Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umevuta bangi anayovuta Sonko na Uhuru
 
Ww kwaeshima tu, acha kuongea upumbavu...wachana na Dar kabisa
 
We fala kweli leo ndio unaijua jamii forums [emoji3][emoji3][emoji3]

Hao wapo wengi humu, wanaitwa UFIPA hawataki hata kuuona huu uzi, huwa unawaumiza sn huu uzi wakiona mafanikio ya Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vitasa ,na akina Msukuma walioongea bungeni ni Ufipa? [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Portuguese/Arabic/Swahili architecture Mombasa(Sehemu ya Old town - 'antique')
 
Wambie wakapinge km uongo[emoji1787][emoji1787]
Juzi nilisema hapa kuna majukwaa hapa jf huaga wanayakwepa..kwa sababu wakijichanganya tu wanakula za uso
Huwa wanashinda humu kuwa fool,Jana mbunge wao kasema Gdp iko overestimated maana wanakadiria mapato makubwa afu ministry inapewa 6% hii ndio ccm ilipoifikisha nchi
 
Wanaosema hali ngumu ni wale waliozoea vya bure au waliozoea madili kama unafanya kazi hali haiwezi kua ngumu hata kwenye maandiko yapo [emoji28][emoji28] eti ww ukae nyumbani uzoee kuletewa aalf hali iwe rahisi hio sahau
Waliofunga maduka kwa Hali ngumu walikuwa na madili gani
 
Waliofunga maduka kwa Hali ngumu walikuwa na madili gani
Maisha yamekuwa tofauti na zamani hyo ni kweli na anayebisha aje hapa nipambane naye mpk kesho, kiukweli pesa imekuwa ngumu kwa kipindi hiki cha Magu, sisi graduates tuemeamua kufanya dili zingine ili tusiaibike, mm nilimaliza chuo 2018 nipo sijapata kazi mpk ss nafanya michongo yng tu, ila kwakuwa mm nilisomea uchumi wkt nipo advance najua stages za Economics na najua uchumi wa kweli unajengwa vp so japo nafanya mishe zng na nmekosa kuajiliwa lkn cku zote nipo pamoja na Magu cz najua anafanya nn.

Najua anapigania taifa, ila kuna ******* hususan civil servants wengi wao ni ******* sn na hawajitambui na ni wabinafsi sana, yn wanakesha wakimkosoa president wkt ukweli wanaujua kwmb president anapambana na nahisi ww ni mmoja wao, nachelea kusema kuwa wewe ni mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…