Mbona husemi hapo ni dar sehem gani ili tukeleter picha za sasa hvi🤣🤣🤣 sema tu usiogopeUko bize huwezi piga picha yet unashinda hapa ukitafuta picha za Kibera? Una akili wewe? Hivi hizi zimepigwa na tumbili? 🤣 🤣 🤣
View attachment 1708190
Maanake those two are the only two things close to a planned estate in Dar.🤣🤣ulichokariri ni oysterbay na masaki.......
endeleeni kujua hivyo hivyo,,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
PPP imekuwa mkopo tena? Wacha ujinga.Usisahau kuandika ni mkopo na hakuna engineer wa kikunya tafadhali [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Asante kwa kukubali kwamba hio picha ni ya Dar.Nyie mmepangika Ila mnashindwa hata kumudu maisha simple ya 3 meals per Day 🙂clean and sustainable environment Sisi na uswazi wetu tuna afford maisha mazuri,alafu kuwa na magorofa mengi sio ufahari ukiangalia nchi kama Denmark na Switzerland utapata ramani ya ninacho kizungumzia🙂
Ppp mumetumia kama jina la nyuma ya pazia tu 😀😀😀 ila kwa kifupi huo mradi lazma uwagharimu mark my words mchina atawafanyia kitu hamutakaa musahauPPP imekuwa mkopo tena? Wacha ujinga.
Hahahaha hata mambo utayaona kwenye nchi za wenye vipato vyao tu 😅😅😅Wabongo nimewanyooshea 🙌🙌🙌
View attachment 1708208
Unaweza kutueleza serekali ya kenya itafaidika vipi?? Kwa miaka 30 😀😀😀PPP imekuwa mkopo tena? Wacha ujinga.
ndiyo maana tunawaambia kuwa hamuijui dar,,,,,Maanake those two are the only two things close to a planned estate in Dar.[emoji1787][emoji1787]
Huu ulikuwa mchezo wangu toka nikiwa mdogo sana from Haile Selassie to masaki mwisho kwny ile Court ya jeshi,baadae tanesco opposite na ubalozi wa marekani hongereni Angola wako fit sana.FT Kenya 74 Angola 73
The Morans have qualified for FIBA Afrobasket for the first time in 28 years! Massive win! Congratulations!View attachment 1708008View attachment 1708009
mkuu hakuna hilo mbona lipo waziOyaaah wakuu hivi hizi habari mnazo kweli?
Sina hakika kama Africa nzima kuna quality aina hii
View attachment 1708201View attachment 1708202View attachment 1708203
Wewe ndio uwache ujinga, km co mkopo hio toll fee ya nn? Unahitaji kwenda shule hapo?PPP imekuwa mkopo tena? Wacha ujinga.
Hatari tupu baba.Oyaaah wakuu hivi hizi habari mnazo kweli?
Sina hakika kama Africa nzima kuna quality aina hii
View attachment 1708201View attachment 1708202View attachment 1708203
Cheki showroom yao Rocky City Mall Mwanza dah hatari 😁😁mkuu hakuna hilo mbona lipo wazi
Kama ingekuwa ni ya mkopo basi hakungekuwa na toll fees. Wewe umesoma biashara na unaniangusha.Wewe ndio uwache ujinga, km co mkopo hio toll fee ya nn? Unahitaji kwenda shule hapo?
Mzee umepotea sana.Oyaaah wakuu hivi hizi habari mnazo kweli?
Sina hakika kama Africa nzima kuna quality aina hii
View attachment 1708201View attachment 1708202View attachment 1708203