Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasema nini wewe stupid? Maneno mengi kama chiriku 🙄 ukija DSM tafuta sehemu kama hizo🙂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1] noma sana hao ndiyo wazee wa only best city in east africa....

watu wanabeba kunguni mtaani wanaingia nao kwenye matatu
 
TBT: OAU reaction after Idd Amin got deposed from power by TPDF









TZ ni baba lao yaani tumekwenda kukamata nchi nyingine kwa nguvu na kuweka kiongozi tunayemtaka mpaka watu wanaanza kupiga kelele OAU na UN.

Hizo ni moves za USA na Russia tu.

Sasa mtaelewa kwanini jirani wanaweka military bases za UKna US ktk ardhi zao ili kujihakikishia usalama..

Bongo is the beast🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…