Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
we ulivuruga mada mwenyewe sasa unaongea nini?Kwikwikwikwi. Kajengo hako ndio mnataka kung'ang'ania. Yaani mmeishiwa kila kitu. Nairobi ovyoooo
we ulivuruga mada mwenyewe sasa unaongea nini?Kwikwikwikwi. Kajengo hako ndio mnataka kung'ang'ania. Yaani mmeishiwa kila kitu. Nairobi ovyoooo
badala ya bra bra bra mingi, ungekuwa unatupia pia wewe. wacha kuonesha signs kuwa umeshindwa. jichoboy hushindwa apa kila siku lakini hafi moyo na wala sio mwisho wa maishaHowever we need the name of ur glass buildings lather than posting photos without captions like a kid.