Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JPM jana ametuma waziri wa nishati nadhani jina lake Medard Kalemani aende kumpa pressure mkandarasi wa Julius Nyerere hydropower kukamilisha mradi haraka lakini amemuwachilia tu mkandarasi wa SGR alale usingizi anavyotaka.
Huwezi jua labda GoT ni part of that delay for lot 1! Construction for lot 2 is going pretty well!
 
Yaani tunacho maanisha ni kama jamaa fukara anayeishi uswahilini sijui wapi...apate pesa kidogo tu halafu aende akanunue TV 80" inches akaiweke Kwa kijunba cha mabati...hivyo ndio mnaonekana yaanani ni ukalulu tu stendi hizo

hutumii akili kwani hiyo stend haileti mapato serikalini? una ambiwa makusanyo ya mapato yatakuwa rahisi kuliko ilivyokuwa ubungo , nyinyi mmejenga SGR kwani wale masikini wa kibera wameisha? nyinyi mngekuwa care na masikini watu wenu wanamiminika huko dream land mogadishu
 
Thank you.

Umeiweka barabara. Prof Mwandosya alikuja na hadith ya watoto wakimwambia eti "we Mwandosya vua masiki, hakuna korona" akadai, vijana hao wenye miaka 15, 16.

Ndio hadith aliiyoa huko twitter ikishabiriana, na hadith kama ya Onyango Obbo wa gazeti la Kenya, Daily Nation.

Swali, hao wa miaka 15, 16, ni watoto or vijana? Na ni mtoto or kijana yupi kwenye mkoa upi anaweza muita Babu kama yeye kwa jina lake?

Story yake ilikua ya kutunga, ndio maana ilisheheni itilafu lukuki za kiufundi.
 
Utetezi wako nauelewa. Kwa kweli hamna option nyingine na kimsingi you are way too up to back down kwenye ufisadi. Ila mkuu umenichekesha hapo kwenye hiyo statement ya mwisho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mambo ya Kenya kuwa first world we "ulisikia wapi!"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kitu umenifungua hapa, na huu ndio ukweli wenyewe.
 
Hahahahaaaaa mkuu upo vzr sn upstair.
 
Terminal 2 waliujenga wao 1984 na muda wake ulikuwa ni miaka 30. Huu wa sasa (III) nafikiri ni kwa miaka 20 kabla ya kuzidiwa uwezo.
Ahaaa, kumbe! Nilikuwa sijui hilo. Kwa hivyo ni kama vile juzi kati hapo wale wachina waliojenga Tazara walivyoitwa kuja ku-trace construction ilivyofanyika. Good, this one.
 
Ulipotaja Dr. Salim umenihuzunisha sana aisee. These thugs! Halafu tulitaka kujichanganya 2015 kuikabidhi nchi kwa 4U movement. Wajinga wangeimalizia nchi. Kings maker wao Rostam now amesanda ameamua ku-play clean.
 
Yaani tunacho maanisha ni kama jamaa fukara anayeishi uswahilini sijui wapi...apate pesa kidogo tu halafu aende akanunue TV 80" inches akaiweke Kwa kijunba cha mabati...hivyo ndio mnaonekana yaanani ni ukalulu tu stendi hizo
Kumbe stand zinawauma eehh, vp ile battle ya stand tuiache ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ona hii takataka reasoning style yake [emoji3516][emoji3][emoji3]
 
[emoji40][emoji40][emoji122][emoji122]
 
Ulipotaja Dr. Salim umenihuzunisha sana aisee. These thugs! Halafu tulitaka kujichanganya 2015 kuikabidhi nchi kwa 4U movement. Wajinga wangeimalizia nchi. Kings maker wao Rostam now amesanda ameamua ku-play clean.
Dunia nzima walibaki mdomo wazi tulipo mkosa Dr Salim.

Yaani, tulionekana Mbulula wa kutupa!
 
Walidhani Magu angekuwa upande wao kumbe co, aliwahi kusema Magu soon after taking the office "walidhani ningekuwa upande wao, never".
 
Umeongea point kabisa🙂hata Sisi Tanzania ningemshaauri Rais wetu JPM nae achukue advise kutoka Uhuru muigai Kenyatta hiyo system ya kukopa iko poa manze chali yetu🙂
 
JPM jana ametuma waziri wa nishati nadhani jina lake Medard Kalemani aende kumpa pressure mkandarasi wa Julius Nyerere hydropower kukamilisha mradi haraka lakini amemuwachilia tu mkandarasi wa SGR alale usingizi anavyotaka.
Mbeya City Spurs I amelijibu hili vzr kwmb huenda gharama alizotarajia mturuki ni tofauti na alizokutana nazo, au anahofia gharama zitakuwa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…