Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eu--lyrXAAgcFMe

Eu--lykXIAENFr8

Eu--lyrXIAE8lgv

Eu--lysXcAMOvEs

Wapi wale waliokuwa wanatamba ati Nairobi Terminus is the largest station in the region? Baada ya kuita Dar's SGR Terminal a mall, 👇

Screenshot_2021-02-27-10-41-50.png

👇 hii Bus Terminal itakuwa 5 star hotel! 🤣🤣🙏

CC: Tony254, komora096 n NairobiWalker
 
1 MegaWatt ni nyingi sana.
Nyumba ya ghorofa 2 kwa mfano, yenye mashine ya kufulia, hair dryer, fridge, jiko la umeme, television kubwa kabisa zaidi ya moja, computers, air conditioner.

Kwa siku anatumia 1000 watts.

Rwanda yenyewe inaumeme chini ya 200MW.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka pitia upya taarifa zako, 1000W, ni matumizi ya pasi kwa nusu Saa, labda ulitaka kuandika 1000KW
 
how much is one unit of electricity (in kW) from Tanesco?

Tanesco kama tanesco wanachukua 250-265tsh/kwh

ila kuna wale wengine ewura, rea, vat inakuja mpka 330-345tsh/kwh

hivyo unit moja (1kwh) = < 345tsh

pia bei inatofautiana kutokana na mahitaji yako ya umeme.. wale 0-75kwh ni tofauti na wale wa > 75kwh
 
meli inajengwa wapi? Na ya kampuni gani? Nakuambiaga sector ya energy si strength yako (hujui kitu) ila ni ubishi siku zote! Tanzania gas itabaki pale kama makubaliano si mazuri afterall we r building internal demand and Uganda's pipeline and steel industry is another shot in arm!

FYI only Total has done FID on LNG plant in Ruvuma basin of Mozambique side Eni/Exxonmobil have postponed their FID till 2022!
While the FID for Total’s project was made in June 2019, Exxon has delayed its FID on its $30bn Rovuma LNG project until 2022 (and possibly even later) amid lower oil prices. Eni is Exxon’s project partner for Rovuma LNG.

Kwa hivyo unapinga kwamba Eni inajenga meli South Korea? Unapinga kwamba Eni itaanza kuzalisha gas off-shore in 2022 huko Mozambique?

Halafu kumbe links ambazo huwa naweka huwa husomi. Eni ilishasign FDI 2017. Soma hapa bana wacha ubishi.

Halafu meli ya Eni inajengwa South Korea na ndio hii hapa
coral-south-664x468-1.jpg
coralsul-6e41.png

Kumbe articles ninazopost husomi.

Hapa hull ya ship ilikuwa inakuwa launched huko South Korea

Hata usiposoma hizo zingine tafadhali soma hii hapa. Hii article ya 2017 inazungumzia contract ambayo Eni ilisign na Samsung heavy industries na other partners kujenga FLNG (Floating LNG).

Na kama huna muda wa kuisoma basi nimekuwekea the most important paragraph usome. Ndio hii hapa

Eni let a contract to JGC Corp.—in partnership with TechnipFMC and Samsung Heavy Industries Co. Ltd. (SHI)—for the FLNG’s construction. The lump-sum turnkey contract covers engineering, procurement, construction, installation, and commissioning.
 
Umerogwa wewe au ni mnufaika wa moja kwa moja wa udikteta uchwara..

Kama wewe huwezi sio kwamba wote hawawezi
Narogwa vipi kwenye maoni yangu mzee. Katiba si imetoa uhuru wa kutoa maoni. Sasa kusema nimerogwa kwa kutoa tu maoni yangu si ndiyo udikteta huo. Hayo ndiyo madhara ya hii elimu yetu ya bandia. Mimi nimetoa maoni yangu na kujaribu kushawishi wengine. Wala sijakulazimisha kuyachukua. Nyie "wanademokrasia" vipi nyinyi.
 
Kwa hivyo unapinga kwamba Eni inajenga meli South Korea? Unapinga kwamba Eni itaanza kuzalisha gas off-shore in 2022 huko Mozambique?

Halafu kumbe links ambazo huwa naweka huwa husomi. Eni ilishasign FDI 2017. Soma hapa bana wacha ubishi.

Halafu meli ya Eni inajengwa South Korea na ndio hii hapa
View attachment 1713053View attachment 1713057

Kumbe articles ninazopost husomi.

Hapa hull ya ship ilikuwa inakuwa launched huko South Korea

Hata usiposoma hizo zingine tafadhali soma hii hapa. Hii article ya 2017 inazungumzia contract ambayo Eni ilisign na Samsung heavy industries na other partners kujenga FLNG (Floating LNG).

Na kama huna muda wa kuisoma basi nimekuwekea the most important paragraph usome. Ndio hii hapa

Eni let a contract to JGC Corp.—in partnership with TechnipFMC and Samsung Heavy Industries Co. Ltd. (SHI)—for the FLNG’s construction. The lump-sum turnkey contract covers engineering, procurement, construction, installation, and commissioning.
sijapinga nilitaka kujua inajengwa wapi! Kiswahili ni kigumu sana kwako ama? Nishaona South Korea! FID bado ieairishwa mpaka 2022! Total ndo wameanza ujenzi wa LNG Mozambique! Hivi mliwakosea nn Total maana they r turning to be a key-role player in oil and gas sector in the East and Southern Africa looking at their prospectus! Au ujuaji wenu umewafanya muwapige teke mkang'ang'ani Tullow kikampuni hakina mfuko mrefu?

Kwa hivyo unapinga kwamba Eni inajenga meli South Korea? Unapinga kwamba Eni itaanza kuzalisha gas off-shore in 2022 huko Mozambique?

Halafu kumbe links ambazo huwa naweka huwa husomi. Eni ilishasign FDI 2017. Soma hapa bana wacha ubishi.

Halafu meli ya Eni inajengwa South Korea na ndio hii hapa
View attachment 1713053View attachment 1713057

Kumbe articles ninazopost husomi.

Hapa hull ya ship ilikuwa inakuwa launched huko South Korea

Hata usiposoma hizo zingine tafadhali soma hii hapa. Hii article ya 2017 inazungumzia contract ambayo Eni ilisign na Samsung heavy industries na other partners kujenga FLNG (Floating LNG).

Na kama huna muda wa kuisoma basi nimekuwekea the most important paragraph usome. Ndio hii hapa

Eni let a contract to JGC Corp.—in partnership with TechnipFMC and Samsung Heavy Industries Co. Ltd. (SHI)—for the FLNG’s construction. The lump-sum turnkey contract covers engineering, procurement, construction, installation, and commissioning.
Geza Ulole article yenyewe ndio hii hapa. Very important article. Eni walisign contract in 2017 na Samsung heavy industries, JGC corp na TechnipsFMC kujenga floating LNG.

Eni lets FLNG contracts to produce Coral South off Mozambique​

Eni SPA and Mozambique signed drilling, construction, and installation contracts for project implementation of Coral South LNG in Rovuma basin’s Area 4. A 3.4-million tonne/year floating LNG (FLNG) vessel will produce Coral South—roughly 50 km offshore near the Tanzania border in 2,000 m of water—starting in 2022.
OGJ editors
Jun 2nd, 2017

A joint venture of JGC and TechnipFMC will be responsible mainly for the engineering and procurement work for the FLNG’s topsides and management of the overall project. Consortium partner SHI will cover EPC work for the FLNG hull and fabrication of the topsides.
Fifteen major international banks are financing 60% of FLNG construction with guarantees from five export credit agencies.
JGC also is handling EPC work for Petronas’s FLNG project offshore Malaysia.
Coral field, discovered in May 2012, contains about 450 billion cu m (16 tcf) of gas in place. Coral South’s final exploration well was drilled in 2014. In October 2016, Eni and its Area 4 partners signed an agreement with BP PLC for the sale of all LNG produced by the Coral South project for more than 20 years. One month later Eni authorized investment in the field (OGJ Online, Nov. 18, 2016).
Eni operates Area 4, through Eni East Africa (EEA), which holds a 70% participating interest in the concession. Portugal’s Galp Energia, South Korea’s Kogas, and Mozambique’s Empresa Nacional de Hidrocarbonetos (ENH), each have 10% stakes. Eni holds 71.4% of EEA with China National Petroleum Corp. holding the remaining 28.6%. In March Eni signed an agreement to sell 50% of its shares in EEA to ExxonMobil Corp., to be completed subject to satisfaction regulatory and governmental conditions.

Next time usipingane na mimi kama hujui kitu. Nyamaza tu.
 
sijapinga ujenzi wa hiyo meli jifunze kiswahili! Nilikuwa sijui ujenzi wa hii meli.
 
Hello watani zetu.

Hii ni kuwakumbusha tu. Ni kwamba kwa sasa battle imekuwa - narrowed down kwa upande wetu. Tumeona Dar nzima ni kubwa hivyo jukumu la kui - battle Nairobi tumewaachia ILALA.

Hivyo mkumbuke kuwa Dar mnayo - battle nayo kwa sasa siyo ile ya kuanzia majuzi kurudi nyuma. Sasa hivi jiji la Dar lina - cover eneo la iliyokuwa manispaa ya Ilala.

Kama tulivyowaahidi 2025 hii thread itafungwa. By then labda itakuwa Nairobi vs Mbeya au Arusha au Tanga maana Mwanza na Dom zitakuwa next level tayari.
 
Kwa hivyo unapinga kwamba Eni inajenga meli South Korea? Unapinga kwamba Eni itaanza kuzalisha gas off-shore in 2022 huko Mozambique?

Halafu kumbe links ambazo huwa naweka huwa husomi. Eni ilishasign FDI 2017. Soma hapa bana wacha ubishi.

Halafu meli ya Eni inajengwa South Korea na ndio hii hapa
View attachment 1713053View attachment 1713057

Kumbe articles ninazopost husomi.

Hapa hull ya ship ilikuwa inakuwa launched huko South Korea

Hata usiposoma hizo zingine tafadhali soma hii hapa. Hii article ya 2017 inazungumzia contract ambayo Eni ilisign na Samsung heavy industries na other partners kujenga FLNG (Floating LNG).

Na kama huna muda wa kuisoma basi nimekuwekea the most important paragraph usome. Ndio hii hapa

Eni let a contract to JGC Corp.—in partnership with TechnipFMC and Samsung Heavy Industries Co. Ltd. (SHI)—for the FLNG’s construction. The lump-sum turnkey contract covers engineering, procurement, construction, installation, and commissioning.
Kwani Total ina miradi mingapi ya LNG duniani? Na una uhakika ENI LNG plant Mozambique haitakuwa na onshore facility pia?

Finally, we will build two onshore trains powered by 24 subsea wells for the processing and liquefaction of gas, and the storage and export of LNG with a total capacity of approximately 7.6 million tonnes a year each. Activities for the marketing of LNG are expected to start-up in 2024.
 
Hello watani zetu.

Hii ni kuwakumbusha tu. Ni kwamba kwa sasa battle imekuwa - narrowed down kwa upande wetu. Tumeona Dar nzima ni kubwa hivyo jukumu la kui - battle Nairobi tumewaachia ILALA.

Hivyo mkumbuke kuwa Dar mnayo - battle nayo kwa sasa siyo ile ya kuanzia majuzi kurudi nyuma. Sasa hivi jiji la Dar lina - cover eneo la iliyokuwa manispaa ya Ilala.

Kama tulivyowaahidi 2025 hii thread itafungwa. By then labda itakuwa Nairobi vs Mbeya au Arusha au Tanga maana Mwanza na Dom zitakuwa next level tayari.
wacha kupotosha mbumbumbu wewe jiji linabaki Dar only manispaa ya Jiji imepewa eneo la kimamlaka na utawala kuondoa duplication ya roles! Mkoa na jiji vimebaki palepale ukiacha Manispaa ya Ilala kupewa pia Utawalaa ya Jiji (Dar city Authority) yaani Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atakuwa pia Mkurugenzi wa Jiji!
 
Back
Top Bottom