Good thing kwa Kenya wanajenga asphalt pavement,hii ni uhakika na hata when driving iko confotable tofauti na makokoto makokoto kam roads nyingi za Tzn
Labda muanze kujifunza ustaarabu kwanza 🤣🤣🤣👇👇Na Tzn ijifunze kuanza kujenga barabara kuu za kuunganisha mikoa na nchi jirani kuwa dual carriage,mambo single carriage yamepitwa na wakati ,basi kama pesa hakuna wajitahidi hata kwenye miji wajenge road kama ile ya Sam Nujoma itapendeza
basi ni mkenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mchukueni tuu......Mumetelekeza siku zote hzo eti leo vile kapona amekua artist wenu...
Hata mr nice tunamnfanyia repair soon atarejea sawa
Munaeza kujionea tu 🤣🤣👇👇
Kwenye top 20 nusu ni nyimbo za watanzania
View attachment 1702562View attachment 1702563View attachment 1702565View attachment 1702566View attachment 1702567View attachment 1702568
Tusubiri wajuvi watujuze ilileta nini au ilifata nini [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeiona leo isharuka maeneo ya Toure Drive sikuweza kuzoon na Phone[emoji23]
Oya we jomba Yosef Festo me nipo mwanza now na naeza kukupa pakulala ili uje utembee ujionee mwanza karibu,hatutaki Tena kelele za kitoto zisizo na msingiyaani Mwanza jamaa kazungusha camera sehemu moja tu semi circle view., a small thing.., mbona unajitekenya na kucheka bro? ulikunywa nini ama umevuta nini bro? nikama umeganda kichwa aise.,😂😂😂😂.,
Hivi ni kweli kwamba hiyo road mngepambana mjenge wenyewe mngeshindwa mpk mtu anakuja kui own kwa miaka 27?? Na what is the plan wakati huo?? Mtatoka kitahisi??Nowadays kila mtu anajifanya expert lakini kile hajui traffic jam on that busy road costed so many billions in a year. So when you factor that in alone makes the project cost justifiable.
Sio kodi ya kwenu kodi ya wachina mzee usichanganye vitu viwili hapo 🤣🤣🤣 mchina anakusanya pesa kwa miaka 30 anapeleka kwao na ajira zote za express wanachukua wao
Barabara kama ile kujenga sio rahisi kama unavyodhania, inataka uzoefu wa hali ya juu sio trial and error.Hivi ni kweli kwamba hiyo road mngepambana mjenge wenyewe mngeshindwa mpk mtu anakuja kui own kwa miaka 27?? Na what is the plan wakati huo?? Mtatoka kitahisi??
Unimpressive,
Basi wakwenu.Mumetelekeza siku zote hzo eti leo vile kapona amekua artist wenu...
Hata mr nice tunamnfanyia repair soon atarejea sawa
Choice variable in another ID[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na Tzn ijifunze kuanza kujenga barabara kuu za kuunganisha mikoa na nchi jirani kuwa dual carriage,mambo single carriage yamepitwa na wakati ,basi kama pesa hakuna wajitahidi hata kwenye miji wajenge road kama ile ya Sam Nujoma itapendeza
Jenga hojaChoice variable in another ID[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwn mnajenga nyie? Anakwambia mngetoa pesa mfukoni ingewashinda? $0.6B mngeshindwa? Mbn sisi tunafanya miradi inafika mpk $3b bila mkopo wwte.Barabara kama ile kujenga sio rahisi kama unavyodhania, inataka uzoefu wa hali ya juu sio trial and error.
Ukweli umekuwa ukikumiz kiasi kwamb umeamua kujikat kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hongerView attachment 1703163
Mchina kodi tutampa kwa miaka 100 ikiwezekana, ukikuuma sana nenda ukazae. Manina
Hakuna tofauti na Posta ya DarView of the Nairobi CBD
View attachment 1702855
Wewe inaonekana hata mipango ya serikali huifahamu...Na Tzn ijifunze kuanza kujenga barabara kuu za kuunganisha mikoa na nchi jirani kuwa dual carriage,mambo single carriage yamepitwa na wakati ,basi kama pesa hakuna wajitahidi hata kwenye miji wajenge road kama ile ya Sam Nujoma itapendeza
Kwani hata izo rahisi mliwahi kujenga lini?Sikawaida kutoa bid kwa kandarasi za nje. ..Tz inawezaje kugharamia $1.2B kujenga SGR phase 1 na $1.3B kujenga SGR PHASE 5 Nyie mshindwe?Barabara kama ile kujenga sio rahisi kama unavyodhania, inataka uzoefu wa hali ya juu sio trial and error.