ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Unaeza jionea nimezoom kwann mzungu kaona slum hapo 🤣🤣🤣👇👇👇Mbona hii unaikwepa? 😂 😂 View attachment 1715495
Unaeza jionea nimezoom kwann mzungu kaona slum hapo 🤣🤣🤣👇👇👇Mbona hii unaikwepa? 😂 😂 View attachment 1715495
Sal salinero moshi
Wewe mbona hushangai Mbeya inaitwa city?!Mbona hushangai moshi ni town na sio city 🤣🤣🤣🤣🤣
Hata Kibera iko na barabara za lami Kijana. Acha kujitoa ufahamuNimekusaidia kuzoom haya tuoneshe slum na nimekuchorea na barabara kabisa 🤣🤣🤣👇👇👇👇 yani mzungu awe mjinga kuliko fala weweView attachment 1715503
Sina muda na wapumbavu.Nyinyi mlifika wapi na maombi? [emoji23]
Kuna utalii(mlima klm,klm national park, viwanda,service,kilimo, usafirishaji)Kitega uchumi ya Moshi ni nini?
Mpumbavu ni mtu anayeamini janga linalohitaji suluhisho la kisayansi inaweza zuiwa na maombi 😂Sina muda na wapumbavu.
Naona mumeanza kukumbatia huu mfumo wa "maboxes" na gated communities. Ona mandhari inavyovutia na kupendeza hadi raha! Mnaiponda humu ndani ila moyoni mnaikubali sana 😂
mmefata suluhisho gani la kisayansi sasa nyinyi mbayuwayu!!!!!Mpumbavu ni mtu anayeamini janga linalohitaji suluhisho la kisayansi inaweza zuiwa na maombi 😂
Mbeya unaiweza wewe??? Hebu ijaribu uoneWewe mbona hushangai Mbeya inaitwa city?!
Uheheheh umeona kwann mzungu anaakili zaidi kukuliko wewe 😀😀😀😀 yani afunge technology hewani ya ya mabilioni dollar asione slum dar aone ya ulimwengu mzimaHata Kibera iko na barabara za lami Kijana. Acha kujitoa ufahamu
Nashangaa [emoji23][emoji23][emoji23]mmefata suluhisho gani la kisayansi sasa nyinyi mbayuwayu!!!!!
ili angarau tuwaige??