Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi ni Mtanzania ila ukweli ni kwamba Kenya mko mbele zaidi katika vitu vingi kwa mfano ishu ya umeme , ninyi mpo mbele zaidi kwanza mnauza umeme kisasa zaidi mtu unajenga nyumba makampuni ya umeme yanakuwekea umeme yenyewe tena kwa kushindana hiyo kwetu hapa haipo kabisa yaani kuunga umeme ni taabu ile mbaya.Pia wakati watz wanawaza umeme wa maji ninyi mnawaza umeme wa nyuklia ambao ni bora na wa kuaminika zaidi kuliko huu wa maji.

Tatizo watz wengi wana wivu tu na hiyo Kenya hawana jambo zaidi sasa wivu wao badala wawaze kufanya kitaalamu wao mambo yao wanafanya kizamani zaidi.Kenya mpo smart na kamwe mtu smart hatatawaliwa na mtu anayetumia nguvu zaidi kuliko akili.

Keep up Kenya sisi huku tunaburuzwaburuzwa tu
 
Kwani huko Kenya hakuna makampuni yanayozalisha umeme wake ?[emoji23][emoji23]
 
Upupu kwenye ubora wake 🤣🤣🤣🤣🤣 eti umeme wa nyuklia mamaee unafkiri kula githeri hio
 
Guys you know kuna mda unakuta mtu kapost ujumbe na pic yake alafu unakuta the pic ina chelewa ku load, ndo yalio nikuta sasa.. yani kwanza nilikua sitaki kuamini kwamba eldoret kuna Starbucks (coffe) yani i was surprised and eagerly wanted the pictures to load ilinijione kwa macho yangu mwenyewe but instead si nika kutana na mabweni ya Tusime bwana... fu**k 😂😂😂 i was so fkn disappointed and relived at the same time🤣... we shouldn't take kenyans serious at all.. khaa🤣
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mimi.

 
www.ufipa.co.tz
 
Hebu tupe hilo andiko linalosema Mungu husaidia mtu anayejisaidia.? 🤣

Ukiupata msitari wa hivi kwenye biblia natoka jf, Biblia inajitegemea usiiwekee maneno ya mtaani.
 
Amepotea njia anadhani hili ni jukwaa la siasa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


Mwelekeo wa siasa ya Tanzania ni hatari kwa siku za usoni kama haitabadilika
 
wakenya muache wizi [emoji3][emoji3][emoji3] dah hizi nyumba zipo kigamboni gezaulole huyu mtu komora096 anasema nyumba za kuishi watu wakawaida kenya [emoji3][emoji3]View attachment 1715914
Mm mwenyewe niliona zile nyumba alizopost huyu komora096 baadhi ni za Tz ila nikakausha tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hebu tupe hilo andiko linalosema Mungu husaidia mtu anayejisaidia.? 🤣

Ukiupata msitari wa hivi kwenye biblia natoka jf, Biblia inajitegemea usiiwekee maneno ya mtaani.
Bibilia ni kitabu cha mafumbo. Yesu mwenyewe alikuwa akifundisha kutumia mafumbo. If you take it literally, you will have a difficult time understanding the Bible and any of its hidden messages.

Pekua vitabu zinazozungumzia laziness and you'll get my point
 
It's never that serious man. Starbucks haipo Kenya. The owner of that joint just decided to be creative in choosing a name and I don't think there's anything wrong with that as long as he won't run into legal problems with Starbucks for that name. Personally, I have seen a "Serena hotel" somewhere which is a far cry from the Serena you and everybody else knows
 
God to exempt you wakati unajiexpose kwa kirusi kila siku by not following the laid down guidelines.



Hao mnaowaaabudu kila siku wanabadilisha magoli ya jinsi ya kujikinga. Sasa wanasema barakoa hazifai, mnazidi kuumbuka.
 
Umenifanya niingie online
Kenya ipi unaizungumzia?

Unadhani wote humu hawaijui Kenya?, hadi wakenya watakushangaa... Kenya wanashifirika moja la umeme kama Tanesco.

Wakenya gani wanajenga nyumba zao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Wakenya asilimia 70 na zaidi hawezi kumudu kujenga nyumba zao... Wanakaa kwenye yale magorofa ambayo kodi yake ni 5K.

Kwa taarifa yako gharama ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko Kenya.

Pia Umeme Kenya unakatika kuliko Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…