babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,439
- 36,069
Nashukuru sasa hivi Dodoma mipango miji wanajitahidi sana.Hii ndiyo changamoto pekee ukiacha ya ujenzi wa kiholela wa kujijengea hovyo hovyo ambapo naona imekosa dawa.
Pamoja mkuuYataisha tu,mana mm nilichomuelewa Magu ni kwamba anaruhusu hawkers wafanye biashara wawezavyo zen mambo yakikaa sawa watu wakiwa vzr kiuchumi civilization ita take place automatically.
Wamegoma kukubali licha ya kuwapa evidence, wanapinga bila credible sources ukiwabananisha wanakimbilia kujifanya kujua kingereza as if wao ndio waliokianzisha.Ok,kwa hiyo tunakubaliana nairobi ina watu 4 mill,kati ya hao 2.5 mill are slum dwellers..!so ni sahihi kwa ile ripoti kwamba over 50% of nairobians wanaishi kwa slum.
Hiyo maana yake over 60% ya wakazi wa nairobi wako kwa extreme poverty..
Labda ndani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Demu kakamilika kila idara,sioni kasoro kabisa[emoji7]
Siyo kweli, Tanzania imekuwa na majaribio mengi ya upinduzi kutoka ndani na nje kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki. Lakini yote yameshindikana.Tanzania is the most peaceful country in Africa. Ni kwa nini? Ni uoga wenu wa kuogopa kupindua serikali au ni nature yenu kutulia kama maji ya mtungini?
Utulivu wa Watanzania ni mafaniko ya mifumo yetu ya ulinzi na usalama. Rebels wamekuwepo sana ila wanazimwa kimya kimya. Tanzania kila mtu anajukumu la kuilinda nchi yake, mgeni yoyote akiingia mahali, anakuwa keshajulikana. Ni kweli Mwalimu ndiye aliyeweka mifumo mingi ya usalama, mmoja wapo ni huu wa nyumba kumi kumi.Hata hamna rebels kwenye nchi yenu yet rebels wako katika 80% ya nchi za kiafrika. Aisee shukuruni mwalimu kwa kuwafanya muwe watulivu na waoga. Vita sio jambo nzuri.
Hili ni kabila huko kusini mwa Tanzania, vijana wa huko walikuja Dar kwa wingi kipindi cha Rais Mwinyi (1985 - 1995). Vijana hao wakaanza hustling ya kutembeza bidhaa (nguo, mifuko, n.k) mjini ndipo wakaitwa wamachinga, japo kuwa kwa sasa mtu yeyote anayetembeza bidhaa barabarani anaitwa mmachinga.Machinga huwa ni watu gani na wanauza nini? Maana huku Kenya hatutumii hilo neno.
Watu wa ukraine wamembadilisha tony,hawa wakenya wengine hawana exposure..Wewe tony co mkenya Og nshawahi kukuambia, ila wakenya wenzako nadhani unawajuwa roho zao.
Ndo amenishangaza Yosef Festo yn huyu ni Mkunya wa kwanza kumpinga mkunya mwenzie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kitu nimenotice kwa wakenya wa humu...wanaogopana sana kupingana wako radhi wamuunge mkono mwenzao anayepotosha kuliko kumkosoa.
Naweza sema wakenya hawana uhuru wa kukosoana wenyewe kwa wenyewe humu jamiiforums [emoji23][emoji23][emoji23]
Cc Tony254 kuja ukule vidonge vyako hapa, unaleta hating zako hapa wkt Entebe expressway ndio the most expensive in Africa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Been their like two years ago, along the expressway ni residentials na businesses, villagish look though at some places but not that forest the way unaweka, yako is a mere hating, the road is dope, plus the surroundings.,
Watu wengi sn wana plan hizo aisee, naona kabisa tukipungua hapa Dar by 2025.Nashukuru sasa hivi Dodoma mipango miji wanajitahidi sana.
Huwa nafanya kazi mikoa miwili.
Siku mbili Dar na siku mbili Dodoma.
Ila siku hizi nimetokea kuvutiwa sana na Dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Naweza kaa weekend nzima plus siku mbili za kazi.
Nadhani nitahamia moja kwa moja Dodoma.
😀😀Labda ndani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nenda jifunze kiingereza, ata unge DM mtu anaye fahamu kizungu akufafanulie, nimeaoma comments zako, uko ovyo sana., maybe ulikua tu battle, arguing to win sio kujua ukweli., Dar ni ushago sana [emoji28][emoji1787][emoji1787], unajaribu kujificha na Kenya[emoji28][emoji1787][emoji1787]Wamegoma kukubali licha ya kuwapa evidence, wanapinga bila credible sources ukiwabananisha wanakimbilia kujifanya kujua kingereza as if wao ndio waliokianzisha.
Ndo mana nikawashauri hizo article wanazozitoa midomoni mwao wazi publicize basi tujue moja.
Ile plan ya maji ya ziwa Victoria ikifanikiwa kutekelezwa asee wengi sana watahamia Dodoma.Watu wengi sn wana plan hizo aisee, naona kabisa tukipungua hapa Dar by 2025.
Hehehehee kwamba slum dwellers Nairobi ni 2.5mil inahitaji ujue kingereza [emoji122][emoji122][emoji122][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nenda jifunze kiingereza, ata unge DM mtu anaye fahamu kizungu akufafanulie, nimeaoma comments zako, uko ovyo sana., maybe ulikua tu battle, arguing to win sio kujua ukweli., Dar ni ushago sana [emoji28][emoji1787][emoji1787], unajaribu kujificha na Kenya[emoji28][emoji1787][emoji1787]
Machinga ni hawkers nyie huwa mnatumia wachuuzi🙂Machinga huwa ni watu gani na wanauza nini? Maana huku Kenya hatutumii hilo neno.
Kwamba hii unaipinga au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji2781][emoji3545]Nenda jifunze kiingereza, ata unge DM mtu anaye fahamu kizungu akufafanulie, nimeaoma comments zako, uko ovyo sana., maybe ulikua tu battle, arguing to win sio kujua ukweli., Dar ni ushago sana [emoji28][emoji1787][emoji1787], unajaribu kujificha na Kenya[emoji28][emoji1787][emoji1787]
In Kibera alone watu ni wangapi?Kwamba hii unaipinga au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji2781][emoji3545]View attachment 1694317
Kwnn unaongelea Kibera alone? Kwn Nairobi slums ziko only in Kibera?In Kibera alone watu ni wangapi?
Alafu weka facts kwa ground., name them kisha dhibitisha, tukiweka ukweli mtapinga hadi forever[emoji23][emoji28][emoji1787] some of the places called slums in Kenya ni flats tupu, but conjested, Kama pipeline areas, hamuwezi kukubali on average Dar ni ovyo., mashambani kote kote, poverty its your city's middle name.., unajaribu kujiliwaza baada ya exposure[emoji23][emoji28][emoji1787][emoji1787]Kwamba hii unaipinga au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji2781][emoji3545]View attachment 1694317
Your earlier argument ulikua unasema nini kuhusu Kibera?.,Kwnn unaongelea Kibera alone? Kwn Nairobi slums ziko only in Kibera?
Haya twende kazi, expose Dar na expose Nairobi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji90][emoji90][emoji2781][emoji2781][emoji3545]Alafu weka facts kwa ground., name them kisha dhibitisha, tukiweka ukweli mtapinga hadi forever[emoji23][emoji28][emoji1787] some of the places called slums in Kenya ni flats tupu, but conjested, Kama pipeline areas, hamuwezi kukubali on average Dar ni ovyo., mashambani kote kote, poverty its your city's middle name.., unajaribu kujiliwaza baada ya exposure[emoji23][emoji28][emoji1787][emoji1787]