simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,699
- 9,591
Nairobi expressway -kumekucha.
Nairobi expressway -kumekucha.






Matusi ya DMDP hayo barabara zina taa na safi tu yn kuna waka na co hapo tu, DMDP imechafua Uswahilini kibao tu, ss nitaanza kutembelea kunako uswazi niwaoneshe hawa watuLeo nilitembelea pande za uswahilini huko kiwalani,aisee hii nchi inajengwa yn huko kiwalani ni lami tupu, kule mbele kuna soko kubwa ghorofa mbili ila nilikuwa fasta sikupiga picha ila bado nina safari ya kwenda kule nitaweka humu picha zikiwa poa cz hapo nilipiga Fasta Fasta ila next time napiga na sokoView attachment 1697924View attachment 1697925View attachment 1697926View attachment 1697927View attachment 1697928







Kama hii habari ni kweli, then tutegemee yafuatayo, tender ya tabora - kigoma inaweza tangazwa anytime next year.tender bado.. mchina ndo atatoa hela.. it’s obviously makampuni yao ndo itajenga
mkianza kusikia Magu anaongelea SGR ya Isaka-Makutupora moja kwa moja hasa jiwe la msingi wa Isaka-Mwanza ujue mambo tayar kwenye ishu ya finance
Geza andika vizuri. Isomeke hiviWacha ujinga nchi yenye wataalam kama India hawawezi kubisha just for politics bali wamekataa kutumika kimajaribio!
inabidi tufanye biashara sasaTutaendelea sasa tumeanza kupiga nyindo.
View attachment 1697755View attachment 1697756View attachment 1697757
Tunzeni hz picha cz battle ya hospital inakuja japo wanaikwepa ila watake wasitake tutaiweka soon, ipo siku nitachokoza ili wajae tuwapige sindanoHospitali ya Wilaya Kinondoni Ikiendelea Vizuri
View attachment 1697466



Wapi hii ubungo auuu.Majirani kuna Jambo la kujifunza kwenye finishing ya hizi interchange/flyoversView attachment 1697450








daaaah,,mzee nimetoka kupunguza mawazo kidogo maana usingizi haupo kabisa kichwani nina maji ya kutoshaNchi zenye wataalamu kama Tanzania na India wamekataa kutumika kimajaribio.Geza andika vizuri. Isomeke hivi
Nchi zenye wataalamu kama Tanzania na India wamekataa kutumika kimajaribio.
😝😝
hizi pathways zina ukurutu ama?Mpe hii atulie.
View attachment 1697834
Nchi zenye wataalamu kama Tanzania na India wamekataa kutumika kimajaribio.






