President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Kwahiyo satellite inarushwa!? Kiswahili hujui.Satellite hazifungwi mzee. Wewe ni cosmologist fake na hujui hilo? Rocket inazunguka dunia kwa velocity ya juu sana na kisha inaiwachilia satellite iendelee kurevolve around the earth through inertia. Hizi satellite baada ya miaka kadhaa velocity yao ya kurevolve around the earth huwa inapungua na inaanguka ardhini. Satellite haziwezi kurevolve forever kwa sababu ya drag from the atmosphere
Thank u!Hio ya kwanza ni boom crane
View attachment 1697401
Acha u jinga wako. Ficha upumbavu wako huko kisha uongee facts. Tukiwa tunaongea kiswahili ni vyema ukatulia tukuelimishe.Venus Star ichoboy01 Shebby01 babayao255
Nauliza tukizingatia kiswahili chenu kibovu basi itakuwa mwezi na jua pia zimefungwa angani? Itakuwaje kwamba satellite inafungwa angani. Mnaharibu kiswahili.
Nadedicate Wimbo wa Saida Karoli kwa Watanzania wote. Wenye wivu wajinyonge
View attachment 1697225
Mimi sipingi kwamba kitanda kinafungwa. Hapo kwa mashine pia inaweza kufungwa ikiwa itafungwa kwenye ardhi kwa kutumia spana na boriti. Naomba msamaha, nilikosea kusema mashine haiwezi kufungwa. Ila jambo ambalo haliwezi kufungwa ni satellite. Satellite itaifunga na kamba au utaifunga na nini?Kwahiyo satellite inarushwa!? Kiswahili hujui.
Ngoja nikufundishe kiswahili nakutaka usikimbie. Also achana na kuongelea cosmology au account, hapa tunaongelea lugha adhimu ya kiswahili.
Ndio maana umeambiwa satellite imefungwa angani.
Mfano: Unaponunua machine ya kukoboa mahindi utaandaa sehemu na utaenda kuifunga kwa kutumia spana, bolts zitakazwa.
Unaponunua kitanda parts zake zimesambaa kuziweka pamoja tunaita kufunga kwa kingereza unaweza sema assemble.
Sasa wewe mjinga usiyejua kiswahili unataka kutufundisha sisi waswahili.
Hayo mambo ya velocity and so on, ni lugha za kitaalamu.
Nice street view picture., keep up with such[emoji106],.,
babayao255 huyu Tony254 ana.missbehave siku hizi tangu tuwaambie ile express road yao famba karukwa na akili!Wacha kuwa hater.
Huu ndio uchafu baada ya kuzoom au nasema urongooooπ€£π€£π€£ππππDar es Salaam big coastal town,
View attachment 1697349
View attachment 1697351
View attachment 1697352
Tofauti na Mombasa ni towers na BRT tu.,
Mombasa City
View attachment 1697353
View attachment 1697354
View attachment 1697365
Wa kunyamba wanyambe. Matumbo yanachanika malazy wanapotazama picha hizi
View attachment 1697234
View attachment 1697235View attachment 1697236View attachment 1697237View attachment 1697238View attachment 1697239View attachment 1697240View attachment 1697241View attachment 1697242
Cc tuusan The best 007 mkorinto Geza Ulole
Sasa baada ya kurushwa ilifanya nini!?Mimi sipingi kwamba kitanda kinafungwa. Hapo kwa mashine pia inaweza kufungwa ikiwa itafungwa kwenye ardhi kwa kutumia spana na boriti. Naomba msamaha, nilikosea kusema mashine haiwezi kufungwa. Ila jambo ambalo haliwezi kufungwa ni satellite. Satellite itaifunga na kamba au utaifunga na nini?
Tazama facebook account ya TZ inayoitwa swahili hub inasema kuwa satellite ya Kenya "ilirushwa"
View attachment 1697405
Compare and contrast the two., π π π π Mwanza ni Thika bro., wacha kulia lia sana., ukikubali ukweli hauta kufa bro na hakuna atakaye kupiga.,Huu ndio uchafu baada ya kuzoom au nasema urongooooπ€£π€£π€£ππππ
View attachment 1697406View attachment 1697407
Hebu chuku time yako upitie hapaπ€£π€£π
Which nations!? Mention themWacha watu watazame wa judge., especially from other nations.,
Hebu sasa niambie kuhusu maana ya hiki.Mimi sipingi kwamba kitanda kinafungwa. Hapo kwa mashine pia inaweza kufungwa ikiwa itafungwa kwenye ardhi kwa kutumia spana na boriti. Naomba msamaha, nilikosea kusema mashine haiwezi kufungwa. Ila jambo ambalo haliwezi kufungwa ni satellite. Satellite itaifunga na kamba au utaifunga na nini?
Tazama facebook account ya TZ inayoitwa swahili hub inasema kuwa satellite ya Kenya "ilirushwa"
View attachment 1697405
yaani Mwanza jamaa kazungusha camera sehemu moja tu semi circle view., a small thing.., mbona unajitekenya na kucheka bro? ulikunywa nini ama umevuta nini bro? nikama umeganda kichwa aise.,ππππ.,Huu ndio uchafu baada ya kuzoom au nasema urongooooπ€£π€£π€£ππππ
View attachment 1697406View attachment 1697407
Hebu chuku time yako upitie hapaπ€£π€£π
Hizi maana zote za funga hakuna hata moja inayohusu satellite kufungwa angani. Wewe unadhani rocket ikishafika angani na ianze kuzunguka dunia halafu iwachilie satellite halafu satellite hio ianze kuzunguka dunia hicho ni kitendo gani kama sio kurusha?Sasa baada ya kurushwa ilifanya nini!?
Niekueleza kurushwa ni kusafirisha kutoka ardhini kwenda angani. Sasa ukisema satellite imerushwa maana yake imesafirishwa angani.
Hebu soma maana ya neno funga kwanza.
View attachment 1697409
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ leo kazi kazi usione aibu we pitia hapoCompare and contrast the two., π π π π Mwanza ni Thika bro., wacha kulia lia sana., ukikubali ukweli hauta kufa bro na hakuna atakaye kupiga.,
jiulize na ujijibu, we cant do everything for you all the time, jikakamue kufikiria pia na wewe.,Which nations!? Mention them
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kwekwekwe fimbo imeingia kisawasawa πππππyaani Mwanza jamaa kazungusha camera sehemu moja tu semi circle view., a small thing.., mbona unajitekenya na kucheka bro? ulikunywa nini ama umevuta nini bro? nikama umeganda kichwa aise.,ππππ.,
Huu ndio uchafu baada ya kuzoom au nasema urongooooπ€£π€£π€£ππππ
View attachment 1697406View attachment 1697407
Hebu chuku time yako upitie hapaπ€£π€£π