Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 leo kazi kazi usione aibu we pitia hapo
Na nikikuambia Mwanza size yake Eldoret unabisha sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ look at their suburbs?., am watching and rewatching your clips!., infact hiyo residential is nowhere near za Eldoret bro kulikoni?., ukipata residential kama za Eldoret Mwanza, well organized, modern housing., nafunga account., na sijakuletea za Machakos.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Haahaaa
.Funga mlango
.Wamefunga shule
.funga uzazi
.Kafungiwa (kucheza, kuimba nk)
.Funga Kamera ukutani

Inamaana unataka kusema bila kamba neno funga halipo kabisa si ndo hivyo?
 
Uhehehehehe mbona umetoka huko au ulijua kuna bangladesh slum itakuumbua 🀣🀣🀣
 
Umeogopa kuna bangladesh slum mombasa itakuumbua πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwa ujinga ulio andik [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio unadhan unafaa kukosoa mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kwekwekwe fimbo imeingia kisawasawa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
angalia bangi inaongea hapa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , eti fimbo, unahurumisha, mbona kuteseka hivi ukitetea hakuna?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ulifanya bora kuweka video clip., hapa maneno yako yanabaki tu kua maneno., wacha video clips zako zizungumze na kujiteteaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,
 
Mji hauna maji na uko karibu na eti leo unashindanishwa na mwanza hvi watu muko sawa kiakiliπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

 
Uhehehhehe umeona kuna bakora mbele ukaona ukimbilie kwenye ushuzi mwengine unaitwa eldoret πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mm hakuna mji utanidangany keny labda lamu na turkana sijui wajir ndio sijafika
 
Jifunze kiswahili aisee. Hujui kiswahili sorry for that. Ni kama kubishana na kipofu kuhusu mwezi.
Hata kwenye mambo ya kawaida tu ya kisayansi hujui.

Rocket is a craft or a vehicle kazi yake ni kuibeba hiyo satellite na kuifikisha kwenye orbit.
 
Umeogopa kuna bangladesh slum mombasa itakuumbua πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
unatafuta pakutokea baada ya kunyoroshwa kama kawaida yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., sikuletei mapungufu ya Dar leo, ukweli ni ule ule, mashambani, cant lower myself to your levelπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ masikini kaumia leo, pole bro si kwa kupenda kwangu, ni facts tu, hatuwezi badilisha kamwe, endelea kulia lia bro na vijisababu.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leo umepata taabu sana., unajaribu video inashindikana., umetafuta Tz yote umekosa jibu unarudi kutafuta mapungufu ya Kenya ili ujikomboe kutokana na kichapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwaga povu hadi basi., raha tele leo
 
SGR Isaka-Makutupora mchina ndo atapewa ajenge. Mambo motomoto [emoji95][emoji91][emoji95][emoji91]
Confirmed? Nilidhani tenda itatangazwa May au June mwaka huu. Kumbe kitu tayari!
 
Umeona mwenzio alivo na akili πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
Haha wewe umechokora youtube hadi ukapata hio video?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…