Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unataka kunifundisha kuhusu music na managment zinavyosongeshwa.......

wakenya mnamatatizo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujui kitu mzee baba[emoji1787][emoji1787]
Mziki unahitaji mtandao mpana ndiposa mtu afanikiwe na afike level ya juu kabisa..

Yani nyie mnashtuka na jina CEO[emoji1787]kweli zuka ni zuka tu
 
Isije ikawa nabishana na mlala hoi nikajisumbua ,mana maskini huwa mko na ideology zenu kwahyo ngoja nikuache kwanza uendelee kujifariji na upumbavu wako
Tatizo we ni maskini wa fikra[emoji1787][emoji1787]heri mie tena kuliko wewe..
Akili zako zikisikia neno CEO basi unakuta ni kitu kikubwa kweli
 
Alaf Angalia sitajibizana tena na wewe Mana ni kujichoresha tu .kubishana na vilaza ni kujishushia heshima.. endelea kujua unavyotaka wewe. Me nimemaliza
Ujuaji umekuponza jomba, tena shukuru hapa hatujuani lkn kwngine utachekwa na uonekane zero kabisa..
 
Don't be fooled with those data bro, Kwa Ground Ghana is a third world country just like Kenya.
 
Issue ya mahindi imeishaje nyan'gau?
Hizi taarifa kwamba mmeanza kulala bila kula zinashtua?Kwan hamna milo mingine mbali na ugali,githeri [emoji23][emoji23][emoji23]Bila kusahau mkombozi Uji

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Wavitoe wapi wakat arable land zote mzungu na politicians wanapanda maua wakauze ulaya 🤣🤣🤣🤣
 
Hujui kitu mzee baba[emoji1787][emoji1787]
Mziki unahitaji mtandao mpana ndiposa mtu afanikiwe na afike level ya juu kabisa..

Yani nyie mnashtuka na jina CEO[emoji1787]kweli zuka ni zuka tu
aliyeshtuka na CEO ni nani.....?...
hebu leta ushahidi unaoonyesha mtu aliyeshtuka na neno la CEO unajiongelesha mwenyewe unajijibu mwenyewe[emoji1787][emoji1787]

hauujui mziki wewe bado mshamba,,..jijenge kwanza kimaisha ndiyo ukae mezani na welevu wa hiyo industry na mtu kama mimi
 
Tatizo we ni maskini wa fikra[emoji1787][emoji1787]heri mie tena kuliko wewe..
Akili zako zikisikia neno CEO basi unakuta ni kitu kikubwa kweli
umekazana na Hoja ya CEO ambayo umejiletea mwenyewe na kujijibu mweyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

umeishiwa sera ,,,,,

vipi una lingine jipya...?
 
Issue ya mahindi imeishaje nyan'gau?
Hizi taarifa kwamba mmeanza kulala bila kula zinashtua?Kwan hamna milo mingine mbali na ugali,githeri [emoji23][emoji23][emoji23]Bila kusahau mkombozi Uji

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hawana milo mingine kaka, mahindi ndiyo yanatengeza ugali, uji, githeri na mokimoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…