Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

With only 10 yrs of hard working [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545]
JamiiForums1966286991.jpg
 
Nioneshe nchi inayotumia bullet kubeba double stack ili nifunge accnt jf [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545]
Bwahaha!!swai nilikowauliza nyinyi hivi leo unalitumia kutoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa hutoki, subiria hilo swali linakuja soon
 
Inajengwa na nani ??? Kwa pesa ya nani??? Na itamilikiwa na nani kwa miaka 30 ?? Na watakao tozwa ushuru wa kupita ni kina nani kwa miaka 30??? Kwanzia boda boda 100ksh mpaka 1795ksh magari ??? Naomba majawabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ili nione ww na mchina nani mwenye akili
Km ile yenu mliojengewa na serekali na bdo mnatozwa kodi, hata sisi tutalipia hvo hvo[emoji1787][emoji1787]
 
Bwahaha!!swai nilikowauliza nyinyi hivi leo unalitumia kutoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa hutoki, subiria hilo swali linakuja soon
Hapo ni kwa ajili ya abiria tu, so kuhusu freight wait n see [emoji3][emoji3][emoji3]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haitopata kabisa, tena sahau[emoji1787][emoji1787]
Mombasa hatuna street za one way ulivoona kibano ukaona utokee kwengine hapa hutoki mzeee🤣🤣🤣👇👇👇
38FBE42F-59F0-47F2-9AFC-B4168F6DA9AF.jpeg
9DB090A9-6E9D-49CB-860A-F39754535703.jpeg
 
siyo upole buo ndiyo ukweli mambo yapo tofauti,siasa ya kenya haifanani na tanzania pia siasa ya Tsnzania haifanani na ya kenya...
Ka quote na mwenzako ile ya migori ujibu hvi hvi basi ndio nione km sio unafiki
 
Km ile yenu mliojengewa na serekali na bdo mnatozwa kodi, hata sisi tutalipia hvo hvo[emoji1787][emoji1787]
Si bora hio pesa zinarudi serekalini na ajira zinaenda kwa watanzania hio ya mchina pesa zinaenda wapi???😅😅😅😅 na ajira zinaenda kwa nani???
 
Back
Top Bottom