Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,302
- 2,130
Imekaa kipropaganda zaidi na mengi yaliyopo humo tayari tunayajua. Document ambayo ni confidential sio lazima iwe private. Sasa hiyo private kwa watu gani?. Hiyo document inatoa taarifa kwa general public wakati huo huo imeandikwa confidential, ni mambo ya ajabu.
Kwn wewe Magu amekufanya nn mana unamchukia kuliko yule jamaa aliyekubaka, Magu co Rais wako lkn huishi kumwish mabaya, Wakenya mnashangaza mno mno mno, Rais co wenu iweje mumchukie? Hivi Watz hizi chuki za Wakenya dhidi ya Rais wetu mnadhani zinaashiria nini?Power transitionView attachment 1723609
Wamekimbilia kichwa kichwa ngoja waone cha mtema kuni
Wivu hamna zaidi ya hicho😀huyu ni wakupuuzwa 😀wakenya wengi Wana wish Angekua Rais wao Ila basi 😀 ignore the fool😀Kwn wewe Magu amekufanya nn mana unamchukia kuliko yule jamaa aliyekubaka, Magu co Rais wako lkn huishi kumwish mabaya, Wakenya mnashangaza mno mno mno, Rais co wenu iweje mumchukie? Hivi Watz hizi chuki za Wakenya dhidi ya Rais wetu mnadhani zinaashiria nini?
Magufuli ninavyomjua hawezi kumwachia mdogo wake azinduwe miradi. Anapenda kupata sifa kwa hivyo yeye huwa anataka azinduwe miradi zote. Hivi leo itakuwaje ameshindwa kuzindua hizi miradi amemwachia mdogo wake?
Pitia youtube uone miradi mingi PM akiitembelea na kuizindua JPM utamuona Kampala wiki hii! Na kuna uwezekano deal la LNG likatangazwa!Magufuli ninavyomjua hawezi kumwachia mdogo wake azinduwe miradi. Anapenda kupata sifa kwa hivyo yeye huwa anataka azinduwe miradi zote. Hivi leo itakuwaje ameshindwa kuzindua hizi miradi amemwachia mdogo wake?
Unadhani wanapenda speed anayokwenda nayo JPM.Kwn wewe Magu amekufanya nn mana unamchukia kuliko yule jamaa aliyekubaka, Magu co Rais wako lkn huishi kumwish mabaya, Wakenya mnashangaza mno mno mno, Rais co wenu iweje mumchukie? Hivi Watz hizi chuki za Wakenya dhidi ya Rais wetu mnadhani zinaashiria nini?
The dots have already been connected [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tusomeni hapa [emoji23][emoji23]
Unauendekeza huu upumbavu wa kitoto? Kwahiyo hata akisema baba ako jana alibakwa alipokuwa amelewa utaamini?
😎😎Unauendekeza huu upumbavu wa kitoto? Kwahiyo hata akisema baba ako jana alibakwa alipokuwa amelewa utaamini?
Mtu anaongea tu pasipo evidence, yn mtu akifa tu basi corona, yeye alienda hospitali kuthibitisha kwamba aliyekufa ni corona? Kwa misiba ya corona aliyotangaza huyo jamaa mpk ss basi ingekuwa Watz wote humu tushakufa Mana ni mingi kuliko iliyotokea USA na Italy combined [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The best 007 , Sasa Uganda inabidi ijiunge rasmi na SGR Tanzania kutoa msisitizo haiamuriwi cha kufanya!tusomeni hapa [emoji23][emoji23]
You are nothing but a stupid coward!Kama kukopa kulileta nafuu ya maisha kwa watu kuna shida gani?
Kukopa na kujenga miradi ya kipuuzi isiyo na tija wala kuchochea uchumi kuna maana gani?
Kuna serikali iliyokopa kama hii baada ya Nyerere? Na mnakopa kujenga ushuzi huko Chato mara stendi mara ndege mara madaraja ya kuvuka maziwa
Kwa hiyo hiyo ndio scale of preference yenu ,reasoning yenu iko based kwenye emotions na feelings kuliko kufanya economic thinking
We don't eat madaraja and such upuuzi tunataka ajikite kwenye welfare economics..
Afu na wewe mchumi feki kasome Behavioral economics ikusaidie kudhibiti mihemko wakati wa kujenga hoja za kiuchumi
UG hawana ubavu huo.The best 007 , Sasa Uganda inabidi ijiunge rasmi na SGR Tanzania kutoa msisitizo haiamuriwi cha kufanya!
CC: Tony254
Hata we mwenyewe hapo ulipo unaona aibu baada ya kugundua mnaongozwa na serikali ya kihuni isiyo na msimamo.Haahhahaa.
Yaani kumbe Uganda pia walikuwa wanalia kuhusu maize ban. Wamelia sana. Tulikuwa tunataka kuwakumbusha majirani zetu nani ndio superpower wa ukanda huu. Mumepiga nduru mpaka tukawaonea huruma.