Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakikuyu ni wabinafsi sana, Rutto anajua alichofanyiwa Raila na Kibaki. Kudili na hawa jamaa ni kulala nao mbele tuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nimecheka sana leo ananiambia kwann napost za old town wakat hio CBD yao yenyewe iko old town na business yote ya mombasa iko old town [emoji28][emoji28][emoji28]
Kushika mwongo ni rahisi sana kuliko mwizi[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28], old town ni residential ya waswahili 80%., (Waislamu wote), no substantial businesses there [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28] only soko la marikiti.,[emoji1787][emoji23][emoji28] eti unaijua Mombasa old town iko kando ya CBD[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28] nilijua wewe ni Mr google, haujui lolote![emoji1787][emoji23]., uchumi uko maeneo ya industrial area, port, na outskirts, kama Bamburi na Nyali centre zina mzunguko wa pesa kushinda old town mara mia[emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28]., nenda kadanganye wapuzi wenzako., Kiswahili mingi kimejaa umwehu ndani., eti Mombasa ni old town[emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28] ata afadhali ungedanganya kwa kusema mwembe tayari, it is a business centre by far than old town[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Absolutely [emoji1787][emoji28], na ni mostly residential [emoji23][emoji1787][emoji28], kuleta clips za Mwanza kumeonyesha standards za Tz na za Uganda ziko sambamba., yaani Mwanza is a serious city[emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28] Thika pia ni city walai kwa hiyo standards.,[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28]
 
Ya thika hio ushuzi wa 50km from nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hiyo clip ata uki tazama yote na you do comparative analysis na ile ya Mwanza bila shabiki za kitoto unaona tu vile Mwanza haifai kuitwa city., Thika imechangamka kuliko Mwanza, utadhani Mwanza ni Malindi ama Lamu, a laid back town, inakaa sehemu ya starehe tu., residential ni mashambani apart from high end yenye ni ndogo ukilinganisha na the whole Mwanza, high end residential ya Thika can only be compared na za Dar(not captured in the clip).., ama uta pinga[emoji23][emoji1787][emoji28].,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…