Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Dar ni jiji kubwa haswaa kila uendapo utakuta watu kibao iwe city centre au nje ya mji kama chanika,mbagala chamazi,tegeta bunju unakutana na makundi ya watu kama vile uko posta au kariakoo,dar ni kiboko hapa eastMajority ya nairobians wanaishi eastlands[emoji1787][emoji1787]
Nyie dar tuonyesheni majority wanaishi wapi
noma sana
Newyork kuna apartment yenye floor 78 ,halafu unajilinganisha nae,unajua hiyo building inahifadhi watu wangapi???..elewa unapoambiwa developed cityUnamaana ardhi za developed cities huaga ni za ghorofa sio[emoji2960][emoji2960]
Huaga zina layers ndio manake zina watu wengi lkn ardhi ndogo sio, watu wanaishi kw layers[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
acha uongo dogo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙉🙉 kibera pekee inanyumba laki2 zizazohost 2.5ml dwellers vipi ziwani,korogocho, mukuru, kariadudu ?😳😳😳😳😳🤣🤣🤣🤣🙈🐒🐒🐒🐒👈Majority ya nairobians wanaishi eastlands[emoji1787][emoji1787]
Nyie dar tuonyesheni majority wanaishi wapi
Hiyo tandale kuna nyumba kali kariobange hakuna,halafu mwenye dream house yake huwezi kumfananisha na mtu anayeishi kwa rent,yaani ni mbingu na ardhi hasa kwa life standard hamtuwezi hata kidogoTandale kuna apartments? Maana Kariobangi ujuwe kuna apartments nyingi. Usikute Tandale ni nyumba za mabati tu.
Yaani ni shida mazingira ya Kule mtihani 😔Libya ilikua nchi nzuri hata ukifika Kule infrastructure inakuambia bahati mbaya inchi haiko stable Kama zamaniLibya ogopa mzee. Waafrika wanafanywa kuwa slaves huko.
kwanza inabidi ujue chato airport ni uwanja wa mkoa wa geita sasa geita ni kiwanda cha madini, uvuvi na mazao ya uvuvi, utaliiMlijenga airport kwa nini huko Chato ilhali watu wachache wanaishi huko? Au ni kwa sababu JPM anatokea Chato? Nyinyi pia mna ubaguzi
Mganda aje ashange nn wakat express way wanayo 🤣🤣🤣 na nani mpuuzi aje kushangaa barabara 😅😅😅😅Balala yupo correct. Akisema tourists hamaanishi wazungu anamaanisha Watanzania na Waganda.
Nairobi slums ninazo zijua na ambazo nimefika hizi hapa; alafu wadau waniambie kama ni least au most🙂
1.Kariobangi-darfur,githembe,kanyama,light industries,kariobangi sewage etc
2.Huruma-kiamaiko,ngei,
3.mathare-4a,mradi,desert,Kosovo,mlango kubwa etc etc area 4
4.mukuru kwa Jenga,kwa Ruben,mukuru kayaba
5.majengo,ziwani,shauri moyo,Kashmir etc
6.korogocho,Kisumu ndogo,Balkans.grogon a,b/gitathuru,ngomongo,Kona mbaya,undugu, mandrakos,
7.,kasabuni, lucky summer Baba dogo,kariadudu
8.kayole Soweto
9.kibera.line Saba,Lindi,Soweto, charagombe
10.kawangware etc etc
Hiyo imekaa aje mkuu🙂
Kweli mkuu inatakiwa iwe business capital ya east na central Africa 👏Dar ni jiji kubwa haswaa kila uendapo utakuta watu kibao iwe city centre au nje ya mji kama chanika,mbagala chamazi,tegeta bunju unakutana na makundi ya watu kama vile uko posta au kariakoo,dar ni kiboko hapa east
Hahaha. Hio expressway ya Uganda imepita kwenye vichaka na misitu. Imeconnect Entebbe na Kampala na kuna misitu na vichaka kati ya hizi jiji mbili. Kampala city yenyewe haina expressway inayopita katikati yake. Nairobi ndio city ya Kwanza ambayo expressway inapita katikati.Mganda aje ashange nn wakat express way wanayo 🤣🤣🤣 na nani mpuuzi aje kushangaa barabara 😅😅😅😅
Chato ni wilaya iliopo kwenye mkoa mpya wa geita sasa wewe hapo unapinga nn wakat geita sasa ni mkoa na unatakiwa uwe na huduma zote za msingiMlijenga airport kwa nini huko Chato ilhali watu wachache wanaishi huko? Au ni kwa sababu JPM anatokea Chato? Nyinyi pia mna ubaguzi
Hahaha wewe mwenye umefika Nairobi utasemaje kwamba Dar iwe business capital ya EA? Kampuni za ulaya zinazofungua regional HQ Nairobi sio wajinga kufungua HQ Nairobi na sio Dar. Wana sababu zao.Kweli mkuu inatakiwa iwe business capital ya east na central Africa 👏
Swali ni ipo au haipo🤣🤣🤣 na kama ipo basi jibu unaloHahaha. Hio expressway ya Uganda imepita kwenye vichaka na misitu. Imeconnect Entebbe na Kampala na kuna misitu na vichaka kati ya hizi jiji mbili. Kampala city yenyewe haina expressway inayopita katikati yake. Nairobi ndio city ya Kwanza ambayo expressway inapita katikati.
Wabongo nanyi lazima mje tu maana hamjawahi kuona expressway maishani mwenu.
Nani alifanya Geita iwe Mkoa? JPM? Bila shaka habari umeshaipata.BiChato ni wilaya iliopo kwenye mkoa mpya wa geita sasa wewe hapo unapinga nn wakat geita sasa ni mkoa na unatakiwa uwe na huduma zote za msingi
Ndioo umeshangaa Hilo jina? 😀🤣🤣🤣🤣🤣😩 Kariadudu??!!!