Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani tofauti ya PPP na loan iko wapi?. , ba mzee hauna nguvu kimawazo, nikupayuka tu,, it is just another format ya loan, and an easy option that does not weigh the country's treasury ., na tutalipa wewe meza wembe, kwa roho umeumia sana, traffic on that road costs more on fuel, mia ni nini? Na bodaboda na tuktuks hazilipi, propaganda baki nazo CCM Kama haujafunga account hauna lolote la kuwaambia watu, good morning for example...,
Musubiri mambo kama hayo 🤣🤣👇👇 kisumu hio
 
Eti east loan mamaee miaka 30 nusu karne unasema easy loan tulieni murambe dawa ya mchina mpaka maji mtaita mma kama vile kwenye SGR alivowanyuka in out
Bado uko fiongo sana.,find out how long it will take to clear your big loans., and what is the benefits to the economy?, unalazimisha fikra zako uchwara kwa Kenya pole utakufa bure, vumilia na vya kwenu.,, Pole bro, umeteseka ya kutosha tayari huu mwaka., pumzika ungoje train za umeme zikuponye roho
 
Kwani tofauti ya PPP na loan iko wapi?. , ba mzee hauna nguvu kimawazo, nikupayuka tu,, it is just another format ya loan, and an easy option that does not weigh the country's treasury ., na tutalipa wewe meza wembe, kwa roho umeumia sana, traffic on that road costs more on fuel, mia ni nini? Na bodaboda na tuktuks hazilipi, propaganda baki nazo CCM Kama haujafunga account hauna lolote la kuwaambia watu, good morning for example...,
Umeona shughuli hio ambayo inakufanya CCM inakutoa raha🤣🤣🤣👇👇👇
 
Bado uko fiongo sana.,find out how long it will take to clear your big loans., and what is the benefits to the economy?, unalazimisha fikra zako uchwara kwa Kenya pole utakufa bure, vumilia na vya kwenu.,, Pole bro, umeteseka ya kutosha tayari huu mwaka., pumzika ungoje train za umeme zikuponye roho
Which loan ??? Hebu taja loan hio ambayo tanzania imechukua kipumbavu 😁😁😁 yani miaka 30 hapo mchina anauhakika wa ajira lakwanza hilo na la pili anauhakika wakurudisha pesa zake na faida mara 5 na la tatu mpaka miaka 30 inaisha hio barabara itakua kwenye hali ya kuoza take it or leave it🤣🤣🤣🤣🤣
 
Diamond Plaza

IMG_6049.jpg
 
Bado uko fiongo sana.,find out how long it will take to clear your big loans., and what is the benefits to the economy?, unalazimisha fikra zako uchwara kwa Kenya pole utakufa bure, vumilia na vya kwenu.,, Pole bro, umeteseka ya kutosha tayari huu mwaka., pumzika ungoje train za umeme zikuponye roho
Unafananisha mikopo ya kenya na tanzania wewe uko serious 🤣🤣🤣
34% debt to GDP ratio vs 86% debt to GDP ratio ni wapi na wapi ???

taja loan ambayo tanzania imechukua inafanana na kenya niskie hapa
 
Bado uko fiongo sana.,find out how long it will take to clear your big loans., and what is the benefits to the economy?, unalazimisha fikra zako uchwara kwa Kenya pole utakufa bure, vumilia na vya kwenu.,, Pole bro, umeteseka ya kutosha tayari huu mwaka., pumzika ungoje train za umeme zikuponye roho
🤣🤣🤣🤣🤣 mm au wewe
 
Ikiwa benki zenu zinayoikopa serekali yenu zinakopa na zenyewe unategemea nn hapo 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Hata ukikasirika bro haisaidii mark my words hasira zako juu ya CCm hazitasaidia kwasababu hio hio CCM inawanyima usingizi kwa maendeleo ya miaka 5 tu
Ona bado unalialia, this year!, jiamini tu and be proud without inferiority complex symptoms ., haya basi, mmefanya maendeleo sijakata, furahia sasa.,
 
Umebakia kulia na CCM hio hio inakunyima usingizi wakt mwengine bora unyamaze manake unazidi kuonekana mjinga tu 🤣🤣
 
Musubiri mambo kama hayo 🤣🤣👇👇 kisumu hio

Hii authority haina economists kwenye board yake. Nilisoma CV zao nikagundua wamesoma fani tofauti. Ujinga waliofanya ni kudhani kwamba kujenga mall ndio itaharakisha rate of development. Kumbe hawakujua kwamba mall ni useless sana katika kuchochea kasi ya development. Inachangia development kwa kiasi kidogo sana. Mtu yeyote anayefahamu uchumi angewapa mawaidha kwamba badala ya kujenga mall, wajenge industries na factories. Kwa mfano Kisumu zamani ilikuwa na textile industry kubwa na wakulima wa pamba pia walikuwa wengi. Industry hio ilikuwa inaajiri thousands of people. Lakini ikafa baada ya Kenya kuanza kuimport mitumba kutoka ulaya. Textile industry inastahili kuanza tena Kisumu na importation ya mitumba ipunguzwe halafu mwishowe ifutiliwe mbali. Watu wanalia kwamba mitumba inaajiri watu wengi lakini hawajui kwamba textile industry ndio inaajiri watu wengi zaidi na inaleta taxes kubwa kwa serikali.
Au angalau wangejenga factory ya kutengeneza sukari maana miwa zipo kwa wingi ukanda huu.
Au hata wangejenga fish processing factory. Wangejenga pia cold storage facilities maana samaki wapo kwa wingi hapo lake Victoria. Kisumu airport ipo hapo karibu, samaki baada ya kuwa processed to European standards, inaweza kupakiwa na kuwa exported to EU kama vile huwa tunaexport maua na mboga to EU. Lakini tatizo tunapenda shortcuts, hatutaki kutafuta expert advice ya jinsi ya kufufua uchumi wa eneo linalokufa. Kisumu ilikuwa a vibrant city lakini sasa hivi haina industries na kujenga malls hakutasaidia kufufua uchumi wake.
Lakini unajua mtu ambaye hajasoma uchumi anafikiria kwamba ukijenga mall ndio sasa utaleta maendeleo katika eneo fulani. Kwanza mall haiajiri watu wengi. Mall inaajiri watu wachache ukilinganisha na factory yoyote ile. Pili mall inastahili kujengwa na private sector kihalisia, serikali haistahili kupoteza pesa yake kujenga mall, japo serikali nyingi huwa zinajenga mall ili kutafuta sifa lakini hio ni tabia mbaya. Tatu mall hufaulu tu eneo ambalo wanaishi watu wenye pesa nyingi mfukoni, maana ukijenga mall mahali ambapo watu ni masikini basi mall itabaki kuwa empty. Mall inastimulate consumption of goods lakini factories zinastimulate production of goods. Ni vizuri kujenga factories ili kuproduce more goods kushinda kujenga malls ili kuconsume more goods. Production of goods ndio inachochea ukuaji wa uchumi kushinda consumption of goods. Kama ningeulizwa mimi, ningewapa mawaidha kwamba wajenge industries (textile, sugar au fish processing) badala ya mall hapo Kisumu.
 
Lakini unajua mtu ambaye hajasoma uchumi anafikiria kwamba ukijenga mall ndio sasa utaleta maendeleo katika eneo fulani. Kwanza mall haiajiri watu wengi. Mall inaajiri watu wachache ukilinganisha na factory yoyote ile. Pili mall inastahili kujengwa na private sector kihalisia, serikali haistahili kupoteza pesa yake kujenga mall, japo serikali nyingi huwa zinajenga mall ili kutafuta sifa lakini hio ni tabia mbaya. Tatu mall hufaulu tu eneo ambalo wanaishi watu wenye pesa nyingi mfukoni, maana ukijenga mall mahali ambapo watu ni masikini basi mall itabaki kuwa empty. Mall inastimulate consumption of goods lakini factories zinastimulate production of goods. Ni vizuri kujenga factories ili kuproduce more goods kushinda kujenga malls ili kuconsume more goods. Production of goods ndio inachochea ukuaji wa uchumi kushinda consumption of goods. Kama ningeulizwa mimi, ningewapa mawaidha kwamba wajenge industries (textile, sugar au fish processing) badala ya mall.
Nilijua aliyeandika hii sio Mkenya.

Malls ni nzuri kujua zipo ila in realities sio inclusize kwenye jamii.

Kitu ambacho ni obvious Kenya, Serikali na hata watu binafsi wanatarget baadhi ya kundi la watu, this will destroy Kenya in future.

Serikali ya Tanzanaia now inajenga masoko Makubwa ya Kisasa ambayo huduma zimeboreshwa na inawasaidia watu wa makundi yote. Cause kwenye hayo masoko watanunua waafrika, wazungu, wahindi, waarabu. Na wanaouza sio watu wenye mitaji mikubwa kama kwenye hizi malls.

Uchumi Jumuishi ndio njia pekee ya kuziinua nchi za Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii authority haina economists kwenye board yake. Nilisoma CV zao nikagundua wamesoma fani tofauti. Ujinga waliofanya ni kudhani kwamba kujenga mall ndio itaharakisha rate of development. Kumbe hawakujua kwamba mall ni useless sana katika kuchochea kasi ya development. Inachangia development kwa kiasi kidogo sana. Mtu yeyote anayefahamu uchumi angewapa mawaidha kwamba badala ya kujenga mall, wajenge industries na factories. Kwa mfano Kisumu zamani ilikuwa na textile industry kubwa na wakulima wa pamba pia walikuwa wengi. Industry hio ilikuwa inaajiri thousands of people. Lakini ikafa baada ya Kenya kuanza kuimport mitumba kutoka ulaya. Textile industry inastahili kuanza tena Kisumu na importation ya mitumba ipunguzwe halafu mwishowe ifutiliwe mbali. Watu wanalia kwamba mitumba inaajiri watu wengi lakini hawajui kwamba textile industry ndio inaajiri watu wengi zaidi na inaleta taxes kubwa kwa serikali.
Au angalau wangejenga factory ya kutengeneza sukari maana miwa zipo kwa wingi ukanda huu.
Au hata wangejenga fish processing factory. Wangejenga pia cold storage facilities maana samaki wapo kwa wingi hapo lake Victoria. Kisumu airport ipo hapo karibu, samaki baada ya kuwa processed to European standards, inaweza kupakiwa na kuwa exported to EU kama vile huwa tunaexport maua na mboga to EU. Lakini tatizo tunapenda shortcuts, hatutaki kutafuta expert advice ya jinsi ya kufufua uchumi wa eneo linalokufa. Kisumu ilikuwa a vibrant city lakini sasa hivi haina industries na kujenga malls hakutasaidia kufufua uchumi wake.
Lakini unajua mtu ambaye hajasoma uchumi anafikiria kwamba ukijenga mall ndio sasa utaleta maendeleo katika eneo fulani. Kwanza mall haiajiri watu wengi. Mall inaajiri watu wachache ukilinganisha na factory yoyote ile. Pili mall inastahili kujengwa na private sector kihalisia, serikali haistahili kupoteza pesa yake kujenga mall, japo serikali nyingi huwa zinajenga mall ili kutafuta sifa lakini hio ni tabia mbaya. Tatu mall hufaulu tu eneo ambalo wanaishi watu wenye pesa nyingi mfukoni, maana ukijenga mall mahali ambapo watu ni masikini basi mall itabaki kuwa empty. Mall inastimulate consumption of goods lakini factories zinastimulate production of goods. Ni vizuri kujenga factories ili kuproduce more goods kushinda kujenga malls ili kuconsume more goods. Production of goods ndio inachochea ukuaji wa uchumi kushinda consumption of goods. Kama ningeulizwa mimi, ningewapa mawaidha kwamba wajenge industries (textile, sugar au fish processing) badala ya mall hapo Kisumu.
The most painful part ni Kuruhusu mitumba na kuua Local industries,
That part we as africans fucked up ourselves *****.
Hawa viongozi wetu sijui tulikuwa tunawatoa wapi
 
Back
Top Bottom