Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu mzigo akipatiwa msemaji Mh. Abbas akawapatia vijana wa town kama wale wa Serengeti festival..kina Diamond et al.. wafanyie video shots italeta impact kwenye mauzo.

Kwa uzalendo tu kama mnyama na Visit Tanzania.

aanze Magu kutembelea na kusema wamtengenezee pairs kama tano hiv nyeusi afu awe anazivaa kama anavyovaa zile travota zake
 
Na nyie mliojengo mkavunja baada ya wiki tuwaambieje

ipi? ya sgr??
hio inamcost contractor mwenyewe .. gharama ya mradi ni ileile.. nyie serikali ndo imepata hasara.. na kuna watu wamekula cha juu kama kawaida
 
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji1139][emoji117][emoji117][emoji3545][emoji3545]
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
This one makes the whole of Dar to be a slum, save 10% tu around CBD areas, kwingine kwote ni vitongoji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kwa vile Kenya huu mtaa bado ni categorized as ghetto, yaani slum๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚





Sections of pipeline, view from jogoo road.,
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Poor planning mkuu kuna gorofa moja lipo maeneo ya lower kabete limejengwa karibia na mto kuna mda lilikukuwa limepigwa Alama ya X maana ilitakiwa ibomolewe Ila juzi nimemuuliza jamaa mmoja tunafanya naye kazi akaniambia linakaribia kukumilika mmiliki alitoa TKK kwa hiyo Alama za X hazipo tena ,sijui wapangaji wa humo itakuaje pindi mvua zitazidi๐Ÿ™„
 
History wakati chief engineer ame confirm kuwa zoezi la ubomoaji litaendelea Ili Ku pave way for Nairobi express way๐Ÿ™‚ ?
 
Unapata wapi ujasiri wa kuzungumza haya? Au unajisahaulisha [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1706521
80% ya infrastructures/buildings in most of these areas are far better than 90% ya residential za Dar๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ The best 007 wewe nataka leo ulete google earth photos ya hizi eneo., Kibera mumeipenda sana hehehe., lakini zimwage tu., weka aerial view ya google earth ya haya maeneo., leo tuelewane., slums in Kenyan standards means Dar is slum 90%., mimi nikiweka mtapinga, wewe ingia google earth leta areal views tuone leo, 2021..., haya tuende...,
 
Shenshe alias Shaolin master mwenyewe! mafalamanga waliambiwa umbo la mnazi wakakubali!
It is the waters., mzunguko wa waves, chunga wivu isikunyonge mzee, hapo ni Mombasa tu ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ