Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We sio bure kachekiwe akili kidogo pale mathare hospital 🙂
Aah unakujua mathare...aisee mi sijui hospitali ya wazimu huko tz yaitwaaje...hii yamaanisha nchi zilizo stawi zinajulikana zaidi....
 
Wajinga sn hawa watu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aah unakujua mathare...aisee mi sijui hospitali ya wazimu huko tz yaitwaaje...hii yamaanisha nchi zilizo stawi zinajulikana zaidi....
Kuna moja inaitwa buza kwa mama bonge general mental hospital 🙂huaga iko open kwa public 24hrs🙂alafu nyingine inaitwa viwanja vya fisi district hospital hapo huduma zao ziko poa tu,unaweza agiza dawa pia online 🙂
 

💯 💯
 
Wakuu hii nchi inajengwa asikwambie mtu, wacha hawa viongozi wapumbavu wastaafu wamchukie Magu mana anawachoresha sn wanaonekana hakuna walichokuwa wanakifanya ofisini, hii hapa ni road ipo pale ubungo mawasiliano (nyuma ya ubungo interchange) mbele yake kuna bridge nimeweka hapo picha[emoji116][emoji116]
 
julio hamna kitu kabisa wasimuhusishe kwenye team hata moja hana uwezo kabisa
 
Nilitaka niwaoneshe Wakenya kwamba ni ngumu sana kupata slums Dar au Tz cz Watz wanajenga, hapa ni Kivule which is too far from CBD lkn kumewaka kwa vijumba vzr vzr, bado nina tour ya kule kivule nitaweka hapa picha mzione [emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…