Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulianza kununua ndege za asakri kutoka kitambo[emoji1787][emoji1787]
Kwhyo swala la kuwa na ndege za mda kila nchi amabayo imeanza kitambo wanazo
So kwanini haipiti mwezi kama sio chopper basi ndege lazma ianguke ??? Nani aliwaroga nyinyi 😅😅😅😅😅
 
Kwamba miaka 40 kq inamiliki ndege tatu alaf muko hapa munatafuta mchawi wa loss[emoji28][emoji28] eti loss ya miaka 10 inatoka wapi ?? Nimeskia mushaanza kugeuza ndege za abiria na kua freight hahahhahaha tutaona mengi mwaka huu
Mumeanza kumiliki ndege juzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mumetoka ldc juzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niendeleeee
 
So kenya imepata mama mgina juzi wakat mwanza ziko zaidi ya 10 tena zaidi ya miaka 10 au nasema urongooo [emoji28][emoji28][emoji28]
Zanzibar ina forodhani public park leo miaka 40 [emoji23][emoji23][emoji23]
Km vile tanzania km nchi ilivyopata flyover juzi km nchi[emoji1787][emoji1787]
 
So kwanini haipiti mwezi kama sio chopper basi ndege lazma ianguke ??? Nani aliwaroga nyinyi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa sababu ni ajali, mbona nyinyi haushi mwezi mpka wakuu wenu hko lazima wapate ajali
 
Ukinipatia street za mombasa za level hio mm nafunga acc jamii forum mark my words [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio video ilimkimbiza mwenzio mkuku
1 way[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mumeanza kumiliki ndege juzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mumetoka ldc juzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niendeleeee
Ndege 11 brand new miaka mitatu ya magu vs ndege tatu chakavu miaka 40 🤣🤣🤣 alaf munatafuta mchawi wa loss miaka 10
 
So tuseme 14b ksh tax payers money for BBi zinaelekea kuteketea🤣🤣🤣🤣

 
1 way[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasema tafuta street narudia streets za level hio ukipata nitag nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣 kama hujatuonesha zile vichochoro vya old town vilivyooza
 
So tuseme 14b ksh tax payers money for BBi zinaelekea kuteketea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyu mama anachokisema kweli au nae ni mpiga dili[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
20210211_000857.jpg
 
Nasema tafuta street narudia streets za level hio ukipata nitag nifunge acc sasa hvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama hujatuonesha zile vichochoro vya old town vilivyooza
Hatuna streets za one way mombasa[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom