Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Kwanza Vodacom wanazingua Sana 🙄🙄
Pamoja na Uganda kuwa LDC raia wa Uganda wana maisha mazuri na wanakula vizuri kuliko wakunya.Uganda bado ni Ldc wacha ujinga wewe.
Hii mitandao ya simu hapa Tanzania hakuna iliyo na afadhali, karibu yote ni potelea mbali, tena siku hizi ndiyo imeoza kabisa wanatoa huduma mbovu nahisi itakuwa imezidiwa kwasababu idadi ya watumiaji imeongezeka maradufu lakini wao inaonekana bado wanatumia mitambo ya kizamani.Kwanza Vodacom wanazingua Sana![]()
Kweli Sana juzi nimejiunga na kifirushi cha Cheka zogo nlijutia kwa vile voda walivyo nicheka baada ya mbs zangu kuzama kwenye maji🙂Hii mitandao ya simu hapa Tanzania hakuna iliyo na afadhali, karibu yote ni potelea mbali, tena siku hizi ndiyo imeoza kabisa wanatoa huduma mbovu nahisi itakuwa imezidiwa kwasababu idadi ya watumiaji imeongezeka maradufu lakini wao inaonekana bado wanatumia mitambo ya kizamani.
Halafu katika mitandao iliyooza basi voda ndiyo baba lao mkuu, watu wengi wanailalamikia voda.Kweli Sana juzi nimejiunga na kifirushi cha Cheka zogo nlijutia kwa vile voda walivyo nicheka baada ya mbs zangu kuzama kwenye maji![]()
Kama huelewi mambo ya uchumi funga mdomo.Kukuwa ldc sio tatizo kwa maana hiyo gdp ni namba tu, kwani Uganda ni ldc na Kenya sio ldc, je zimezidiana kitu gani? Zaidi zaidi utofauti upo katika politics, political leaders wa Kenya lack hygiene political willing na ndiyo maana wamesababisha nchi yao kuitwa failed state.
Ukiacha salio bila kuunga chochote unakuta wamepangia matumizi salio lako ikiwemo kukuunga kwenye huduma ambazo hukuwa na mpango wa kuziunga.Kweli Sana juzi nimejiunga na kifirushi cha Cheka zogo nlijutia kwa vile voda walivyo nicheka baada ya mbs zangu kuzama kwenye maji![]()
Tigo wangepigwa faini ya 100B, wasenge Sana hao
Imekuwa June Tena? Hawa waturuki sidhani Kama watapewa Tena phase yeyeto ya reli
Uzuri lazma litakamilika tu, na likikamilika tu tuna log off upande wa treni kwenye kwenye hii threadHahaha. Dude ambalo lilikuwa likamilike November 2019 litakamilika June 2021? Lazyland huwa mnashangaza sana. Hakuna cha kusherehekea hapa Malazy.
Zipo sababu zilizochangia ikiwemo mvua so tulieni mwarubaini wenu umefika sasaHahaha. Dude ambalo lilikuwa likamilike November 2019 litakamilika June 2021? Lazyland huwa mnashangaza sana. Hakuna cha kusherehekea hapa Malazy.
Sio june ni april 2021 kwa sasa ipo 94% kipande kilichobaki wanamalizia ni 0 to 20kmImekuwa June Tena? Hawa waturuki sidhani Kama watapewa Tena phase yeyeto ya reli
Jana nimepita pale majumba 6 at least wame resume kazi saiv pale ila Bado sijajua maana pale hamna daraja na Ni njia ya magari ileSio june ni april 2021 kwa sasa ipo 94% kipande kilichobaki wanamalizia ni 0 to 20km
Poleni sana. Hata hio June itasongezwa mbele.Imekuwa June Tena? Hawa waturuki sidhani Kama watapewa Tena phase yeyeto ya reli