komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Walipiga wawakopesheSi walipiga simu au umesaau![]()


Kweli nimekumbuka, mbona mnaacha european starndards sasa au mkopo


Walipiga wawakopesheSi walipiga simu au umesaau![]()




hiyo ndiyo maana halisi ya kazi ndani ya bunge......
We ndio ulete ya uswazi 2020 tulinganishe, mm natumia hyo hyotuletee sasa iliokua 2021 tuone kwamba mumebomoa huo uozo mukajenga barabara


Picha imemuumiza sana mpaka kauliza ile nafas kulia ni ya nn🤣🤣🤣🤣🤣Nioneshe nchi inayotumia bullet kubeba double stack ili nifunge accnt jf![]()
Tena sana nakwambia, kamwe haitotokea tupate street ya one way msaUkwa ukwa ukwa ukwa ukwaaaaaaaaaapatamu hapooo


We mpuuzi nn, tender ilitangazwa aliyestahili kashinda ss unataka kuongea nn.Walipiga wawakopeshe
Kweli nimekumbuka, mbona mnaacha european starndards sasa au mkopo![]()
Wacha weee..hao si ndio wale mliwangangania, msukuma naye vipiChadema uyo a.k.a UFIPA


Jamaa wa express way haitojengwa, mambo vipi!!Proposed buildings ??? 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇👇 mombasa hakuna streets za one way ila kuna ushuzi wa nguruweWe ndio ulete ya uswazi 2020 tulinganishe, mm natumia hyo hyo![]()
Mbona mwenzenu alipoleta hali ya katika bunge la county ya migori hamkujitokeza ki hvi, naona mumekua wapole kwelihiyo ndiyo maana halisi ya kazi ndani ya bunge......
we unataka bunge zima lisifie tu,,,,


Hii ni shadow kwa ya Nairobi
Inajengwa na nani ??? Kwa pesa ya nani??? Na itamilikiwa na nani kwa miaka 30 ?? Na watakao tozwa ushuru wa kupita ni kina nani kwa miaka 30??? Kwanzia boda boda 100ksh mpaka 1795ksh magari ??? Naomba majawabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ili nione ww na mchina nani mwenye akiliJamaa wa express way haitojengwa, mambo vipi!!
Siku hizi imegeuzwa kauli, eti "Pain" hahaha.
Jitayarishe huu mwaka kama utaumia
Map ya CCM na Ichoboy. 🤣🤭🤭🤭🤭🤭Ndio maana mzungu hakukosea basi 🤣👇
View attachment 1700107
Umekasirika kuskia hatutaki kuwa na one waymombasa hakuna streets za one way ila kuna ushuzi wa nguruwe View attachment 1700249View attachment 1700250View attachment 1700251View attachment 1700252View attachment 1700253




Mombasa ipate street kama hzi nitag mm 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇Tena sana nakwambia, kamwe haitotokea tupate street ya one way msa![]()
We nawe wacha aibu ndogo ndogo, cc tunaongelea bullet train na co train za kutumia kuni mzee work up.Hii ni shadow kwa ya Nairobi
View attachment 1700254
siyo upole buo ndiyo ukweli mambo yapo tofauti,siasa ya kenya haifanani na tanzania pia siasa ya Tsnzania haifanani na ya kenya...Mbona mwenzenu alipoleta hali ya katika bunge la county ya migori hamkujitokeza ki hvi, naona mumekua wapole kweli![]()
Eti enhhhhh 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇Tena sana nakwambia, kamwe haitotokea tupate street ya one way msa![]()
![]()
Hata mm nimeona hamuna ila mina ushuzi na uozo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 1700238View attachment 1700239View attachment 1700240View attachment 1700241View attachment 1700242View attachment 1700243View attachment 1700244View attachment 1700245
We ulisema haitajengwa sivyo!???Inajengwa na nani ??? Kwa pesa ya nani??? Na itamilikiwa na nani kwa miaka 30 ?? Na watakao tozwa ushuru wa kupita ni kina nani kwa miaka 30??? Kwanzia boda boda 100ksh mpaka 1795ksh magari ??? Naomba majawabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ili nione ww na mchina nani mwenye akili
Mumekosa jibuPicha imemuumiza sana mpaka kauliza ile nafas kulia ni ya nn![]()

