Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yaani ile bado iko under construction almost looking better than a complete one πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , be patient ikwishe kisha ufananishe ama utofautishe., kua mpole chief CCM propagandist.
Asante kwa uchungu siku nyingine ukija uje na heshima πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ CCM achana nayo itakutoa nyongo bure alaf we bado kijana mdogo pambana na umaskini pambana na ugumu wa maisha kwa sasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
ona sasa fikra zako? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ unatafuta nini tena?
 
Hakuna kitu naona cha ajabu juu ya hii πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Ni maoni yako tu, keep it bro., hizi video clips zinajieleza wazi wazi tu, hazihitaji maoni yako kamwe., wacha kiherehere.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Ni maoni yako tu, keep it bro., hizi video clips zinajieleza wazi wazi tu, hazihitaji maoni yako kamwe., wacha kiherehere.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kwekwekwe naona sasa heshima ushakua nayo mwenzako alikimbia maskini hajarudi tena πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wala siku hzi haongelei tena
 
Kwekwekwe naona sasa heshima ushakua nayo mwenzako alikimbia maskini hajarudi tena πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wala siku hzi haongelei tena
unajiliwaza sana bro., tulia wacha hasira., u did well kuweka video clips, tena unalia lia nini? ulianika Mwanza wazi peupe, nami nimeanika Mombasa., wacha kujitetea na vijimaneno na arguments uchwara., relax buda πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ matokeo yameanikwa kila mtu ajionee, wewe hauna la ziada kamwe., wewe move on in peace.,wacha uDonald Trump humu., unalia lia sana broπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole I didnt mean to hurt your feelings., relax.
 
Sasa naona unataka kuingia kwenye siasa ninakuonya Mara ya mwisho achana na siasa za Tanzania. Utakimbia sasa hivi nikianza kurusha mawe.
 
hii kitu Uhunye anamfanyia huyu jamaa ni sawa na ile ya Magu na Manji [emoji23][emoji23]
 
Sasa naona unataka kuingia kwenye siasa ninakuonya Mara ya mwisho achana na siasa za Tanzania. Utakimbia sasa hivi nikianza kurusha mawe.View attachment 1697480

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ another baboon jumps on me kienyeji tu., bro relax, it was a fair comment on a senior member humu. I know him, stop reading your skewed thoughts into my response.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ another baboon jumps on me kienyeji tu., bro relax, it was a fair comment on a senior member humu. I know him, stop reading your skewed thoughts into my response.
You are stupid. Nimekueleza issue za siasa za Tanzania achana nazo.
Kenyatta family inawachezesha kama ipendavyo. You are country ipo kwenye elite group. They own everything including you. Huna cha kusema zaidi ya kuramba miguu ya Kikuyu tribe and Uhuru family.

Usitake nianze kupiga za uso sasa.
You are country is a shame. Mnatuaibisha waafrika.
 
...and an idiot exposes his idiocy once moreπŸ˜›πŸ˜‚, kulikoni? unaumwa na wewe pia? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ wacha hasira, ukweli ni ukweli tu, wewe relax usipate ulcers bure.,
 
Tunaposema wakenya akili zao haziko Sawa wengi wanakataa. Tanzania huwezi fanya vitu hivi kwa kigezo cha kuwa kiongozi.

 
Msione wakenya wanabweka humu. Hawana chochote Kenyatta Family ndio kila kitu. Wanaiabudu family hiyo wapo tayari kufa kwaajili ya Kenyatta family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…