Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So picha ilipigwa na simu ya mtu mwingine kisha wewe ukachukua simu na kupost picha? Is that what you tryna say? 😂 😂
 
sasa kama test yake haipandi unanilazimisha.....? ,,unampangua mtu kipi anywe
ni sawa sawa na kumlazimisha mtu anywe tusker wakati bear aipendayo ni kilimanjaro...

usipoteze mda[emoji1787][emoji1787]
Tuwache hii story 😂 😂
Endelea kufurahia kinywaji chako.
 
this is great news. lakini sidhano kama itaanza march. hapa wanazunhumzia kuhusu ku sign FID - FINAL INVESTMENT DECISION. ikisimiwa FID means the project is now ready to take of ie mobilisation
 
Tuwache hii story [emoji23] [emoji23]
Endelea kufurahia kinywaji chako.
Acha ushamba sasa icho kinywaji kwamba kiwanda kimefungwa akiendelei kuzalishwa kimeexpire au unamaanisha nini

Kila mmoja anatafuta ladha aipendayo kama wewe ladha imekushinda mnakunywa kinywaji ya kibera gongo endelea na gongo usitengeneze attention kwamba vinywaji vya gharama vyote unakunywa wewe maliza dunia nzima basi .
 
Yaani wakenya washamba sana mtu amezushiwa amekufa sasa kufanya presss ndio kwamba amekataa akuna corona mbona wakenya madishi yenu majovu hivyo nani kawaloga


Kwanini mnapensa kuingilia kitu aiwahusu kwani hiyo corona ina inamaajabu gani kila mmoja si anajua anajitibu vipi na siri zake kutaka kutulazimisha tuwape siri za ndani mwetu wewe ni nani au mnataka tuwaoe hili muhitumikie ndoa bila siri


Wakenya acheni upumbavu corona ni janfa la dunia kila mtu anajua ipo kwa sababu na zinaonekana kila day siri zinafichuka kwamba ni mpango wa watu

Wakenya acheni ufalamanga
 
Duh!!pole yake mzee wa watu, km kalazimishwa kufanya press kw ajili ya show off Mungu ata deal nao na km mataka yeye basi itabidi sisi wengine tuchukue tahadhari na tumuombee mema
Halafu huyu jamaa hajavaa mask amekaa katikati ya madaktari wawili halafu anakohoa sio mchezo. Yaani anaambukiza hao madaktari live na madaktari hawashtuki wala nini. Wanajifanya kwamba mambo yapo sawa ila rohoni wanahofia kwamba wameambukizwa. Hata Tundu Lissu amekashifu kitendo hiki cha CCM





ichoboy01 The best 007 Geza Ulole
 
this is great news. lakini sidhano kama itaanza march. hapa wanazunhumzia kuhusu ku sign FID - FINAL INVESTMENT DECISION. ikisimiwa FID means the project is now ready to take of ie mobilisation
Wow. Mimi nilidhani mradi unaanza kujengwa March. Kumbe ni kusign FID tu. Halafu mobilisation inaanza for 6 months. Duh! Asante kwa kuclarify maana ukiwaacha watu wengine humu pekee yao watatupotosha sana.
 
Huyu mzee wenu saa zingine fuse ya ubongo huwa inaungua. Hebu msikilize.

 
mshikaji unaweza kunyamaza? Acha kujiaibisha tunapoteza very skilled personel kwa kudharau vitu simple kama kuchukua tahadhari na kujikinga! Ma-professor, ma-lawyer na ma-engineer waliosomeshwa kwa gharamakubwa na serikali wanapukutika!
Gaza bwana, unadhani wewe hujapata maambukizi sababu ulichukua Tahadhari? Ulaya na nchi zote za Ulimwengu wa kwanza wana kila facilities na namna ya kuchukua Tahadhari but they've been dying in hundreds if not thousands,
Wewe huna watoto wanaenda shule na kurudi home daily huku wakijichanganya na mamia kwa mamia, kwanini hujafa? Wewe Hukutani na watu? Unavaa mask na kusanitize 24/7 na umejiisolate kwenye chumba chako?
Unadhani if that was the case kwa maisha ya Bongo tunayoishi how many could've died to date?
Honestly, I can assure you 100% of our populations Tz na Kenya has probably contacted Covid-19, na kenya na Tz hakuna tofauti maana naona mikutano ya maelfu kwa maelfu ya Wheelbarrows na bbi madness , na hapa bongo gatherings daily and life goes as normal.
 
Ww una ushahidi kwamba anaumwa corona yani sasa hvi ukikohoa ni corofa ukifa ni corona as if kikohozi havikuwepo vifo havikuwepo??? Tony umeshikiwa akili au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…