ππππutafkir nyie mnaweza kuinunua ππππππTumemaliza. Imetestiwa kwa mwili ya watu 1.2 million huko Israel na inafanya kazi. Hii vaccine ya pfizer iko very effective. Lakini hamuwezi kuiafford maana hamna hio pesa ya kununua.
Hata mimi nimeshangaa. Yaani hio Tsh 30k si ni ksh 1,500. Yaani rent huko ni cheap vipi? Yaani nyumba ni ya mawe na imepigwa rangi vizuri na ni ksh 1,500. Nairobi kurent nyumba ya mawe/matofali ni around ksh 4,500 kuenda juu.We kw kupinga hujambo[emoji1787][emoji1787]
Kuna video mlileta hapa siku hyo, eti sijui mtaa gani umepanda bei kisa siku hzi hakuna vyuma vya 25k tsh nikuanza 30k..
Yani nilishangaa sana
hivi bado hamuamini Corona ni mtego?Tumemaliza. Imetestiwa kwa mwili ya watu 1.2 million huko Israel na inafanya kazi. Hii vaccine ya pfizer iko very effective. Lakini hamuwezi kuiafford maana hamna hio pesa ya kununua.
Tony umenifurahisha, ati nyumba ya mawe, so huko nyumba za bati nazo ni for rent!?Hata mimi nimeshangaa. Yaani hio Tsh 30k si ni ksh 1,500. Yaani rent huko ni cheap vipi? Yaani nyumba ni ya mawe na imepigwa rangi vizuri na ni ksh 1,500. Nairobi kurent nyumba ya mawe/matofali ni ksh 4,500 kuenda juu.
duuh yani mmeziclasfy kabisa ππππππ eti mawe na tofali πππππππππHata mimi nimeshangaa. Yaani hio Tsh 30k si ni ksh 1,500. Yaani rent huko ni cheap vipi? Yaani nyumba ni ya mawe na imepigwa rangi vizuri na ni ksh 1,500. Nairobi kurent nyumba ya mawe/matofali ni ksh 4,500 kuenda juu.
Hehe fool bora ungekaa kimya iyo two river ni kitu kidogo sana(ni uwekezaji mkubwa kwa aliewekeza tu)tatizo lako kichwa kikubwa akili peanutIf mwanza, mbeya and all the takataka can be cities then two rivers can.
Cry me riverHehe fool bora ungekaa kimya iyo two river ni kitu kidogo sana(ni uwekezaji mkubwa kwa aliewekeza tu)tatizo lako kichwa kikubwa akili peanut
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Huo mradi haujaisha tu
Nice one ila mradi upo slow, bado hawaja-install Francis Turbines! pili sioni power substation sioni!
Wamekuwa wakisumbuliwa na Egypt sana. Wanajenga mradi wa $4.5 billion (6,000MW) kwa pesa yao ya ndani kwa sababu hakuna benki yoyote inayoweza kuwakopesha. Mama mboga na wamachinga wa huko ndio wanachangia ile pesa kidogo wanayo. Ila wamepiga hatua kubwa maana turbines mbili zitaanza kuzalisha umeme mwaka huu. Turbines zingine na nyumba za turbines zingine zitaendelea kujengwa polepole lakini hizi hapa chini mbili ziko karibu kukamilika.Huo mradi haujaisha tu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ vituko havitaisha huu ulimwenguIf umbeya, mwanza, arusha can be cities then even two rivers can.
Kwani ile iliotestiwa mpaka watu wakazima ilitestiwa kwenye miili ya wanyama au??ππTumemaliza. Imetestiwa kwa mwili ya watu 1.2 million huko Israel na inafanya kazi. Hii vaccine ya pfizer iko very effective. Lakini hamuwezi kuiafford maana hamna hio pesa ya kununua.
Turbines zimeshaagizwa na zitawasili soon maana mwaka huu lazima wafunge turbines mbili na zitazalisha 375 MW Γ 2 = 750 MW.Nice one ila mradi upo slow, bado hawaja-install Francis Turbines! pili sioni power substation sioni!