingi? Kumbuka wamarekani hawazidi 300+M ilhali wachina ni zaidi ya 1.3B
I agree.Nuclear fallout after the bomb explodes is even more devastating. The radiation can reach and affect areas that are miles away from the blast radius, truly the worst thing ever invented!
Nahisi watapewa tenda nyingineKweli man ..ila angalau tupate tu kitu cha uhakika ..which kwa video naona standards zimetulia wame consider hadi helipads kwenye vituo vidogo which is very good .. i wish waje wapewe tender ya kama phase 4 and 5 ya BRT design and build tuone watavyoipiga vizuri
Naona soko la dhahabu limekaa vizuri sana. Yani na utalii ungekuwa vizuri bila kuwepo corona nadhani nchi ingekuwa kwenye position nzuri sana.
Hakika the future is promising.
sina shaka katika hilo,hata standard za maisha US wako juu zaidi.Pop ya China vs USA nani anaumeme mwingi? Kumbuka wamarekani hawazidi 300+M ilhali wachina ni zaidi ya 1.3B
Nimefurahi kumuona.
Nahisi watapewa tenda nyingine
Wakenya mnamatatizo sana.Nimefurahi kumuona.
May u please define this [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji205][emoji86]Tanzania ni Dar es Salaam pekee, chapa kwisha[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23].,
Good credit ratingNimeona mna reserve ya dola bilioni 7 mwaka huu na hilo deni linazidi hiyo reserve account yenu lakini bado mnakopesheka. Mnafanya nini hadi wanaamini mna uwezo wa kulipa hata kama deni limezidi pesa iliyopo kwenye reserve account?
Lini hii mkuu
Unatetemekaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii picha ni ya lini?
Haya mafala nilijua tu lazima yafungwe ndo mana wala ckujisumbua kufatilia mechi, Wakenya wala msishangilie kuyafunga hayo *******, sisi mpira hatujui ila tuna ligi bora cz pesa ya ku invest kwenye soka tunayo, tunaweza kununua mchezaji yyte hapa East and Central Africa na ndiyo maana ndoto za wachezaji ukanda huu ni kucheza Tanzania ila sisi km sisi mpira hatujui hilo halina ubishi.Kenya 2 - 1 Tanzania
haitawai tokea tanzania itupige katika mchezo wowote View attachment 1726562