Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna watu nasikia hapa wanaweza ahirisha uchaguzi...
Kukosa kuaminiana ni chanzo cha matatizo... Na kwa akili za Hao jamaa kupigana mapanga hawaoni kazi. Nchi zngne tabu kwel yaan
 
Hawa watu sijui wanaangalia vigezo gn yaan china GDP 11tusd lakini ni nchi ya dunia ya pili ila urusi ni 1.3tusd ila yupo kweny translation. Japan ni develeped. Duh
america hawezi sema mazuri kwa adui zake hata siku moja ndio maana unaona technology ya russia inatishia dunia nzima
russia anaogopka kwenye space technology, military technologies, IT, etc
 
meanwhile
742e631a8c5ca2beb166402c036edb41.jpg
wanapiga passport size😀😀😀😀😀
 
Those thresholds are set by who.?

The two Earth's Powerful Nations are US and RUSSIA
Your Mastermind US is afraid of only one Nation, guess who? Its Neither Germany nor China, It is RUSSIA. Halafu utuambie eti Russia ni Level ya Brazil. Akili za Kuku hizi.
wanaichukulia russia kama kitumbua, wamesahau ndio nchi ya kwanza kua super power in the world
 
A developed Nation is based on all of its parts having good infrastructure, access to quality education, health and housing and recreational facilities. Russia is a military power. But it still needs to improve on some sectors.
wewe unaongea nini?????😀😀😀😀😀😀😀 mbona husemi about space power, education ndio usiongee kabisa hakuna watu genius kama hao jamaa, hvi wewe warusi unawachukuliaje????
 
USA GDP 18t
Russia GDP 1.3t

USA military budget $611b
Russia military budget $69b

Acha ushabiki wa kijinga wewe
Tofautisha nchi za kibepari na nchi za kijamaa.
Ulipata somo hilo utafunga domo lako.
Ndio maana huko kenya budget ya rushwa ni kubwa kuliko ya maendeleo.
 
Kuna watu nasikia hapa wanaweza ahirisha uchaguzi...
Kukosa kuaminiana ni chanzo cha matatizo... Na kwa akili za Hao jamaa kupigana mapanga hawaoni kazi. Nchi zngne tabu kwel yaan

Sababu za kuhairisha uchaguzi ni nini? kutoamini ballot paper printing firm. Hio kwako si sababu tosha ya ku nullify hio kandarasi ata kama itachelewesha uchaguzi? Wewe hapo ulipo unaamini Tanzania kulikuwa na free and fair elections mwaka jana? ama nyinyi ndio wale CCM wakisema jump mnauliza how high, nchi zingine tabu kweli. We need a credible election to avoid 'kupigana mapanga' as you put it, sisi sio watu wakuburuzwa na kukubali kila kitu kama nyinyi, kama mbaya mbaya.
 
Tanzania your beloved Russia is not a developed country. ....Self actualization according to Maslows hierarchy of needs is what holds Russia back.we need to find out the threshold set for a country to be categorized as developed e.g

GDP per capita Mark
Freedom and democracy
Aid contribution to less developed countries
 
My friend is studying medicine at saratov state medical university in saratov state...meeen can't compare Russia with shit you know,they have all we need in extra miles,no one hu can say good to Russia especialy the papet of usa like yu Kenya but Russia is well developed my friend don't fool urself .but usiende Russia kutafuta maisha utapoteza muda...wabaguzi wabinafsi..
East west north south you must believe that Russia is not developed... Its between developing and developed.. Its in transition
 
Back
Top Bottom