Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikikwambia dar is the future of transport in Africa unatakiwa kukubali sio kupinga blindly πŸ™‚
Nikueleweshe kitu kimoja nitajie most organised na clean brt system in Africa apart from S.A ambao walitutangulia na labda za North Africa πŸ™‚swala la commuter rail ni swala la muda hatuko mbali tuombee uzimaπŸ™‚
 
Hapo kw lagos umepatia kabisa aisee, utaachiaje watu mji wajijengea makaazi kiholela jamani..
Kwn mipango mji walikua wapi mpka ukute watu wengi wanamiliki nyumba za matifali ya mchanga
 
Emu rudia tena, wala sio kw utopolo ule unaoendelea katika stendi za brt aisee
 
We umefika posta ya wakati wa mkapa[emoji846]
Vichochoro vimepanuka kwhyo, manake mi nilishangaa sana kuona barabara nyingi za cbd hazina mbele wala nyuma..
Posta mlifeli kitalbo sana, yani majengo pia haya mpangilio karibia kila jengo lipo katika direction yake
 
I just discredited your opinion, it is just an opinion., Africa is not stagnant licha ya challenges.
 
Mumeona utumbo sasa🀣🀣🀣🀣 hzo ndio bed sitter zao mda wowote zinadondoka
 
aanze Magu kutembelea na kusema wamtengenezee pairs kama tano hiv nyeusi afu awe anazivaa kama anavyovaa zile travota zake
Kabisa. Inatakiwa apate pair za kutosha. Ila kwa Magu influence inakuwa ndogo maana ngumu sana watu wengi kuchunguza viatu vyake.

Ila kwa hawa bongofleva na bongo movie ni rahisi sana kuwavuta vijana wengi ambao ndio wengi zaidi kuweza kununua hizo boots.
 
Is that official source from whoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Hapa hutoki mzeee
 
Tuoneshe za dar zinazofanana na huo ushuzi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Na hii post basi umeusahau🀣🀣🀣🀣 ndo huu ushuzi munafananisha na mwanza


πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…