We kidogo umechanganyikiwa post your low income places tuone your village like life..... sisi tumepost our eastlands and even the new improved kibera nyinyi Maneno tuHuo ni ukweli Nairobi is World capital of slums! Unabisha nalo hilo?
Hiyo ni apartment!? 😂 😂 😂 😂 😂Au nasema urongooo🤣🤣👇👇View attachment 1692952
Hii video hawataki kucomment????I know the current status of both Nairobi and Dar., tuanze na ipi?
Nai.,Eastlands, a low middle income estates cannot compare to any place in Dar low middle income residential.,
Kibera imekuwa ni kivutio kimojawapo cha utalii kenya. Sijui wanaenda kuona watu living in cages and shacks surrounded by poor infrastructure and dirty (natumia nahau kdg) because kibera people are also humans.THE "MIGHTY" KIBERA DEMYSTIFIED., kimbilio la watani.,
funny looking houses kote kote, low quality village type, a manifestation of low standards., mbona hivyo?.,Watz wengi hatukai kwenye apartments ila tunamiliki houses na hapo Tandale ziko nyingi tuu.
umekurupuka kabla ya kutazama video 😂 😂 😂 , your typical character., haujui kinacho ongelewa pale.., pole bro, mtapona tu.Kibera imekuwa ni kivutio kimojawapo cha utalii kenya. Sijui wanaenda kuona watu living in cages and shacks surrounded by poor infrastructure and dirty (natumia nahau kdg) because kibera people are also humans.
Usiumwe sana na maneno ya mtanzania mwenzako. Hizo sehemu nilipost ni eastlands. Huko si kwa matajiriSio Nairobi nzima ni baadhi tu ya maeneo especially kwa matajiri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ichoboy alileta picha ya an isolated office block na kusema ni apartment! 😂 😂 😂 Enyewe kuna watu wajinga humu ndani lakini hakuna anayefikia Ichoboy.Asante kwa kuwa Mkweli.
ichoboy01 unaona jinsi Mtanzania mwenzako anavyosema ukweli kwamba hamna apartments.
Hahaha. Halafu kuna ingine ya bus station aliweka akisema ati ni apartment. Sijui kama uliiona? Hawa watu wana vituko sana.Ichoboy alileta picha ya an isolated office block na kusema ni apartment! 😂 😂 😂 Enyewe kuna watu wajinga humu ndani lakini hakuna anayefikia Ichoboy.
Sisi si kwa matajiri tu ndo kuna good housesSio Nairobi nzima ni baadhi tu ya maeneo especially kwa matajiri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣🤣 office buildingsDar iko na apartments nyingi kwa akili yake tu. Ukimuambia akuletee picha za hizo apartments watu waone anakuletea picha za office buildings 😂
Nairobi slums ninazo zijua na ambazo nimefika hizi hapa; alafu wadau waniambie kama ni least au most🙂Mbona unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums? Lengo lako ni nini? Hatujakataa kwamba slums zipo lakini kwa nini unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums?
Makazi yetu kuna maji, security, sanitation,mtu anapiga meals 5 kwa siku etc sijui upande wenu labda utujuze vile🙂Tatizo la slum hakuna lakini most houses are in pathetic standards it's like a big village
Mnafanya nini Nairobi kama nchi yenu ni ya asali na maziwa? Mbona mnafanya biashara ndogo ndogo Nairobi? Mbona umekataa kujibu hili swali?Makazi yetu kuna maji, security, sanitation,mtu anapiga meals 5 kwa siku etc sijui upande wenu labda utujuze vile🙂
Ngoja nikuonyeshe maana ya affordable housing in TZ. Hizo ni kwa watu wa hali ya chini sana Tanzania.To begin with, Kariobangi is not a ward. Secondly, I can show you different parts of Kariobangi but that won't change yourviews and opinion about the area. But for the sake of information, tell me how these places below in Kariobangi are slums
View attachment 1692973View attachment 1692974View attachment 1692975View attachment 1692976View attachment 1692977View attachment 1692978
While these ones in Dar are not
View attachment 1692980View attachment 1692981View attachment 1692982
Explain to me like a two-year old
Kwani Kenya hatuna affordable housing? Hata Kenya tunazo. Akina Pangani affordable housing. Hata Kibera walijengewa affordable housing. Nyinyi mumeanza kujenga apartments za affordable housing juzi. Wengi wenu mnaishi kwenye viwanja mliyopewa na serikali.Ngoja nikuonyeshe maana ya affordable housing in TZ. Hizo ni kwa watu wa hali ya chini sana Tanzania. View attachment 1693210View attachment 1693211View attachment 1693212View attachment 1693213View attachment 1693214View attachment 1693215