The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Said a man from UFIPA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jengo halina muonekano mzuri yaani ni kama godown au supermarket,haiingii akilini stnd ya mbezi ni nzuri kuliko hii dizaini ya jengo la airport
Usichanganye vitu kuna report Mbili za WB kuhusu Kenya hiyo uliyoleta inahusu economic inclusion report iliyotoka mwaka jana I think November. Report ya January 2021 detailing the state of poverty in Kenya bado haijawa released ila snapshots yake imeshatoka habari ndio hiyo Kenya is worse economically compared to Zimbabwe and Burundi.Bado ulishindwa kusoma report ya world bank hii hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji28][emoji1787]
View attachment 1693321
Hapa [emoji116][emoji116]naona mtakomaa kwa mda mrefu Sana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28]
View attachment 1693323
Serikali yetu inapoona taarifa zozote za uwongo iwe zimetokea jamii forums or any other reporting sources huwa inakanusha haraka sn, ss vp serikali yenu imekaa kmy? Mana ake nn hapo, so inawaachia nyie raia ndo mkanushe au sio?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuikweli wewe ni dwanzi[emoji23][emoji1787][emoji1787] world bank sio CCM., Kenyans.co.ke ata hapa Kenya are not reputable source unakicha wewe?, Ni kama world Bank walalamike eti kuna taarifa jamii forums inawadanganyia, wanasiasa wa CCM ndio zao hizo., Any other excuse mzembe?
Serikali yenyewe ina mda na wananchi wake ipo busy na BBI🙂Serikali yetu inapoona taarifa zozote za uwongo iwe zimetokea jamii forums or any other reporting sources huwa inakanusha haraka sn, ss vp serikali yenu imekaa kmy? Mana ake nn hapo, so inawaachia nyie raia ndo mkanushe au sio?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha. Wimbo za CCM ni tamu sana.Miaka 5 ni mingi sana Tunakosa wawekezaji sababu umeme hatuna wakutosha kwahyo umeme ukiwepo wakubwa wanakuja kuwekeza maana pop yetu inakua kwahyo bidhaa zao zinauhakika wa soko
Ni bora wangekaa kmy tu mana hyo report imeshavuja na serikali yao imekaa kimya, ss hawa jamaa hawajiulizi why our Govt remains silent on this trash new?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usichanganye vitu kuna report Mbili za WB kuhusu Kenya hiyo uliyoleta inahusu economic inclusion report iliyotoka mwaka jana I think November. Report ya January 2021 detailing the state of poverty in Kenya bado haijawa released ila snapshots yake imeshatoka habari ndio hiyo Kenya is worse economically compared to Zimbabwe and Burundi.
anza kumwaga mauno sasa.....Hahaha. Wimbo za CCM ni tamu sana.
Unajaribu kudanganya vilaza wenzako wewe[emoji23][emoji23][emoji1787], the report was launched on Tuesday last week 2021, nothing about poverty nyambaff wewe[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28],., Weka hapa link ya hizo snap shots[emoji23][emoji1787] nihame jf sasa hivi., Ingia website ya world bank Kisha unipinge kutoka hapo eti hawaja release hiyo report, nimeweka hadi link mnajifanya hamjui kusoma ama ni kizungu inakutesa?.,Usichanganye vitu kuna report Mbili za WB kuhusu Kenya hiyo uliyoleta inahusu economic inclusion report iliyotoka mwaka jana I think November. Report ya January 2021 detailing the state of poverty in Kenya bado haijawa released ila snapshots yake imeshatoka habari ndio hiyo Kenya is worse economically compared to Zimbabwe and Burundi.
Serikali uchwara ya propaganda na udaku ni nini hawawezi kufanya.,[emoji28][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787] waliumbuliwa Waka amua kufungia independent research bodies from publishing any findings of their work,, so chochote kwa mtandao lazima wadandie.,Serikali yetu inapoona taarifa zozote za uwongo iwe zimetokea jamii forums or any other reporting sources huwa inakanusha haraka sn, ss vp serikali yenu imekaa kmy? Mana ake nn hapo, so inawaachia nyie raia ndo mkanushe au sio?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Worse economically, nashangaa pia na mimi[emoji15][emoji15][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]., ilikua ni lazima ucomment bro?[emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]., mnajiaibisha sana!.,Usichanganye vitu kuna report Mbili za WB kuhusu Kenya hiyo uliyoleta inahusu economic inclusion report iliyotoka mwaka jana I think November. Report ya January 2021 detailing the state of poverty in Kenya bado haijawa released ila snapshots yake imeshatoka habari ndio hiyo Kenya is worse economically compared to Zimbabwe and Burundi.
keep that 👆 👆 history in your archives., which year please.., na taka ni jambo la kushughulikia kwa siku ama wiki, leo ipo kesho haipo., ni soko kubwa hio, asubuhi ni safi jioni taka imekusanywa sehemu inangoja kuzolewa.,,.Majirani zetu hii issue mlifikia wapi pale Eastleigh?
Aaah safi Sana kama mliishughulikia hongera Sana👏keep that 👆 👆 history in your archives., which year please.., na taka ni jambo la kushughulikia kwa siku ama wiki, leo ipo kesho haipo., ni soko kubwa hio, asubuhi ni safi jioni taka imekusanywa sehemu inangoja kuzolewa.,,.
Eastleigh ndio hiyo street level,.
na pia Eastleigh drone view ukitaka pia., uko na bando??
Ww sio tu mjing ila kilaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...yet feel proud what a fool[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajaribu kudanganya vilaza wenzako wewe[emoji23][emoji23][emoji1787], the report was launched on Tuesday last week 2021, nothing about poverty nyambaff wewe[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28],., Weka hapa link ya hizo snap shots[emoji23][emoji1787] nihame jf sasa hivi., Ingia website ya world bank Kisha unipinge kutoka hapo eti hawaja release hiyo report, nimeweka hadi link mnajifanya hamjui kusoma ama ni kizungu inakutesa?.,
Leave alone Kenya eti mnataja na Zambia kwa umasikini kwa hiyo report[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28]
Nyie pambaneni na hali yenu na wenzenu akina DRC
[emoji116][emoji116][emoji116] , View attachment 1693477
Unaelewa nini ukisikia neno "green space"?Kuna tofauti ya green space na msitu[emoji1787][emoji1787]
Ujue green space hupandi ile mikoko ya buza ile hujimelea tu
Which year ? Real? Yet you see a person with mask[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu unasem your not a blind patriote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]foolkeep that [emoji115] [emoji115] history in your archives., which year please.., na taka ni jambo la kushughulikia kwa siku ama wiki, leo ipo kesho haipo., ni soko kubwa hio, asubuhi ni safi jioni taka imekusanywa sehemu inangoja kuzolewa.,,.
Eastleigh ndio hiyo street level,.
na pia Eastleigh drone view ukitaka pia., uko na bando??
Kariakoo hakuna green space,k/koo ni concrete mwanzo mwisho...hiyo hapo ni mnazi mmoja,acha ujuaji1.cbd
2.kariakoo
Haki ya nani ukifika taano natoka jf[emoji1787][emoji1787]
UFIPA watasema alipakwa hizo rangi [emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa wakenya hawatuwezi aisee..Wakenya mnatukimbiza kwa matumizi ya itel. Hizi takwimu zinatuonesha namna ya maisha ya mtu mmoja mmoja kati ya Kenya na Tanzania
View attachment 1691871