Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So njia za kutoa na kuingia na zenyewe munahesabu kwenye lanes [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ama kwei muna safari ndefu sana
Ndio nakwambia unionyeshe njia ya kutoa na kuingia, nasubiria unionyeshe..
 
Hio video ya pili iko poa sana. Sikujua Mombasa ni construction site. komora096 kumbe huko Mombasa kunajengwa hivi na umenyamaza tu huku. Sina habari kwamba mambo mazito yanaendelea huko.
I have so much for mombasa it would take a considerable time to post, but I agree the president shifted focus to coastal region and Northern frontier
 
Kwani Ikulu ya Dodoma haijakamilika? Ni jengo nzuri sana ila nilidhani Magufuli tayari anaishi Dodoma, kwani anaishi kwenye jengo gani huko Dodoma?
 
Hapa safi progress inaonekana, hongereni japo hakuna uwezekano wa kuwa km render, but congratulations in advance, tunataka mambo km haya weka niweke na sio daily sisi tu ila nyie mko na expressway tu, ok[emoji122][emoji122] [emoji122][emoji122]
They are constructing in Lots, see for instance :

Phase 1: Miritini junction to Mwache junction + Kipevu Link Road (10.1 km) 4 lanes
2. Phase 2: Mwache junction to Mteza (including Mteza bridge) 8.96 km 4 lanes
a. Mwache bridge (660m)
b. Mteza bridge (1,440m)
c. Tsunza viaduct (690m)
3. Phase 3: Mteza (excluding Mteza bridge to Kibundani junction (6.86 km) 4 lanes
a. Right turn viaduct.
 
Wanajifanya hawajaona hii🤣🤣🤣 Tony254
Hio ni obvious kwamba mlikuwa kwa kasi kubwa 2020 maana mlikataa kufunga uchumi wenu kwa sababu ya ule uongo wenu kwamba hamna corona. Yaani mlicheza game chafu. Mliamua heri watu wenu wakufe lakini uchumi usisitishwe ili muzipiku nchi zingine za Afrika. Lakini 2021 nchi kama akina Rwanda na Ethiopia zitaendelea kukua kwa kasi kuwashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…